chama

The Rio Chama, a major tributary river of the Rio Grande, is located in the U.S. states of Colorado and New Mexico. The river is about 130 miles (210 km) long altogether. From its source to El Vado Dam its length is about 50 miles (80 km), from El Vado Dam to Abiquiu Dam is about 51 miles (82 km), and from Abiquiu Dam to its confluence with the Rio Grande is about 34 miles (55 km).
The name "Chama" is a shortened version of the Tewa term tsąmą' ǫŋwįkeyi, meaning "wrestling pueblo-ruin".

View More On Wikipedia.org
  1. Echolima1

    Mansour Abbas kiongozi wa chama cha kiarabu cha Ra’am huko Israel anatarajiwa usiku huu kuikana Hamas!

    Mwislamu wa Kiislamu wa Israeli, Mwenyekiti wa Ra’am, chama cha siasa, Mansour Abbas anakaribia kutangaza Hamas kuwa shirika la kigaidi kwa ajili ya faida ya kisiasa. Mansour Abbas: Ninatoa wito kwa umma kutovutiwa na tafsiri bila kusikia maneno moja kwa moja kutoka kwangu. Siku ya Jumamosi...
  2. tpaul

    Vijana tafuteni ajira; teuzi zinazunguka ndani ya ukoo wa panya

    Hizi teuzi za juzi ambazo Rais Samuya alitanua goli ili kuwaongezea ulaji watu wake zimenishangaza sana. Kama kuna kijana anasubiri uteuzi badala ya kutafuta kazi ajiajiri mwenyewe, ataendelea kusubiri hadi Yesu atakaporudi. Hakuna sura mpya hata moja iliyoyoingizwa ndani, teuzi zinazunguka...
  3. OMOYOGWANE

    Swali chokozi siasa za afrika: Je upinzani hawawezi kupandikiza mwanachama wao kamati kuu au ofisi nyeti chama tawala?

    Siasa ktk nchi ya kidemokrasia ni vita ya kutwaa dola kwa njia za amani. ANGALIZO: Nazungumzia mambo ya afrika kiujumla asije mtu akaingiza mambo yake. Tujadili bila kutaja majina. Haya ni mawazo ya sinema ya kikorea 100 days of deception Hili ni swali fikirishi, je upinzani hawawezi...
  4. S

    Chama Kikuu cha Ushirika Simiyu - SIMCU (2018) LTD Kinahitaji Madereva wa Matrekta na Power Tiller

    WANAHITAJIKA MADEREVA WA TREKTA NA POWER TILLER Chama Kikuu cha Ushirika Simiyu - SIMCU (2018) LTD kinahitaji madereva kwa ajili ya kuendesha zana za kilimo zitakazotumika kutoa huduma kwa wakulima katika Mkoa wa Simiyu, kama ifuatavyo: Na. Nafasi Idadi 1. Waendeshaji wa Matrekta (Tractor...
  5. Roving Journalist

    Ndejembi anafungua Kongamano la Kisayansi na Mkutano Mkuu wa Chama cha Wafamasia Tanzania (PST) - Mwanza

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, leo tarehe 25 Novemba 2026, anafungua Kongamano la Kisayansi na Mkutano Mkuu wa 56 wa Chama cha Wafamasia Tanzania (PST), unaofanyika katika Ukumbi wa Kwatunza Beach Jijini Mwanza. Mkutano huo wenye kauli mbiu isemayo...
  6. instinct desire

    Kwanini CHADEMA mnaona aibu kuongea ukweli kuwa chama chenu kimekufa wamebaki diasporas tu, semeni ukweli muwe huru

    Nimeshangaa Heche anasema eti chadema inawanachama wengi kuliko CCM hebu acheni kujidanganya semeni ukweli ili muwe huru, moto wa CCM hamuuwezi, acheni siasa za UTAPELI Yan mtapeli watu donation hadi hotuba za uzushi. Chadema Kuweni wakweli waambieni watu ukweli, kiuhalisia hakuna mwanachama...
  7. kibaigwa finest

    Clatous chama ameshapaniki baada ya kuambiwa ukweli na mchambuzi Hansrafael

    KASHAPANIKI HUKOOO Ni sakata la Instagram, Kilichotokea ni hivi: 1. Hans Rafael alimchamba Chama Hans aliandika kwenye comment kwamba kiwango cha Chama kinashuka kila siku, hana tena ile moto ya msimu uliopita. 2. Chama akamjibu moja kwa moja Chama mwenyewe akaingia kwenye comment za Hans na...
  8. Bzero

    Nataka kuanziasha chama Cha siasa Inashangaza kuona bado mnahaidiwa mambo waliohaidiwa wazee wa miaka ya 90 mnahaidiwa mpaka leo Yale yale

    Nataka kuanziasha chama Cha siasa Inashangaza kuona bado mnahaidiwa mambo waliohaidiwa wazee wa miaka ya 90 mnahaidiwa mpaka leo Yale yale
  9. N

    A BITTER TRUTH: Tanzania sio Kenya. Hili ni dola la kijamaa kama China. Chama Kikuu Cha Kisiasa ni kimoja tu, vingine 18 vilivyobaki vyote visaidizi.!

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Karibu sana mnitukane baada ya kumaliza kuisoma thread hii, ila huu ndio ukweli nyie wadogo zangu wa 2000s. Kama Siasa haikuingizii pesa, do it moderately. Abandom activism. Abandon insults and name calling. Usiwe mjinga ukapigwa virugu na Police kwa mtu ambaye hata...
  10. Pascal Mayalla

    Je Watanzania Wanahitaji Nini Hasa Kati ya Katiba Mpya ya Wananchi au Marekebisho Tuu ya Katiba hii Iliyopo ya Mwaka 1977 Ambayo ni Katiba ya CCM?.

    Wanabodi, Utangulizi wa Facts Kuhusu Katiba Tanzania. Je Wajua Tangu Tupate Uhuru, Tanzania hatujawahi kuwa na katiba ya Wananchi? Je Wajua Katiba hii iliyopo ya Tanzania ya Mwaka 1977 ni Katiba ya CCM? Je Wajua Katiba hii ni ya Mfumo wa Chama Kimoja CCM, Toka Enzi za Chama Kushika Hatamu...
  11. instinct desire

    Nyie watu, Kitabia na hoja za matusi mnaonekana ni wafuasi wa CHADEMA, lakini tukiwahoji nyinyi ni Chama gani mnasema hamna chama. mnajua kwanini?

    Ni kwasababu CHADEMA kwenye hii Nchi kimeumiza roho za watu wengi sana, chadema kina dhambi kubwa ya kufanya Vurugu na uhalifu nchini, kupitia haya matukio maovu nafsi za wafuasi wa CHADEMA zinaona aibu kujitanabaisha kuwa wao ni wafuasi wa CHADEMA kutokana na matendo maovu na yahovyo ambayo...
  12. K

    Mwenyekiti Mstaafu hakupaswa kuwa mjumbe wa milele wa vikao nyeti vya chama. CHADEMA tuliiga CCM na sasa tutajuta.

    MFUMO TAWALA sasa ni rasmi wana mjumbe halali ndani ya vikao vyetu! Kwa mujibu wa breaking news za BBC Idhaa ya Wanaharakati, Mwenyekiti Mstaafu ameteuliwa kwenye Tume ya Maridhiano, ambayo CHADEMA hawamo, na hawaitaki. Sasa Mzee anakwenda kwenye vikao vyao akitoka akitaka anaingia kwenye...
  13. Tochuku

    Tunamkaribisha member mpya Bakayo Saka katika chama Cha wanaume duniani

    Chama Cha Wanaume Duniani chini ya mwenyekiti Habibi Ashraf Hakimi, tunapenda kumkaribisha mwanachama mpya kwa Kumpa kadi ya uanachamq ambaye ni Ndugu Bakayo Saka, hii ni baada ya kuzingatia masomo ambayo tumekua tukiyatoa kila uchwao ili kua salama dhidi ya wanawake maharamia wa kizazi hii...
  14. instinct desire

    Mnatumia nguvu kubwa sana kujiaminisha kuwa Kuna chama cha CHADEMA nchini huko ni kujidanganya CDM ilishakufa kitambo sana

    Kilichowamaliza CHADEMA ni siasa zisizoheshimu katiba ya Nchi na Maadili yanayolinda vyama vya siasa, ndugu zangu siasa za kihuni nchini Tanzania hazipo, siasa za kuamini mtatetewa na bunge la Ulaya Tanzania hazipo. Ukizingua unazinguliwa kwa Mujibu wa katiba ya Tanzania. Ni muda sasa wa...
  15. Pakome

    Mgogoro wa siasa Tanzania utapungua kwa 90% ikiwa itarudi kwenye Chama kimoja cha siasa

    Mgogoro wa siasa Tanzania utapungua kwa 90% ikiwa itarudi kwenye Chama kimoja cha Siasa Ikiwa Tanzania itaendelea kuwa na vyama vya siasa zaidi ya kimoja mgogoro utakuwa mkubwa wa asilimia 90% Lakini kama kitabaki Chama kimoja cha siasa mgogoro utakuwa mdogo wa 10% tu Sitataja sababu zake...
  16. K

    Kuanguka kwa ANC je ni dalili kuwa genge la watekaji linalojiita chama la CCM kuanguka?

    Kuna taarifa kupitia vyombo vya Habari ikiwemo South African Broad -casting Corporation (SABC) kuwa ANC kule Africa kusini imegeuzwa mdebwedo sasa hili genge la watekaji hapa nchini linalotegemea yale magenge ya watekaji wenzao linaloitwa ccm ndio anguko lake au? naomba majibu wakuu.
  17. Corticopontine

    Tundu Lisu na Heche anzisheni Chama chenu achaneni na CHADEMA ukiona vyaelea vimeundwa

    Heche anaitumia Chadema iliyoundwa kwa jasho na damu na Mbowe kwa lengo la kujinufaisha huku akijifanya mpambanaji kumbe ni bonge la Tapeli na mla Rushwa mkubwa
  18. Chizi Maarifa

    Hawa Jamaa maisha yao ni ya hovyo sana. Ila utawakuta wanasupport Chama kama Matahira

    https://www.instagram.com/reel/Dfg03xTxDYt/?rpxt=dG9uYW4zbDYyYW0= Inasikitisha sana. Kazi ya watu wa Daraja la Chini sana.
  19. zitto junior

    Pigo jingine kwa Netanyahu: Chama kutoka kambi yake chakataa kumuunga mkono

    Wakati wa mashauriano kati ya wakuu wa chama na Herzog, ambayo yalimalizika Alhamisi, wanachama 67 kati ya 120 wa Knesset walimuunga mkono Eisenkot, huku 46 pekee wakimunga mkono Netanyahu. Uidhinishaji wa Netanyahu ulipungua viti 7 kati ya viti 53 vya kambi yake baada ya Uyahudi wa United...
  20. Sifi Leo

    Kwa hiyo Waitara, uko seriously bungeni kuna wabunge *******, wanaotokana na chama cha mapinduzi? Hahahaha wabunge wanapakuliwaaaaa!

    Lingekuwa bunge la vyama vingi ningeumia ila mpo pekee yenu sasa jamani ccm kuna michokoooo?imeingia mpaka bungeni?
Back
Top Bottom