Penye nia pana njia,naam ndivyo ninavyoweza kusema kutokana na kampeni mahususi iliyoanzishwa na mbunge wa Jimbo la Moshi Vijijini ,Morris Makoi katika kukabiliana na unywaji wa pombe haramu aina ya gongo,madawa ya kulevya ikiwamo mirungi na bangi
Hii ni kampeni inayopaswa kuungwa mkono na Kila...
Pesa ya pombe inatakiwa iwe kama pesa ya chakula tu, ukishaanza kuona pesa ya pombe kama pesa ya matumizi ya ziada utaanza kulaumu pombe na kuona ni mbaya na inakurudisha nyuma , kama rafiki yangu wa damu Dr am 4 real PhD alivyodai 🥲
Mwamba kanisikitisha mno🤔
Mjadala mkubwa umeibuka kupitia klipu ya sauti inayoangazia madai yanayohusiana na dili la mvinyo au pombe linalodaiwa kuhusisha jina la msanii zuchu na Nandy.
Inasemekana kuwa Zuchu alisikika akidai dili hilo lilikuwa liende kwake lakini alilikataa kwa sababu ni la mvinyo, huku sauti...
Takribani watu 11 wamefariki dunia huku zaidi ya 180 wakilazwa hospitalini baada ya kunywa pombe inayohisiwa kuwa na sumu katika jimbo la Manipur, kaskazini-mashariki mwa India.
Kiongozi wa jimbo hilo, Yumnam Khemchand Singh, amethibitisha vifo hivyo kupitia taarifa aliyoitoa siku ya Ijumaa...
Hii serikali yetu kuna wakati, unaweza ukajiuliza maswali ukaishia kucheka tu!
Serikali imeruhusu pombe holela, yaani imerasimisha gongo na hata bungeni kuna mbunge aliwahi sema, gongo iruhusiwe sasa ndio imekuja kwa jina la visungura, huko mtaani inapimwa kuanzia mia tano! Konyagi, valuer...
Mimi ninachokumbuka ni kwamba mwanzoni ilikua nikinywa ninatapika na pia ladha yake nilkua naiona si nzuri kabisa, lakini lakini baadae nikawa naweza kunywa hata ndoo kubwa. Ila saivi nimeacha
Nilikuwa sijui hayo ila maarifa ni kama bahari hayana mwisho leo nimejifunza kitu kipya
Kuna watu wana uraibu wa kulala unaowatesa na kuwakoseha mengi kama walevi wa pombe
Sisi ni watu wenye akili timamu sana , ndio maana tunakoseana , 🤔
Kiukweli tumezinguana ila sioni sababu ya kuendelea kuzinguana humu .
Kupevuka nikuona na kuacha yapite, leo binafsi natoa kila mtu ignore kwa kutambua , nimekua kihisia na kiakili🤔
Na ndivyo JamiiForums.com inataka...
Kwanza cha kushangaza mji mzima hakuna safari larger.
Balimi ndogo, kilimanjaro ndogo serengeti ndogo bei 2,500/= wakati dar 2,000/=,konyagi ndogo elfu 6 wakati Dar elfu 5.
Hizo bei za kigoma sio poa wazee,zinatukata uhondo asee
Hellow!
Imebaki siku moja tu kama Taifa tutakuwa tukishesehekea siku njema ambayo mwenyezi Mungu aliiteta nyota iliyostahili kubeba hatma za watanzania siku za mbeleni, nyota hiyo ni mtoto JPM.
Siku hii ya October 29 inaSherehekewa kwa mengi, ikumbukwe pia kuwa ,ni katika siku hii, maelfu ya...
Japo sometimes Kiu inakuwa kali Arosto za hapa na pale , kukosa usingizi ila niendelea kukazaa kisawasawa.
Company yangu ya ulevi imehuzunika sana baada ya juzi kunipatia invitation nikawaambia nimeacha pombe wengi hawakuamini ila ndio hivyo....maneno yao mengi ni utarudi tu kunywa pombe wewe...
Baada ya kukaa kikao kizito na ubongo wangu tukishauriana baadhi ya mambo hatimae tumefikia conclusion hio.
Najua ni ngumu kuacha pombe ila nimeamua sitatumia pombe ya aina yoyote ile from now onwards.
Wakuu
Serikali inapata wapi shida kuweka sharti la lazima kwa wachangiaji kodi wake ambao shughuli zao zimekua na athari mbaya kwa jamii...mathalani Wazalishaji/Wauzaji wa pombe
Hivi TBL hawana capacity ya kujenga soberhouse nzuri kila wilaya?Kwanini wauzaji wa pombe kali wasipewe sharti la...
Rais William Ruto amezua mjadala baada ya kumhusisha Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna na pombe alipokuwa akizungumzia uzinduzi wa chama kipya cha kisiasa, The Equitable Party (TEP), na madai ya Sifuna kuonekana kwenye baa baada ya hafla hiyo.
“Niliona Sifuna alienda kulaunch the Empty Party alafu...
Matumizi ya pombe kila siku ni Moja ya mambo yanayoathiri sana maendeleo yetu kwenye JAMII.
Takwimu mbalimbali zinatuthibitishia kwamba matumizi ya vinywaji changamshi, beer, konyagi yamekuwa yakiathiri sana maendeleo ya watu.
Kama mdau ninayependa maisha, AFYA ya akili asubuhi ya Leo...
Video kutoka Ol Kalou, Kaunti ya Nyandarua, imeibua mjadala baada ya kundi la Wakazi kuvamia baa moja wakidai inauza pombe haramu.
Katika video hiyo, wananchi wanaonekana kuingia katika eneo la baa, kuchukua na kuvunja baadhi ya chupa na makasha ya pombe, huku mwanamke anayedaiwa kuendesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.