afrika

  1. Kaka yake shetani

    Afrika kungekuwa na siasa safi na kujielewa hawa wazungu, waarabu na wachina wangejazana sana hapa na wangekuwa wahamiaji haramu wengi

    Afrika imebarikiwa kuwa na mazingira ya kuishi binadamu yoyote sema kutokana na ubovu wa watawala na siasa ndio maana unaona afrika tunashindwa. Kuna nchi hata hali ya hewa wanakosa kabisa,wengine kila kukicha ni matetemeko,milima ni mingi,maitaji ya ardhi na mambo kibao. Ukiangalia South...
  2. leroy

    Wachumi Wanatabirije Uchumi wa Kesho — Na Kwanini Mara Nyingi Wanachemka?

    Kila bajeti ya serikali, riba ya mkopo wako benki, au mpango wa ajira wa kampuni huanza na kitu kimoja: utabiri wa kiuchumi (economic forecast) wa mwaka ujao. Lakini historia ya utabiri huo inafikirisha sana: https://youtu.be/3zWP71zyr-Q Utafiti wa wachumi wa IMF ulibaini kuwa kati ya mdororo...
  3. Kaka yake shetani

    Msamaha na maridhiano mbona kwa wenzetu wanzungu, waarabu na wachina hawana ila vipo Afrika

    Katika mambo ambayo yapo afrika ni msamaha na maridhiano ndo yapo afrika. Wenzetu ukileta uwovu wana kuuwa, ukileta ugaidi wanasafisha,ukileta ujinga wanakuondoa hata kama ni raisi au mwananchi. Ila afrika hapa Mtu kama samia anauwa kila kukicha anataka maridhiano
  4. OMOYOGWANE

    Swali chokozi siasa za afrika: Je upinzani hawawezi kupandikiza mwanachama wao kamati kuu au ofisi nyeti chama tawala?

    Siasa ktk nchi ya kidemokrasia ni vita ya kutwaa dola kwa njia za amani. ANGALIZO: Nazungumzia mambo ya afrika kiujumla asije mtu akaingiza mambo yake. Tujadili bila kutaja majina. Haya ni mawazo ya sinema ya kikorea 100 days of deception Hili ni swali fikirishi, je upinzani hawawezi...
  5. M

    Pengo la Kodi la asilimia 12 dhidi ya Wastani wa Afrika wa asilimia 15 Limeikosesha Tanzania zaidi ya USD Bilioni 40, Twendeni na PPPs-Kafulila

    = Akizungumza wakati wa kufungua Kikao cha Kupima Mwitikio wa Soko (Market Sounding) kwa Miradi ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP), kilichofanyika jijini Dar es Salaam, Novemba 23, 2026. “Nikifanya tathmini ndogo ya kiasi cha kodi duniani, Afrika na kanda yetu ya Kusini mwa...
  6. The Burning Spear

    Amnesty International waanza Kumlilia upya Balozi Humphrey polepole

    Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Amnesty International, kupitia ofisi yake ya Afrika, limetoa wito wa kutaka haki kwa aliyekuwa Balozi wa Tanzania, Humphrey Polepole, aliyeripotiwa kutoweka Oktoba 6, 2025, huku likiingiza suala lake katika kampeni ya kimataifa ya #Write4Rights...
  7. L

    Miaka mitano tangu Moyo wa urafiki na ushirikiano wa China na Afrika watolewe

    Novemba 29, mwaka 2021, Rais Xi Jinping, katika sherehe ya ufunguzi wa Mkutano wa Nane wa Mawaziri wa Baraza la Ushirikiano wa China na Afrika FOCAC, alitaja Moyo wa urafiki na ushirikiano wa China na Afrika: "Urafiki wa dhati, usawa katika kutendeana, manufaa ya pande zote na ushirikiano wa...
  8. leroy

    Naira ya Nigeria Iliporomokaje Kutoka ₦156 Hadi ₦1,534 kwa Dola? Funzo Kubwa kwa Afrika Mashariki!

    Mwaka 2014, Dola 1 ya Marekani ilikuwa inauzwa takriban Naira 156 nchini Nigeria. Kufikia Februari 12, 2024, Dola hiyohiyo iligonga Naira 1,534 kwenye soko rasmi (na kufika hadi ₦1,830–1,900 kwenye soko la mtaani/parallel market). Kufikia Novemba 19, 2026, kiwango rasmi kimekaa karibu na Naira...
  9. Zack Abdul

    Mhe. Rais Dkt. Samia awasili Jijini Addis Ababa, Ethiopia kwa ajili ya kushiriki kwenye Mkutano wa Tano wa Kimataifa wa Afya ya Umma Barani Afrika

    Mhe. Rais Dkt. Samia awasili Jijini Addis Ababa, Ethiopia kwa ajili ya kushiriki kwenye Mkutano wa Tano wa Kimataifa wa Afya ya Umma Barani Afrika (CPHIA 2026)
  10. Pakome

    Kuna Serikali nne za Afrika zinafanya majadiliano ya kufungia TikTok kwenye nchi hizo kwa madai ya kuwa inachochea machafuko ya kisiasa

    DOKEZO Kuna Serikali nne za Afrika zinafanya majadiliano tangu wiki iliyopita, majadiliano hayo yamelenga kufungia mtandao wa TikTok kwenye nchi hizo nne kwa madai ya kuwa unachochea machafuko ya kisiasa Malalamiko yao yanashutumu mtandao wa TikTok kwa kuruhusu watumiaji hasa vijana kufanya...
  11. leroy

    Sarafu Moja ya Afrika Mashariki (2031): Nini Kingebadilika Kweli au Ni Mtihani Mgumu Zaidi?

    Mpango wa kuwa na sarafu moja ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ulisainiwa mwaka 2013 ukiwa na lengo la kuanza 2024, lakini tarehe ikasogezwa mbele. Julai 2026, magavana wa benki kuu walithibitisha tena lengo la mwaka 2031. Uchambuzi mpya wa East Africa Economics (link hapo chini) unaangalia...
  12. Moto wa volcano

    Afrika tunamaisha mazuri sema watu hawajui , ulaya watu wanafanya kazi 3 ili walipe bills

    Afrika tunamaisha mazuri sema watu hawajui , Nchi za ulaya hauwezi ukaishi kwa ujanja bila kulipa kodi ukibainika wewe utakuwa muhalifu hawakuachi halafu pia utakabwa kila angle utalazimika kufanya kazi hata 3 ili uweze kulipa bills zako . Huku kwetu kuna kazi zina msamaha wa kodi kama...
  13. C-C Digital Pro

    Katumba kutoka Afrika Kusini akutana kimuziki na Civilian-Coin

    https://youtu.be/AzOjwktrA1Q?si=QiffSdTKzaKLtum1
  14. Roving Journalist

    Nchi za Afrika Mashariki zatakiwa kupitia mikakati ya ulinzi ili kukabiliana na vitisho vipya vya kiusalama

    Mabadiliko ya hali ya usalama katika eneo la Afrika Mashariki yanazitaka nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kuendelea kupitia na kuimarisha mikakati yao ya ulinzi ili kukabiliana ipasavyo na vitisho vipya na vinavyovuka mipaka ya nchi. Wito huo umetolewa Novemba 19, 2026...
  15. Traxtion

    Ukifanyika utafiti Tanzania tunaweza kuwa nafasi ya juu sana Afrika katika nchi zinazoongoza kuvujisha video za utupu wa watu mitandaoni

    In recent years Tanzania kumekuwa na video za watu wengi sana ambazo zimevuja mitandaoni zikionesha wakiwa wanafanya ngono. Hapa siongelei porn acting/ porn industry, hapana. Naongelea video za wapenzi wawili wanaojirekodi wakifanya ngono na kisha mmojawapo anazipost mitandaoni na zinasambaa kwa...
  16. Alexido jz instagram

    Masikitiko takwimu za wanao tembelea website afrika mashariki zimeni shangaza sana

    Tanzania watumiaji wa watsap ni wachache kulikowa sportbet yani bongo wanao bet ni wengi kuliko wanao tumia watsap, WAnao tembelea porn site kenya ni idadi kubwa mara mbili kuliko wa tanzania wanao tumia watsap. Uganda hawajapoa wanao bet ni wengi kuliko wanao tumia watsap. X videos ni...
  17. Yoyo Zhou

    Ushirikiano wa China na Afrika watarajiwa kuleta muundo mpya wa uzalishaji wa viwanda duniani

    Gazeti la South China Morning Post la Singapore hivi karibuni lilitoa makala iliyoandikwa na Waziri Mkuu wa zamani wa Kyrgyzstan Djoomart Otorbaev, akibainisha kuwa uwekezaji wa China katika sekta ya utengenezaji barani Afrika unabadilisha uhusiano wa kiuchumi kati ya pande hizo mbili, kutoka...
  18. Alloyce PR

    Mambo ni matatu tu, kufanikiwa kuwa kiongozi Afrika

  19. Kaka yake shetani

    Hivi nchi za Afrika zinatumia script moja au?? 🤔

    Neno ugaidi limekuwa kwa wapinzani na wanaharakati kwa nchi za afrika
  20. F

    Vijana wa Afrika wataandamana lini kutaka haki, maisha bora na uhuru kama wenzao wa Ulaya?

    Kichwa cha habari kiko wazi. Vijana wa Afrika wanaumia sana kuliko mtu yeyote tokana na kuzaliwa kwenye mifumo chakavu na kifisi na kifisadi. Je, watalianzisha lini lau dunia ijue wapo? Nawasilisha. Bila vijana wa Afrika kuamua, wasitutegemee sisi wazee tuliowaangusha kwa kuogopa na kujiangalia.
Back
Top Bottom