siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. Zerock

    SIKU YA IJUMAA

    Bismillah Rahman Raheem Unajua kwanini waislamu wameamlishwa kusali swalah tano (5) kwa siku..? Ni kwa sababu ya kuwatofautisha na wayahudi (sabato) na watu wa kitabu (wakiristo). JUMAA (IJUMAA) Siku ya 6 katika juma (wiki) siku iliyobarikiwa, IJUMAA ni siku bora kuliko siku zote, • Ni...
  2. Zack Abdul

    Ijumaa Kareem

    Assalaam alaikum warahmatullah wabarakaat. Tunapitia mitihani, tunajifunza na tunabadilika. Kila jaribu lina hikma yake katika kutuimarisha na kutuongoza. Mwenyezi Mungu atujaalie sote hekima, subira na tawakkul katika kila hali ya maisha. Amin🤲 Jummah Kareem.
  3. britanicca

    09/12 siku mlango utakavyolia

    Usiniulize nini kitatokea. Uliza tu mbona nyota za mwezi wa kumi na mbili zinang'aa tofauti mwaka huu. Kuna tai aliyezoea kuruka juu ya milima, Sasa anaota anaruka tena. Kila usiku anahesabu nyota kwa kidole kimoja. Walisema mlima umemfunika, Kumbe mlima ni kivuli tu. Kivuli hakiwezi kumzuia...
  4. Red black

    MwanaJf mwenzetu Secretary bird amepatwa na nini siku ya 13 sasa kimya sio kawaida

  5. Robert Heriel Mtibeli

    Pendekeza Mtoa posts bora wakiume 3 na wakike 3 kwa mwaka 2026. Chipukizi itapendeza zaidi sio kila siku mtibeli na wenzake

    Kichwa hapo juu chahusika. Ninatamani majina yaleyale yasijirudie. Tunataka watoa post wazuri hasa wale chipukizi kwa mwaka 2026. Usitaje Robert Heriel Usitaje Mshana Jr Usitaje Pascal Mayalla Usitaje Mad Max Usitaji Gentamycine AKA Popoma. Usitaje Malcom Lumumba Usitaje Kiranga Taja majina...
  6. T

    Wanasema CHADEMA imekufa ila hakuna siku inapita hawajaitaja chadema mbona hawavitaji vilivyo hai!?

    Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na kelele nyingi sana kuashiria kwamba chadema imekufa hasa kutoka ccm ila kinachonishangaza ni kwamba chadema ndo chama kinaongozwa kutajwa ndani na nje ya nchi kuanzia na ccm wenyewe vyama vingine vyombo vya dola na jumuiya za kimataifa. Sababu ni nini hasa!?
  7. C

    Al Ahhly imetimua makocha wa tatu ndani ya siku 451

    Klabu ya Al Ahly ya Misri imemfuta kazi kocha wake mkuu, Hussein Ammouta, kufuatia kutoridhishwa na kiwango cha uchezaji wa timu hiyo, licha ya kuwa na rekodi nzuri ya matokeo, huku kipigo cha mabao 2-0 dhidi ya Pyramids FC kikiongeza presha ndani ya klabu hiyo. Kuondoka kwa Ammouta kunamfanya...
  8. Jaji Mfawidhi

    Kama wewe na bosi wako mpo ofisini kila Siku

    Kuna tabia za mabosi wa Kitanganyika kukaa ofisini muda wote kuangalia watumishi, sasa kama bosi wako mpo ofisini kila siku "wewe na bosi wako tafuteni kazi".
  9. and 998 others

    UDSM ilikuwa zamani! Siku hizi uchawa, uchakavu na staff omba-omba!

    Inasikitisha kuona Chuo Kikuu hiki UDSM kubakia historia tu. Machawa, majengo chakavu (ikiwemo vyoo) pamoja Staff kuwa omba-omba
  10. S

    Usipomsaidia Jirani yako umpendaye Usilie siku wabaya wakija kumsaidia kwa hila

    Jirani ni mtu yoyote ambaye unatakiwa kumuonesha upendo kwa kumsaidia, Au Kumlinda. Usipotimiza Wajibu wako wa upendo kwa wahitaji, Shetani anaowatu wa kulitimiza hilo kwa hila! MAUMIVU YA KUTOKUTIMIZA WAJIBU WA UPENDO KWA JIRANI NI MAKUBWA ZAIDI KUPITIA MAJUTO Kumbuka kisa cha msamaria hadi...
  11. C-C Digital Pro

    Jeshi la Polisi kufutwa kabisa na CIVILIAN-COIN na kuanzisha DBS ya Wananchi siku akiwa RAIS wa Tanzania

    Msanii wa music nchini Tanzania anayewakilisha nchi hiyo Kimataifa katika sanaa ya muziki na Uandishi, hivi karibuni alitangaza nia ya kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Mgombea binafsi, Civilian-Coin Nalimi Kisandu amesema akiwa Rais wa Tanzania atafuta na kuondoa kabisa...
  12. M

    Maonesho ya gwaride siku maalumu

    Mara kadhaa kukiwa na tukio fulani la kitaifa wanajeshi wetu hufanya maonesho ya kuvunja tofali kifuani, naomba kujua, Je, majeshi ya wenzetu kama vile USA, KOREA, RUSSIA nk. hufanya maonesho gani siku kama hizo?
  13. N

    Wakuu hivi bado kuna watu hawajagundua kuwa chai na chapati mbili siku hizi hazishibishi?

    Wakuu kwema utani kidogo Wakuu hivi bado kuna watu hawajagundua kuwa chai na chapati mbili siku hizi hazishibishi ? Mimi binafsi nikiwa kawaida napiga chapati tano na nikiwa na mood mbaya napiga hadi nane
  14. M

    Mwanaume! Hizi ni siku 6 ambazo unatakiwa umkaze kisawasawa mke wako

    1.Siku aliyokusamehe kosa lako.hakikisha siku hii unatumbua vijipu vyake vyote vya hasira vilivyoiva kwa wakati huo. utajua wewe utatumia mbinu gani ila hakikisha hilo bro! Ombi la msamaha kwa mwanaume linakamilishwa na mikazo. Ukimkaza vizuri hapo ndio atakusamehe mazima kutoka...
  15. N

    Siku hizi ni unasomea Biblia unapata unapata udokta wa PhD ya Theolojia, eti Joyce Kiria ni Dr kwa sasa...utani huu

    Jamani, nilikuwa mtandaoni nikaona Joyce Kiria anajiandaa kupata PhD, nikavutiwa sana..mana kutoka kuwa housegirl mpaka kuwa msomi na kuwa Dr ni jambo kubwa. Niliamua kufuatilia nikakuta kumbe ni amepata uzamivu wa theolojia...huu ni utani siku hizi..yani theology imekuwa rahis hivi, wawaulize...
  16. U

    Enyi Wakiristo siku ya kiyama Yesu Kristo atawakataa mazima mbele za Mungu kuwa yeye siyo Mungu ,

    Hamjachelewa ni wakati muafaka kuirejea dini ya haki. Mungu ni mmoja tu Allah na Mohamad ndiye Mtume wake wa mwisho Qur'an, Sura Al-Ma'idah, 5:116), Siku ya Kiyama Mwenyezi Mungu atamuuliza Nabii Isa iwapo aliwaambia watu wamwabudu yeye na mama yake kama miungu wawili badala ya Mwenyezi Mungu...
  17. C

    Ilikuaje ukaanza kunywa pombe, na siku ya kwanza ilikuaje ?

    Mimi ninachokumbuka ni kwamba mwanzoni ilikua nikinywa ninatapika na pia ladha yake nilkua naiona si nzuri kabisa, lakini lakini baadae nikawa naweza kunywa hata ndoo kubwa. Ila saivi nimeacha
  18. Seran

    Hivi yale majambazi ya zamani siku hizi yamenyamazishwa na nini?

    Zamani kulikuwa kuna majambazi yanayosimamisha mtaa! Yanavamia maduka hata saa mbili usiku bado mapema kabisa! Kuna siku ilitokea mtaani kwetu, risasi zililindima, mtaa wote kimya, watu walikimbizana kujifungia majumbani! Mama mmoja akaamrishwa atoe pesa kwenye min supermarket yake akawa...
  19. U

    Natabiri siku moja Mhesh Nicolas Benjamin Mkapa atakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Hayo ni maono yangu Kwa sasa ni miongoni mwa Watendaji wenye uwezo mkubwa achilia mbali uadilifu Nicholas Merinyo Mkapa (also spelled Nicholaus) is a Tanzanian public servant and lawyer serving as the Deputy Permanent Secretary in the Ministry of Communication and Information Technology...
  20. To yeye

    Kheri ya siku ya wanaume duniani especially wa Tanzania

    Asante sana TANESCO kwa kukumbuka hili.Nami nasema hongereni kwa Kubaki kuwa wanaume rijali,wenye nguvu na uthabiti. Hatujali midomo yenu mirefu Kama chuchunge kutwa kutusimanga Wanawake…hiyo poa tu tushazoea maana huenda kuna magumu tunawapitisha yanayoyofanya mtuone si watu wa kuaminika na...
Back
Top Bottom