VERITE-NUE
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,494
- 1,466
Kama tunavyoambiwa Makombola ya Iran hayaui mtu huko Israel.
Ripoti kutoka vyombo vya habari, zilidai wanajeshi 14 tuu wa SAMIDRC(Mission iliyofeli nchini Congo), ndo waliuliwa vitani na M23.
Baada ya zoezi la kuwarudisha wanajeshi waliosalia, idadi inaonyesha kuna upungufu wa watu 70. Miongoni mwa hawa 70, 14 walilipotiwa kufariki na maiti zao kusafirishwa.
Kitendawili kinakuja, wanapohoji kuambiwa wengine wataendelea na mission ya MONUSCO. Jambo ambalo kwa wanaojua utendaji kazi wa UN, hilo jambo haliwezekani.
Wakati wanajeshi hawa wananyoosha bendera nyeupe, waliomba jeshi la M23, basi liwaruhusu wakakusanye mabaki ya miwili ya wenzao waliofia field. Jambo ambalo hawakuruhusiwa. Na ilikuwa wazi idadi ilikuwa kubwa tofauti na iliyotangazwa. Leo hii, ndo mziki umezanza. Je, nani atajibu? Je, ni wa South Afrika tuuu? Au hata TZ ina kesi kama hii?