DRC yaipa Rwanda siku 90 kuhakikisha mkataba wa Washington unatekelezwa bila kisingizio

DRC yaipa Rwanda siku 90 kuhakikisha mkataba wa Washington unatekelezwa bila kisingizio

VERITE-NUE

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2019
Posts
1,494
Reaction score
1,466
Tangazo lililotolewa na serikali ya Kidemoklasia ya Congo, linaitaka nchi jirani ya Rwanda, kuhakikisha inaondoa wanajeshi wake chini humo,kablabya siku 90.
Kushindwa kutekeleza agizo hili, kunaipa serikali ya DRC uwezo wa kuanzisha vita tena dhidi ya AFC/M23 na wanaowasaidia(Rwanda).

DRC, imesema FDLR haiwezi kuwa kisingizio.

Ikumbukwe, Rwanda pia ilisema imejiandaa kwa lolote,iwapo DRC itashindwa kutekeleza agizo la kuhakikisha FDLR inavunjwa mazima.

Siku za nyuma, DRC imekuwa ikipokea mamluki kutoka Belgium na Marekani, na mpaka sasa,waliopo Walikale, inasemekana 3 walishapoteza maisha na wengine kukamatwa wakiwa wazima. Walekale ndo kuna migodi mikubwa ya wazungu.
 
Back
Top Bottom