zanzibar

  1. Mwande na Mndewa

    Yuda Fever: Nyumba nyeupe haikaliki analala Zanzibar

    Usimchokoze jirani wakati nyumba yako ya kioo,atakupiga mawe avunje nyumba yako.
  2. Waufukweni

    Rais wa Zanzibar aahidi Tsh. Milioni 1 kwa kila goli, Tsh. Milioni 5 kwa kila ushindi wa KMKM na KVZ CAF

    Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameahidi kutoa motisha ya kifedha kwa timu za KMKM na KVZ FC ambazo zinaiwakilisha Zanzibar katika mashindano ya klabu barani Afrika yanayosimamiwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF). Rais Mwinyi ameahidi kila timu kupata shilingi milioni tano (TSh...
  3. Bujibuji Simba Nyamaume

    Kwanini Rais Samia habinafsishi wala kuuza bandari ya Zanzibar na Uwanja wa ndege wa Zanzibar?

    Uwaanja wetu wa ndege uko mbioni kuuzwa kwa mwekezaji wa India 🇮🇳. Miaka michache nyuma, serikali ya mama Samia, iliingia mkataba wa ajabu kabisa na mwekezaji wa DP WORLD kutoka Dubai. Mama Samia sio kwamba anaipenda sana Tanganyika, aina ya mikataba anayoingia na wawekezaji haiko wazi na...
  4. Zack Abdul

    Nukuu Za Rais Samia Suluhu Hassan Akiwaapisha Viongozi Wateule Ikulu Ndogo Ya Tunguu, Zanzibar

  5. NkomaBakhosi

    Fei Toto na Jeuri ya Zanzibar

    KUHUSU MCHEZAJI ANAYELIPWA ZAIDI TANZANIA: MIUNDO NA MIKAKATI YA MSHAHARA Feisal Salum (Fei Toto) analipwa mshahara mkubwa zaidi kwa sasa nchini akipokea kiasi cha Shilingi milioni 100 kwa mwezi, huku mkataba mpya wa Stephane Aziz Ki Yanga ukimwingizia kiasi kinachokadiriwa kufikia Dola...
  6. NkomaBakhosi

    Fei Toto na Jeuri ya Zanzibar

    KUHUSU MCHEZAJI ANAYELIPWA ZAIDI TANZANIA: MIUNDO NA MIKAKATI YA MSHAHARA Feisal Salum (Fei Toto) analipwa mshahara mkubwa zaidi kwa sasa nchini akipokea kiasi cha Shilingi milioni 100 kwa mwezi, huku mkataba mpya wa Stephane Aziz Ki Yanga ukimwingizia kiasi kinachokadiriwa kufikia Dola...
  7. Zack Abdul

    Rais Samia aapisha Wakuu wa Mikoa wapya Ikulu Ndogo Zanzibar

    Mheshimiwa Dkt.Samia Suluhu Hassan,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,akizungumza na Viongozi baada ya kuwaapisha Wakuu wa Mikoa ya Mbeya,Geita,Pwani,Mwanza pamoja na Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani katika Ikulu Ndogo ya Tunguu,Zanzibar Leo Tarehe 02 Septemba,2026
  8. Roving Journalist

    Rais Dkt. Samia Akiwaapisha Viongozi Wateule, Ikulu Ndogo Ya Tunguu, Zanzibar | 02 Septemba, 2026

    https://www.youtube.com/live/BdUex_A8m7A Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwaapisha Wakuu wa Mikoa na Katibu Tawala wa Mkoa, Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar Septemba 02, 2026.
  9. Jannatul Firdaus

    Mamia wafurika kambi ya matibabu ya macho MUHIMBILI Zanzibar

    Mamia ya wananchi wamejitokeza kupata huduma katika Kambi Maalum ya Matibabu ya Macho inayoendeshwa na madaktari bingwa kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH)kwa kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Qatar Charity ambapo Septemba 01, 2026 huduma hizo zimeanza kutolewa rasmi...
  10. R

    Unatetea katiba mbovu ambayo kila mtu anaweza kugundua makosa /mapungufu iliyonayo

    Unatetea katiba mbovu ambayo hata kipofu na kiziwi wanaweza kui palpate na kugundua makosa /mapungufu iliyonayo. Best katiba kama za marekeni mnazisfia, mnasahau kuwa ziliundwa/ziliandikwa na watu waliojitoa mhanga kama Lisu. Mjue likitokea la kutokea muungano ukavunjika, your beloved ones will...
  11. Mohamed Said

    Tunawakumbuka: Mapinduzi ya Zanzibar Kipindi Cha Kwanza

    https://youtu.be/_p4-XBxMbBc?si=GhBz__6hPQu9Dj3s
  12. Pascal Mayalla

    Japo Tanzania na Zanzibar ni Nchi Moja, Lakini Kwenye Utoaji wa Haki, Zanzibar Wametupiga Bao!, Wameanza Mchakato wa Kuelekea Kwenye Smart Justice

    Wanabodi, Tanzania ni nchi moja ya JMT yenye sehemu mbili, Tanzania Bara iliyokuwa Tanganyika na Tanzania Visiwani au Tanzania Zanzibar iliyokuwa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar. Zanzibar sio nchi, bali ni sehemu ya JMT yenye kujitegemea kwa utawala wake ndani. Mfumo wa utoaji haki unaongozwa na...
  13. Yoda

    Waziri mkuu wa Tanzania ni wa Tanganyika pekee au ana mamlaka hadi Zanzibar?

    Mbona huwa sijawahi kuwaonea wakina Majaliwa na Mwigulu wakienda kutoa maelekezo, maagizo na kufanya mikutano ya kutatua changamoto za wananchi Unguja au Pumba? Hii nafasi ya waziri mkuu wa Tanzania mamlaka yake yakoje katika nchi ?
  14. Mwande na Mndewa

    Kama Zanzibar ni nchi huru,Je Tanzania ina muungano na nchi gani? Rejea katiba ya Zanzibar.

    Hivi leo ACT wanaojiita Wajamaa na Wazalendo leo wanapigania Uzanzibar! kule Zanzibar,kwa nini wasipiganie na Utanganyika huku Tanganyika,ila wamekaa kimya kwa upande wa Tanganyika nao wanaiita Tanzania,sasa Tanzania kwa sasa ni muungano wa Tanganyika na nchi gani ? Montevideo Convention ya...
  15. Mwande na Mndewa

    Mapungufu yetu kama Taifa yalianzia hapa 1984 tulipobadili katiba ya Zanzibar

    MAPUNGUFU YETU KIMAADILI YALIANZA KWENYE MICHAKATO HII Mabadiliko ya Katiba ya mwaka 1984 na 1992 upande wa Jamhuri pia Uandishi wa Katiba ya Zanzibar mwaka 1984 na mabadiliko yalofuatia mwaka 2002. Mwaka 1984 tuliona mabadiliko kwenye katiba ya Tanzania na Zanzibar,kama leo hatuitaki katiba...
  16. Traxtion

    Kwa nini Wazanzibari wanajifanya hawaelewi kinachoendelea Tanzania bara?

    Naona Wazanzibari wanasema sisi ni wabaguzi eti kwa sababu Rais ametoka Zanzibar. On paper Samia ni Rais wa Muungano, yani wa Tanzania yote, lakini Zanzibar ina Rais wao tayari kwa hiyo wana Marais wawili, Rais wa Zanzibar na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Lakini kwa kuwa Samia ni...
  17. Waufukweni

    Jussa: Rais katoka Zanzibar imekuwa nongwa, Rais alipokuwa wa kwao hawakuona Tanganyika imeuliwa

    Makamu Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo, Ismail Jussa, amewashukia baadhi ya wanasiasa wanaokosoa mfumo wa Muungano na uwepo wa Rais kutoka Zanzibar, akisema wameanza kukumbuka "Utanganyika" wao kutokana na chuki binafsi dhidi ya viongozi waliopo badala ya kusimama kwenye misingi ya kisheria na...
  18. R

    Tanzania na Zanzibar na Maprofesa wetu

    Tumefika hapa. Na bado Haya twende kazi
  19. T

    Butiku: Viongozi wote wa Zanzibar walikuwa wanamuunga mkono Seif kulinda Zanzibar ila Tanganyika mambo yao yote wameyaweka kwenye muungano

    Mzee Butiku anasema kwenye Ile tume ya katiba walipowahoji viongozi wote wa Zanzibar walionyesha kuwa na uchungu sana na nchi Yao na hapo viongozi wote walikuwa wanakubaliana na maalim Seif. Kwa upande wa bara wao mambo yao yote wamesalimisha kwenye muungano. Amesema hayo akihojiwa na mtaalamu...
  20. Parabolic

    Othman: Zanzibar haitonyooka bila Baraza madhubuti la Wawakilishi

    Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa, Othman Masoud Othman, amesema Zanzibar haitofikia maendeleo ya kweli pasi na kuwepo Baraza makini la Wawakilishi, linalosimamia maslahi ya Umma na matakwa ya Wananchi. Amesema Zanzibar katu haitonyooka hadi kuwepo na Baraza madhubuti la Wawakilishi...
Back
Top Bottom