DKT. MWIGULU ATAKA MATOKEO YA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YAONEKANE MIKOANI
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewataka wakuu wa mikoa kuandaa mipango mahususi yenye malengo yanayopimika ili kuongeza kasi ya matumizi ya nishati safi ya kupikia katika taasisi na kaya nchini.
Maelekezo hayo...
Habari wakuu
Shida yangu ni pikipiki kwa ajili ya matumiz binafsi, mwenye pikipiki alikuwa anaitumia kwa matumiz binafsi na mwenye shida ya hiyo pesa naomba tubadilishanshe
Location iwe Dar ES SALAAM au Mkoa wa pwani
Njoo na picha iwe mali halali
DODOMA
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspari Kasperi Mmuya, amewataka watumishi wa sekta ya Ardhi katika Ofisi ya Ardhi Mkoa wa Dodoma na Halmashauri zake kuongeza nguvu katika kutoa elimu kwa wananchi kuhusu matumizi ya Mfumo wa e-Ardhi ili kuwawezesha kutumia...
MATUMIZI YA INTANETI TANZANIA YAENDELEA KUONGEZEKA!
Idadi ya watumiaji wa intaneti nchini Tanzania imeongezeka kwa asilimia 3.1, kutoka milioni 62.7 mwezi Machi 2026 hadi milioni 64.7 mwezi Juni 2026.
Ongezeko hili linaonesha kuendelea kukua kwa matumizi ya huduma za intaneti na umuhimu wake...
Malengo ya kifedha yanahitaji nidhamu ya matumizi ya fedha na kupanga matumizi ya kila shilingi. Ili kufanya hivyo katika dunia ya sasa unahitaji zana za kisasa. Infinity Pesa Tracker ni application inayokuwezesha kufuatilia matumizi ya kila shilingi yako, kuweka malengo na kufuatilia hayo...
Aelekeza wananchi kuelimishwa zaidi kuhusu mfumo huo ili wapate huduma za ardhi popote walipo
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya, ameridhishwa na namna huduma zinavyotolewa kwa wananchi katika ofisi za Kamishna wa Ardhi jijini Dar es Salaam, huku akisisitiza...
Naona siku za hivi karibuni neno Mkuu limepungua kasi katika matumizi yake ila kwa wakongwe sio geni sana.
Matumizi ya neno Mkuu yalikuja kutokana na hulka ya watumiaji wa JF kutotumia majina halisi.
Hulka ya kutotumia majina halisi au "fake Id' ilileta kuficha the real identity ya member...
Mimi ninahitaji gesi kwa ajili ya matumizi yangu, wewe unaniuzia gesi na mtungi ambao ni mali yako! Una jina lako na siwezi kuutumia nisipokupata wewe! Na hata nikiacha matumizi ya gesi yako eti mtungi unabaki kuwa wangu kwa jina lako! Hii ni dhuluma hanna tofauti na anayekuuzia leo king'amuzi...
Huu ukweli Nyerere aliuona mbali sana. EU wanakuja kuuona wameishachelewa na inawatesa sana.
Msikilize Nyerere. Aliongea haya 1966
"Kuna badiliko jingine kubwa linalotokea katika mambo ya uchumi wetu, ambalo linahusiana sana na maendeleo yetu. Kesho noti za fedha za Tanzania zitatolewa kwa mara...
How to survive in Tanzania:
1. Sina
2. Sitoweza
3. Sitaki
4. Haitowezekana
5. Sijui
6. Asante
7. Sipo
Ukiweza kusimamia hii Utaishi maisha marefu yenye Furaha.
Wakuu nimeunda hii App ya Infinity Pesa Tracker. Inakuruhusu kuunda budget, kuonyesha vyanzo vya ela na pesa iliyoingia, kuweka kila matumizi unayofanya, kuweka malengo ya savingi na kuyafuatilia.
Haina matangazo na ni bure kabisa na kila utachoweka kitakuwa backedup kwenye account yako ili...
Wizara ya Afya nchini Kenya imewaonya wananchi dhidi ya kutumia dawa ya cetirizine kwa lengo la kuboresha tendo la ndoa, kufuatia madai yanayosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa dawa hiyo inaweza kupunguza unyevunyevu na kufanya uke kuwa mbana zaidi.
Akizungumza Jumatano, Novemba 4, 2026...
"
Fikiria eneo lenye ofisi, shule, gereji, stendi au shughuli nyingi za biashara. Watu wanapohitaji kifungua kinywa, kinywaji baridi au kitafunwa cha haraka, wanatafuta sehemu iliyo karibu, safi, yenye huduma nzuri na bei inayolingana na uwezo wao.
Hapo ndipo biashara ya vinywaji baridi na...
Mamlaka za Upangaji nchini zimetakiwa kuepuka kuandaa na kuidhinisha mipango ya matumizi ya ardhi katika maeneo hatarishi, ikiwemo mabonde na maeneo yanayopitisha maji, ili kulinda usalama wa wananchi na kuimarisha usimamizi bora wa matumizi ya ardhi.
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo...
Wakuu habari za wakati huu.
Naandika uzi huu nikiwa kwenye wakati mgumu wa kifikra kuhusu namna ya kusimamia fedha zangu. Kila nikijaribu kufanya saving (akiba) nashindwa. Sielewi hela naipeleka wapi, na mwisho wa siku hakuna kitu cha msingi cha maana ambacho nimefanya au nimefanikiwa...
Kuna jambo ambalo kwa muda mrefu limekuwa likinitatiza kuhusu namna nyama inavyokatwa katika mabucha yetu na maeneo mbalimbali ya biashara ya nyama.
Matumizi ya vibao vikubwa vya plastiki kukatia nyama kwa kutumia visu, mapanga na hata mashoka yanaweza kuwa yanahatarisha usalama wa chakula...
Habari JF,
Kuna kero kubwa katika Mtaa wa Wikichi, Halmashauri ya Mji wa Njombe, inayosababishwa na wachimbaji na wapasuaji wa miamba ya mawe kwa ajili ya ujenzi.
Wachimbaji hao wanatumia vilipuzi kama baruti vinavyosababisha milipuko mikubwa na mitetemo inayofanana na milipuko ya mabomu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.