zanzibar

  1. radhiya

    Khanga kubwa kutoka Zanzibar zipo. Zimebaki pc 5 tu.

    Khanga kubwa nzito za Zanzibar zinapatikana. Bei ya rejareja: sh 20,000/=. Bei ya Jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga tatu. Tunapatikana tabata Kinyerezi (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery unalipia sh 3,000/= ndani ya dar. Mawasiliano...
  2. M

    Sio kwa ubaya ila tunaombeni Tanga iwe sehemu ya Zanzibar, Tunachelewa sana kufika chini ya Serikali ya Muungano wa Tanzania.

    Upanuzi wa Fursa za Uongozi wa Kitaifa: Tanga ikiwa sehemu ya Zanzibar, tungeingia moja kwa moja kwenye mfumo wa kipekee wa ambapo tungeweza kuwaa Rais wa Zanzibar na bado tukawa na nafasi ya kutoa Rais au Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ni vigumu sana Tanga kupata Rais kwa...
  3. Q

    Zanzibar kuvunja nyumba zote za umma za zamani na kuzijenga upya. Sisi tuendelee kutekana

    Watanganyika tuendelee kutekana na kufungana, akitokea mwingine kutetea maliasili zetu afungwe tu, machawa nao waendelee kushangilia na kutetea hilo. ==========/========= The Zanzibar Government plans to demolish and rebuild all public housing estates constructed in the years following the 1964...
  4. radhiya

    New Villas for sale in Zanzibar

    Turu villas is an exclusive collection of 12 private luxury located in the prestigious Kiombamvua area of Zanzibar. 40min from ferry, 35-40min from airport, 10min walk to the beach, 10min walk to the 9-hole golf course. Pricing: •Size: 450sqm. •1 Line: USD 500,000. •2 Line: USD 450,000. •3...
  5. Keynez

    Muundo wa uchaguzi na Muungano ulivyo, Rais anaweza kupatikana bila kufanya kampeni wala kupata kura hata moja ya Zanzibar

    CCM wanadhani watu wanaopiga kelele kudai mfumo mpya wa uchaguzi wanafanya hivyo tu kwa ajili ya madaraka ila hawatambui kuwa mfumo wa sasa wa uchaguzi na hata muungano wenyewe upo hatarini sana. Kesho anaweza kutokea mtu mwenye ushawishi mkubwa kisiasa akagombea nafasi ya Urais. Mtu huyo...
  6. F

    Je ni rahisi watoto na wajukuu kuvunja ndoa ya wazazi waliokwisha kufa zamani(Tanganyika na Zanzibar)?

    Wazazi walifunga ndoa wakamaliza, na wamefariki wakiwa ndani ya ndoa. Sasa watoto na vijukuu baada ya kusoma wosia wa marehemu Babu na bibi zao waliokwisha kufa, hawaridhiki na mirathi, Sasa wameamua kuomba ndoa ivunjwe, Watoto hawa wamejaribu muda Sasa kuhoji ilipo hatia ya ndoa ili watafute...
  7. Alexido jz instagram

    ZHC ya Zanzibar imenitumia SMS, ninue nyumba, Zanzibar, MI ni mbara siruhusiwi kumiliki ardhi Zanzibar, sijawaelewa,

    Napenda kutii Sheria bila shuruti, napenda kuheshimu mamlaka, NACHUKUA Fursa hii kumpongeza rais wangu dkt mwinyi, asee hunambii kitu kwa huyu rais, NAMPENDA SANA, nashukuru pia rais wangu wa JMT. Ndugu mheshimiwa rais, nimetumiwa sms ZHC NINUE NYUMBA zenji nilipo kwa sasa, nikasema sawa mara...
  8. kagoshima

    Tanganyika ndiyo serikali ya Muungano huku Zanzibar ikiwa inchi huru

    Huo ndo uhalisia. -kwanini Tanganyika haisikiki vinywani mwa watawala. Tanganyika ndio imepewa jina la serikali ya Muungano. -Kwa muundo huu wa Muungano, Tnganyika ndio imebatizwa jina na kuitwa serikali ya muungano. Kwa muundo huu , kiuhalisia, Zanzibar hawapo kwenye Muungano, huwa wanatuma...
  9. Stunnaman008

    Zanzibar: Moto unawaka kwenye kituo cha umeme cha Forodhani

    Moto unawaka katika kituo cha umeme Forodhani
  10. B

    lattest Jobs in Zanzibar 2026

    Recent Job Openings in Zanzibar Browse the latest job openings in Zanzibar. Your next career move is just a click away. 1. Commis Chef — Tanzania, Zanzibar 2. Chef de Partie — Tanzania, Zanzibar 3. Receptionist — Tanzania, Zanzibar 4. Security Manager — Tanzania, Zanzibar 5. Sales Manager —...
  11. M

    Kuna ukweli kiasi gani Zanzibar inasuka mpango wa muda mrefu wa kuendelea kushika mamlaka hata Rais ajae akija kutokea Tanganyika?

    Kuna ukweli kiasi gani katika madai kwamba Zanzibar inaweka mfumo wa kisiasa na kiutawala ndani ya Tanganyika unaoweza kuiwezesha kuendelea kushikilia mamlaka kwa miongo kadhaa ijayo, hata pale ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atakapokuwa anatoka Tanganyika? Je, huu ni mkakati wa...
  12. A

    Toyota Spacio yabeba watu 27, dereva akamatwa na polisi

    Video inayosambaa mitandaoni imeibua mshangao baada ya askari wa Polisi kuonekana akiwashusha abiria 27 waliokuwa wamepakiwa ndani ya gari aina ya Toyota Spacio namba Z 844 AAU, ambalo kwa kawaida lina uwezo wa kubeba abiria wasiozidi saba. Katika hali isiyo ya kawaida, idadi hiyo kubwa ya...
  13. M

    Ni kweli Kanisa Katoliki halikufanya misa maalum kukumbuka waliouawa Zanzibar mwaka 2001, wakati nchi ikiongozwa na Rais Mkatoliki Benjamin Mkapa?

    Wakuu, kuna mjadala mzito unaosambaa kwa kasi. kuna habari zinasambazwa Kanisa Katoliki halikutenga siku maalum ya Misa maalum kufuatia ghasia na mauaji ya Zanzibar ya mwaka 2001, tofauti na nguvu inayowekwa sasa kuelekea Oktoba 29. Kuna ukweli katika hili ? Update: Kanisa Katoliki lilitoa...
  14. Fahari ya kusini

    TEC ningekubaliana nao kama wangefanya hivi kipindi cha mauaji ya Magomeni mwembechai au mauaji ya Zanzibar,

    Kila Uhai wa Mwanadamu Una thamani, na kila familia iliyo poteza mpendwa inastahili huruma na heshima Matukio ya mwaka 1998 Na 2000 Yakumbukwe pia: Fuatana Nami Mchambuzi wako Profesa Chotara Mweusi Sultan Bingwa wa Uchambuzi kutoka Viunga vya Sharif Shamba Ilala Dar Es Salam. Baraza la...
  15. L

    Daktari wa China amsaidia mwanafunzi wa Zanzibar, kupona na kurejea shuleni

    Ashfaina Omari Ali, mwenye umri wa miaka tisa na nusu, aliingia katika Shule ya Msingi Sebleni kwenye kisiwa cha Unguja, Zanzibar, akiwa anajiamini upya. Kwa Ashfaina, kurejea shuleni ilikuwa zaidi ya kuanza kwa siku nyingine ya masomo. Ilikuwa ishara kwamba maisha yalikuwa yakirejea katika...
  16. ChoiceVariable

    Video : Raia wa Kenya Ashangaa Mombasa Ilivyoachwa Nyuma kwenye Maendeleo na Zanzibar,Asema Watalii Wamekimbia Kenya Wanamiminika Zanzibar.

    My Take Rais Mwinyi angesikiliza ule upumbavu wa Wapinzani na kuacha kukodisha visiwa Kwa wawekezaji eti ataambiwa anauza Nchi Leo hii wasingepata maendeleo makubwa sekta ya I ya utalii. Ukweli ni kwamba sekta ya utalii Tanzania inabebwa na Zanzibar ndio inafuata Serengeti na Ngorongoro kiasi...
  17. M

    Mkoa moja ndani ya bara upewe hadhi kama ya Zanzibar, wazanzibari ni wachache, ardhi ndogo kama wilaya lakini madaraka na keki wanayoipata ni kubwa

    Haya mambo mpaka lini hasa ? Zanzibar ni theluthi ya baadhi ya wilaya, inainga zaidi ya mara 350 ndani ya Bara, Watu wake ni asilimia 3 tu Lakini Madaraka wanayopewa ni makubwa sana, vyeo wanavyopewa ni vingi sana kuzidi uwiano wao ndani ya Tanzania, Rasilimali wanazomiliki ni nyingi sana...
  18. Lupweko

    Mwarabu asema Zanzibar ina kiwango kikubwa cha ushoga

  19. radhiya

    Khanga kubwa kutoka Zanzibar zinapatikana

    Khanga kubwa nzito za Zanzibar zinapatikana. Bei ya rejareja: sh 20,000/=. Bei ya Jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga tatu. Tunapatikana tabata kinyerezi/Msasani (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery unalipia sh 3,000/= ndani ya dar...
  20. M

    Wazanzibar walishajifunza ni vigumu kupata Urais kwa mfumo wa kawaida, hofu ni mfumo unaowekwa kulinda mamlaka yao Tanganyika hata kwa vizazi vijavyo

    Kipindi cha Mwinyi, Nyerere alikuwa na ushawishi mkubwa wa kisiasa, hata akiwa nje ya madaraka. Mazingira ya sasa ni tofauti kabisa. Kipindi hiki, Makamu wa Rais katiba ilimpa mamlaka ya kuwa Rais. Wazanzibari wanafahamu kuwa kupata Rais wa Muungano kupitia Ccm kwa njia zilizozoeleka ni...
Back
Top Bottom