binadamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kazanazo

    Hivi kuna faida na raha gani binadamu kumtawala binadamu mwenzie?

    Hiwe kundi moja la kikabila, dini, rangi, dhehebu, chama nk kulitawala lingine haliyakuwa wote ni binadamu Kwa wanyama porini huwa kuna ambao wanakula wenzao ndio maana wanatawaliana kutokana uhai wa mnama mmoja unategemea kifo cha mnyama mwingine. Hali hiyo ni tofauti kwa binadamu ambapo huwa...
  2. The Burning Spear

    Amnesty International waanza Kumlilia upya Balozi Humphrey polepole

    Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Amnesty International, kupitia ofisi yake ya Afrika, limetoa wito wa kutaka haki kwa aliyekuwa Balozi wa Tanzania, Humphrey Polepole, aliyeripotiwa kutoweka Oktoba 6, 2025, huku likiingiza suala lake katika kampeni ya kimataifa ya #Write4Rights...
  3. Yoda

    Utachukua hatua gani kwa mtu wako wa karibu anayekusudia kutoa kafara ya binadamu?

    Utachukua hatua gani ndugu yako, mume/mke, jirani au rafiki akikuambia mungu amemuambia amtoe sadaka/kafara mtoto wake na kweli anakusadia kwenda kumtoa mtoto wake sadaka kutimiza agizo hilo ?
  4. Yoda

    Ni sahihi Mbwa kupewa maisha mazuri kuliko binadamu?

    Kuna Mbwa na Paka wanaishi maisha mazuri sana kuliko binadamu wengi. Unakuta Mbwa wanalishwa vizuri, wanakaa pazuri na wanabebwa kwenye gari za kifahari. Je jambo hili la kuwapa Mbwa na Paka maisha mazuri na kuacha kusaidia binadamu wenye maisha mabaya wanaoteseka kwa kwa kukosa hata mahitaji...
  5. Gunner11

    Asikwambie mtu, kuishi single kunaharibu sana afya ya akili

    Niwachane tu ukweli wadau.. Kuishi single ni msala, kwanza unakuwa una hasira hasira tu. Ndugu zangu mlio single, Kamwe usije kudhani una enjoy, NY friend you are just surviving.. Kama jinsi mwili wako unavyo taka chakula hata viungo vyako vya siri vinadai... I need to reshape my love life...
  6. Yoda

    Ilikuaje mpaka binadamu wakaanza kufikiria kutahiri ?

    Binadamu wa kwanza kuanza kutahiri wanaume walifikiria nini hadi wakaanza kukata au kukatana magovi ya mboo zao ?
  7. secretarybird

    Wafungwa wana hamu ya mapenzi kama binadamu wengine: Suluhisho ni nini?

    Nadhani hapa Tanzania Conjugal visits hairuhusiwi. Je, suluhisho ni nini? Niaonavyo, kwa mwanaume kuukwea mnazi kwa kono moja ndiyo namna pekee ya kuikata ashiki ukiwa mjela jela. Hii ni ngori! 🥲 Mbaga Jr, Dr am 4 real PhD, Monetary doctor.
  8. Yoda

    Kwanini Mungu anamjaribu binadamu ?

    Kuna sababu zozote za maana mungu kuwapa majaribu au mitihani wanadamu aliowaumba mwenyewe na anaojua mpaka mwisho wao ? Kwa nini mungu amjaribu binadamu? Kwa nini anaruhusu shetani awatese binadamu akiwajaribu ?
  9. idiomer

    Haki za binadamu Tunahaki ya kuzisimamia kama nchi ndani bila kuingiliwa na nchi au vyombo vya kimataifa.

    Ila uchumi MIKOPO TOKA NJE SAWA EU, WORLD BANK, PEPFAR , US , CHINA, UAE 🤭🤭🤭
  10. Q

    Leo Umoja wa Mataifa UN utaijadili Tanzania kuhusu haki za binadamu.

    The United Republic of Tanzania's 53rd Session of the Universal Periodic Review (UPR) is taking place today, 5 November 2026, in Geneva, Switzerland. The UPR is a United Nations process in which member countries examine one another's human rights records. Tanzania will face questions and...
  11. Kaka yake shetani

    Wanasayansi wa Harvard wagundua kemikali zinazoweza kurudisha nyuma uzee wa seli za binadamu – Je, siku moja tutakuwa na kidonge cha kurejesha ujana?

    Sasa watafiti wanachunguza uwezekano wa kutumia kemikali badala ya kuingiza jeni kwa njia ya tiba ya vinasaba (Gene Therapy). Sababu ni kwamba kemikali zinaweza kuwa rahisi zaidi kutengeneza na kutoa kama dawa kuliko tiba inayohitaji kuingiza jeni mwilini. Maana ya kisayansi: Je, kweli uzee...
  12. Hamissi Hamza Jr

    Mwauwasa sisi ni binadamu sio ngamia

    Inasikitisha Sana kwa Ukanda Wa Pembezoni Mwa Ziwa Viktoria Kuwa na Tatizo sugu La Huduma ya Maji, Mkoa Wa Mwanza Imekua Si Changamoto tena imekua Kama ni Wajibu wa Wananchi Kukosa Huduma Hii Muhimu Kwa Wiki kadhaa au Miezi,Bahati Mbaya Hakuna Taarifa zinazotolewa Wazi kwa Umma Kama kutakua na...
  13. Roving Journalist

    ACT: Tanzania ipo katika mkwamo wa Kisiasa, sababu ya ukiukwaji wa Demokrasia, Utawala Bora na Haki za Binadamu

    TAARIFA KWA UMMA HAKUNA MARIDHIANO BILA UKWELI, HAKI NA UWAJIBIKAJI Leo, Novemba 1, 2026. Chama cha ACT Wazalendo kimeeleza kuwa Tanzania ipo katika mkwamo mkubwa wa kisiasa unaotokana na ukiukwaji wa misingi ya demokrasia, utawala bora na haki za binadamu, na kusisitiza kuwa hakuna maridhiano...
  14. figganigga

    Wafuasi wa Samia Suluhu wangemuiga Hussein Bashe, wasingekuwa wanamwaga damu ya Binadamu

    Kinacho sababisha watu kuteka binadamu, kuua ni Umasikini. Yaani Matajiri wanatumia pesa zao kuwapa Masikini ili wamwage damu za masikini wenzao na hao Masikini wanaoua wenzao, wanajisifu kwa kumwaga damu ya Binadamu fukara mwenzao ili kumfurahisha Mtawala/ tajiri alowatuma. Yaani masikini...
  15. Gunner11

    Hivi kumbe mwili wa binadamu nao unahitaji service kama gari?

    Nimejikuta Niki cheka sana baada ya kuona clip moja mtandaoni... Massage 💆 za wa Thailand 🇹🇭 zinachekessha sana Hawa wamama mpaka wana vinyundo wanakuwa wanagongelea Sehemu zenye ukakamavu dah.. 😂 Yaani inataka kugeuka kuwa yoga ya lazima... Ni kasheshe sasa hapo hata kufikiria mambo mengine...
  16. Tlaatlaah

    Tundu Lisu kuamua kujidhuru na kujiangamiza mwenyewe kwa njaa kabla ya hukumu yake, ni kutafuata umaarufu na public sympathy isiyo na tija

    Kwasababu kwa kawaida, mtu mwenye changamoto ya afya ya akili ndie pekee huwaza, huamua na kutenda mambo au vitu vinavyo mdhuru, vinavyo muumiza, vinavyo muathiri na pengine vyenye uwezekano mkubwa wa kumuangamiza yeye mwenyewe. Je, mtetezi huyo wa haki za binadamu wa mchongo, anakusudia...
  17. E

    Voyager 1: Chombo cha binadamu kilichosafiri mbali zaidi angani

    Chombo cha anga cha Voyager 1, kilichozinduliwa na Shirika la Anga la Marekani (NASA) mwaka 1977, kinaendelea kushikilia rekodi ya kuwa chombo kilichotengenezwa na binadamu kilichosafiri umbali mkubwa zaidi kutoka Duniani. Chombo hicho kimevuka mpaka wa eneo linalotawaliwa zaidi na upepo wa Jua...
  18. Tlaatlaah

    Tundu Lisu hana record yoyote ya kuaminika kwamba ni mtetezi wa haki za binadamu iwe ni kwao Singida, Tanzania, Africa au kokote duniani.

    Na kwahivyo, hakustahili hata kuorodheshwa tu miongoni mwa watetezi wa haki za binadamu wa kuwania tuzo ya haki za binadamu ya kimataifa ya SHAKHAROV. Zaidi ya yeye tundu lisu kua mkiuka haki za binadamu na katiba ya nchi yake, kama kuna mdau yeyote wa heshima wa JF mwenye ushahidi wa records...
  19. Yoda

    Nani mkubwa kati ya binadamu na malaika?

    Nani mkubwa na wa hadhi ya juu kati ya binadamu na Malaika ? Nani ana maisha mazuri zaidi kati ya binadamu na malaika?
  20. Idugunde

    Lissu ateuliwa kushindania tuzo ya haki za binadamu. Aibu kwa Samia na washauri wake

    Akishinda Samia na genge lake watapata aibu kubwa.👇
Back
Top Bottom