VERITE-NUE
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,494
- 1,466
Hayo ni maneno ya General Maphwanya, mkuu wa jeshi la Afrika kusini. Aliesema vita vya DRC huenda vikapanuka na kuwa vya ukanda, aliona mbali. Je, atafanikiwa kweli?
Taarifa zenyewe husema hii ndo M23
Wakati huo, siku ya leo, wanajeshi wa SAMIDRC 523, wanatarajia kuelekea Tanzania kupitia Rwanda. Nchi moja, kati ya zinazounda SADC, iliwasaidia watu 12 wa FDLR kupata nyaraka za kughushi, na tayari uongozi wa Rwanda una majina.
Hivyo, wanajeshi 523 ndo watatoka mjini Goma, lakini 511 tuu, ndo watavuka Rwanda kuelekea Tanzania. 12 watabaki na kupelekwa wanakostahili.