VERITE-NUE
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,494
- 1,466
Mara nyingi utaonekana kama msumbufu au mkorofi pale unapoweka mipaka na kutoruhusu watu kukufanyia wanavyotaka
Nitakuzoea hivyo hivyo hata kama utaniona msumbufu...Ujumbe uwafikie
"Acha mazoea yasiyo na umuhimu"
Binadamu hawana wema..."Acha mazoea yasiyo na umuhimu"
Mwisho wa kunukuu
ExactlyBinadamu hawana wema...