tayari

Tayari Jones (born November 30, 1970 in Atlanta, Georgia) is the author of four novels, most recently An American Marriage, which was a 2018 Oprah's Book Club Selection, and won the 2019 Women's Prize for Fiction. Jones is a graduate of Spelman College, the University of Iowa, and Arizona State University. She is currently a member of the English faculty in the College of Arts and Sciences at Emory University, and recently returned to her hometown of Atlanta after a decade in New York City. Jones was Andrew Dickson White Professor-at-large at Cornell University before becoming Charles Howard Candler Professor of Creative Writing at Emory University.

View More On Wikipedia.org
  1. O

    Je, IEBC Itakuwa Tayari kwa Uchaguzi wa 2027 Huku Ikikabiliwa na Nakisi ya KSh11 Bilioni?

    Maswali yanaibuka kuhusu utayari wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kuandaa uchaguzi mkuu wa mwaka 2027 baada ya tume hiyo kufichua kuwa inakabiliwa na nakisi ya bajeti ya KSh11.02 bilioni, hali inayoweza kuathiri shughuli muhimu za maandalizi ya uchaguzi. Ikiwasilisha taarifa mbele ya...
  2. EricMan

    MCHUNGAJI: Hatuna mashaka na serikali yetu na hatuko tayari kugombana na yeyote usituingizie maneno

    Katika msiba wa mtoto aliyefariki kwa kupigwa risasi Oktoba 29, mchungaji ametoa ujumbe aliotaka kuufikisha kwa waliohudhuria msiba huo. Mchungaji huyo alisema hawana mashaka na serikali yao na hawako tayari kugombana na mtu yeyote, huku akisisitiza kuwa watu wasiingize maneno. Kauli hiyo...
  3. Eli Cohen

    Bukele hapo Haiti tayari anayapiga magenge, karudisha ngome iliokuwa imetekwa na genge na kalipua mijengo yao. Muda huo wote UN alikuwa anafanya nini?

    Msitegemee sana UN, maana kile ni chombo cha ovyo kinachokuwa controlled na itikadi za ki-liberal. Ndio maana hata mamlaka za giza zinapataga kivuli hapo UN na hakuna hatua yoyote inayochukulia dhidi ya amani na haki ya dunia kutoka kwa UN maana UN ndio mbwa mbwekaji ukiwa mbali ila ukimkabilia...
  4. Dogoli kinyamkela

    Nilisafiri kutoka jimbo langu mpaka jimbo la mpenzi wangu kwenda kuwaambia wazazi wake kuwa niko tayari kulipa mahari ya binti yao.

    Nilisafiri kutoka jimbo langu mpaka jimbo la mpenzi wangu kwenda kuwaambia wazazi wake kuwa niko tayari kulipa mahari ya binti yao. Baada ya mazungumzo mafupi na wazazi wake, kulingana na utamaduni wao, mwanaume yeyote anayetaka kuoa kutoka kwao lazima afanye kazi ya shamba kwa mwezi mmoja mzima...
  5. Ushimen

    Ushauri wenu wakuu, tayari kamesha vuruga mambo tena

    Baada ya kumaliza ugomvi, nikaamua kukarufisha kimya kimya watu wasione wasije wakanicheka. Sasa jana nimekaleta geto saa sita usiku ili watu wasikaone.... leo kameamka saa kumi na mbili alfajiri kakaanza kufagia uwanja aiseee..... Yaani hapa nawaona majirani wananong'onezana tu huku...
  6. MamaSamia2025

    Kwa maoni ninayosoma kwa matukio kadhaa yaliyotokea hivi karibuni inaonyesha watu wengi hawapo tayari kufuata sheria

    Kesi zinazotrend kwa sasa ni tatu. Ya kwanza ni ya jamaa aitwaye Kelvin aliyekamatwa akifanya mapenzi na mtoto (binti wa chini ya miaka 18) ambapo kisheria inahesabika ni kumbaka. Ambapo kosa lake la pili ni kusambaza hiyo video chafu mtandaoni. Cha kushangaza watu wengi wanamtetea mtuhumiwa...
  7. Echolima1

    Marekani tayari imeshaanza kuitandika Iran!

    Marekani inashambulia Iran hivi sasa. Maeneo ya kurushia makombora huko Bandar Abbas na Qeshm yamelengwa. Milipuko kadhaa mikubwa imeripotiwa. Mashuhuda katika mji wa Qeshm wameelezea kusikia milipuko mikubwa 5 hadi 6 mfululizo, ikifuatiwa na mitikisiko mikali.
  8. T

    CHADEMA Tunaomba mtoe tamko tuko tayari kwa ajili ya maandamano MO29

    Chadema tunahitaji neno lenu tu tuanze maandamano. Hayo matamko ya polisi ni ujinga tu na kupoteza muda. Tuko tayari wananchi tumeshaiva. Tuko tayari kumwaga damu kwa ajili ya taifa letu. IMETOSHA IMETOSHA IMETOSHA.
  9. Gobole Lenye Risasi

    Huyu tayari. Kwisha habari yake. Mliooa ni kujiadhali na kuua au kujiua. Mkubali matukio yapo

    Nimemfahamu last week ofisini kwao nimeonana naye mara mbili ya tatu nimemgonga. Ni mtamu balaaaah.... Namfikiria vituko vyake mtu mzima anadeka kama mtoto. Wakati namwomba game alikuwa anakataa huku nguo zinatoka... Akaanza kulia huku anakatika kuwa ninamfanyia vibaya alikuja tu kunisalimia...
  10. C

    John Heche ametangaza wazi kuwa yuko tayari kwa lolote hata kifo na hatokimbia nchi ,atabaki kupigania demokrasia

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche amesema hatakimbia nchi licha ya madai ya kuwepo kwa mipango ya kufunguliwa kesi, akisisitiza kuwa yuko tayari kufa akipigania demokrasia na mabadiliko ya nchi. Heche ameyasema hayo leo Ijumaa Oktoba 16, 2026 mjini...
  11. Roving Journalist

    Responded Diwani wa Ilemi, Baraka Zambi: Vijana wote ambao wapo tayari kuacha uhalifu, ofisi ya Kata ipo tayari kuwapokea

    Wakazi wa Kata ya Ilemi Jijini Mbeya wakizungumzia hoja ya kuzorota kwa hali ya ulinzi na usalama katika eneo hilo. Diwani wa Kata ya Ilemi, Baraka Zambi pamoja na viongozi wa serikali za mitaa wamesema kuwa licha ya kuwahi kutokea kwa baadhi ya matukio ya uhalifu, hali ya usalama imeendelea...
  12. kavulata

    Najisikia huzuni kuiona chadema ya Mbowe ikiwa hivi. Haiko tayari kukamata dola.

    Hebu sikiliza sababu zinazotolewa kwanini chadema ipewe nafasi ya kuiongoza nchi. Eti mkoloni ni bora kuliko Nyerere na Magufuli n Samia. https://youtu.be/v_NMqvJKnkI?si=6HyhDA0-hWFRnzcS
  13. Its Pancho

    Yanga kukaa kimya na kutopiga promo tayari machawa na wachambuzi wanaumia na simba pia, je mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu?

    I salute you kinsmen Yanga kama wageni wa mechi ya kesho. Na simba kwa wageni Sasa SIMBA ndio walitakiwa kupigia promo.game yao sio yanga Kimsingi mwanzo ilikuwa sawa hadi pale simba walipoanza utoto huo na sasa yanga wamelipa hilo na milio ya kubanwa kende imeanza tayari kutoka kwa machawa...
  14. Ndagullachrles

    Leteni kero zenu tupo tayari kuzisikiliza na kuzitatua-SACP Simon Maigwa

    Jeshi la polisi mkoani kilimanjaro limetoa wito kwa wananchi kujenga utamaduni wa kufikisha changamoto za kiusalama kwa jeshi la polisi kabla hazijageuka kuwa migogoro au matukio ya uhalifu . Wito huo ni sehemu ya ujumbe wa kamanda wa polisi mkoa wa Kilimanjaro ,Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    Ukiwaza dunia imekosewa au haijakamilika ujue tayari umeyabananga. Dunia iko perfect asilimia mia moja.

    UKIWAZA DUNIA IMEKOSEWA AU HAIJAKAMILIKA UJUE TAYARI UMEYABANANGA. DUNIA IKO PERFECT ASILIMIA MIA MOJA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Ukishasikia mtu anakuambia dunia hii haijakamilika. Imekosewa. Au sehemu sahihi ujue tayari keshaingizwa kingi. Yupo ndani ya mifumo ya wajanja na wahuni...
  16. M

    Wimbo wa "nipo tayari" tangazo la voda umeimbwa na Msanii/Wasanii gani?

    Wimbo unanivutia kusikiliza, natamani kujua umeandikwa na kuimbwa na Msanii/Wasanii gani?. Anayejua anijuishe tafadhali.
  17. E

    Mwaipaya: Kwa nini nilimuunga mkono Lissu uchaguzi wa CHADEMA na Nipo tayari kulipa gharama za demokrasia

    Baada ya uchaguzi wa ndani wa Chadema wa mwaka 2024/25, baadhi ya viongozi na wanachama wa chama hicho walifanya maamuzi yaliyobadili mwelekeo wa kisiasa waliokuwa wameuzoea kwa miaka kadhaa. Miongoni mwao ni Twaha Mwaipaya, aliyewahi kuwa kiongozi wa Baraza la Vijana wa Chadema (BAVICHA)...
  18. Nuel27

    Niko tayari kujifunza mambo ya sheria - Ulega

    Kwani hii nchi tumerogwa na nani wakuu? Hivi unaweza kusomea udobi halafu ukaajairiwa kama Daktari? Kwamba wabunge wote hakuna hata mmoja mwenye ujuzi na sheria apewe wizara? Haya bwana Waziri wa Katiba na Sheria, Abdallah Ulega amesema yuko tayari kujifunza mambo mbalimbali yanayohusu wizara...
  19. peno hasegawa

    Rais wa Kenya William Ruto tayari ametuma salamu za pole, akimtaja Chivayo kuwa rafiki yake na kutoa pole kwa familia na watu wa Zimbabwe.

    Kwa taarifa nilizokagua asubuhi ya leo, 1 Oktoba 2026, sijaona taarifa rasmi au ya kuaminika inayothibitisha kwamba Rais Samia Suluhu Hassan tayari ametuma salamu za pole kufuatia kifo cha Wicknell Chivayo na mke wake, Lucy Muteke. Ajali ilitokea 30 Septemba 2026 huko Marondera, Zimbabwe, na...
  20. I

    "WANAOTAKA KUTULETEA SHIDA, TUKO TAYARI" - Dangote Atoa Ujumbe Kwa Waliokwenda Mahakamani Kupinga Refinery ya Lamu

    Billionaire Aliko Dangote ameonyesha kuwa kesi ya ardhi inayohusisha eneo linalopangwa kujengwa Dangote East Africa Refinery huko Lamu haitoshi kumfanya abadili msimamo kuhusu mradi huo. Akizungumza na wawekezaji Jijini Nairobi leo, Dangote alitaja changamoto za kisheria nchini Kenya kama jambo...
Back
Top Bottom