Willy NGOMA JF-Expert Member Joined Feb 25, 2016 Posts 4,565 Reaction score 5,983 Jul 11, 2025 #1 Mwanamke, ana nini cha kumpa mwanaume? Iko hivi, mwanamke ana majukumu mawili kwa mwanaume wake: -Kuvuruga mwanaume akiwa ametulia na -Kumutuliza akiwa amevurugwa Najua wengine watasema ni harassment, lakin ukweli ndo huo
Mwanamke, ana nini cha kumpa mwanaume? Iko hivi, mwanamke ana majukumu mawili kwa mwanaume wake: -Kuvuruga mwanaume akiwa ametulia na -Kumutuliza akiwa amevurugwa Najua wengine watasema ni harassment, lakin ukweli ndo huo