Willy NGOMA
JF-Expert Member
- Feb 25, 2016
- 4,565
- 5,983
Ni baada ya kutangaza kwamba, mpaka mwisho wa mwaka huu, magari ya abiria yanayotumia mafuta, na pikipiki maarufu kama bpda boda, havitaruhusiwa tena kuingizwa jijini kwa ajili ya shughuli ya usafirishaji.
Vile vile, makampuni ya bima,na yenyewe yalishapewa onyo, kuhakikisha ifikapo kipindi hicho, hakuna kukatia bima chombo chochote kitumiacho mafuta chenye usajili wa jijini humo, na mamlaka husika kuhakikisha hakisajiliwi chombo kingine.