Nchini Kenya, umri wa kuruhusiwa kunywa pombe, umetoka 18 hadi 21.
Nchini Rwanda, baa na maeneo mengine, japo umri ni miaka 18, lakini masaa yamepunguzwa. Muda elekezi ni kutoka saa kumi jioni mpaka saa tano usiku. Siku za week-end, ni mpaka saa nane.
Hata hivo, vilabu na baa zisizotimiza maagizo, vinaelekeakufungwa jumla.