Katika uchaguzi wa kuwapata senetaz wapya, nchini Burundi, uchaguzi uliofanyika jana tarehe 23 Julai 2025, umewaacha wagombea wa chama tawala cha CNDD-FDD wakichaguliwa bila upinzani kupata nafasi yoyote.
Ni uchaguzi uliokuwa ukiwaniwa na makabila(Hutu wa CNDD FDD, na Tutsi kutoka vyama vingine).
Hakuna mtutsi aliepitishwa