Burundi: Chama tawala chapata nafasi zote zilizokuwa zikiwaniwa

Burundi: Chama tawala chapata nafasi zote zilizokuwa zikiwaniwa

VERITE-NUE

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2019
Posts
1,494
Reaction score
1,466
Katika uchaguzi wa kuwapata senetaz wapya, nchini Burundi, uchaguzi uliofanyika jana tarehe 23 Julai 2025, umewaacha wagombea wa chama tawala cha CNDD-FDD wakichaguliwa bila upinzani kupata nafasi yoyote.

Ni uchaguzi uliokuwa ukiwaniwa na makabila(Hutu wa CNDD FDD, na Tutsi kutoka vyama vingine).

Hakuna mtutsi aliepitishwa
 
Dalili mbaya kwa taifa lao. Huku bora mungu alikua mkali na kumuwaisha kua kiongozi w malaika.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Back
Top Bottom