VERITE-NUE
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,494
- 1,466
Sauti ya marehemu Col. Karegeya, anayesemekana kuuawa na serikali ya Rwanda huko Afrika kusini, alipoulizwa na mwandishi wa habari kuhusu uwezekano wa Ingabire kugombea, alijibu kwamba huyo mwanamama hajui chochote kuhusu nchi ya Rwanda, na kwamba walichoshindwa wao, yeye hawezi, hivyo, kumtaka atulie akaendelee na maisha yake huko ugaibuni. Hakusikia, akaenda kuwania urais. Alifungwa, akaachiwa kwa msamaha wa rais, lakini badae,aliendeleza juhudi zake za kuhakikisha chama chake cha DALFA-UMURINZI, kinapata kipaumbele, na ndo akajikuta ana kesi ya kujibu tena.
Hata hivo, alionywa mara kadhaa na rais Paul Kagame, kwamba majigambo yake, ya kwamba kaachiwa kwa presha ya mataifa ya Magharibi, si kweli na siku moja anaweza jikuta amerudi ndani. Na ndo imekuwa hivo.