zanzibar

  1. Hakuna sehemu rahisi kuopoa manzi kama Zanzibar

    Amakweli tembea uone. Katika harakati zangu za kuvizia bandari zenu, nimekuja huku visiwani. Awali nilikuwa nahofia sana majuba nikajua ndani yake wapo mabikira safi au wake za watu. Baada ya siku mbili tatu nikabonga na mwenyeji fulani akaniambia wataka mwanamke? Nikasema naaam, akasema hilo...
  2. Khanga kubwa kutoka Zanzibar zipo pc 5

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Zimebaki pc 5 tu. Bei ya Khanga: sh 17,000/=. Karibu kuchagua na kuweka oda yako, tupigie 0784 829565. @radhiyastore @prathrealestate
  3. Simba Yavamia Zanzibar Kumng'oa Feitoto Azam FC, Yanga Yatajwa Kumrudisha Kaze

    Uchambuzi wa kina wa soka la Bongo uliotolewa na wachambuzi wa michezo, Hans Raphael na Juma kupitia kipindi cha Crown Plus, umeweka wazi mwenendo wa klabu za Simba SC na Young Africans (Yanga) kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara, huku ikibainika kuwa Simba wameanza maandalizi kabambe ya usajili wa...
  4. A

    Miti ya mitiki (teak trees) 100 inauzwa. Zanzibar

    Nauza takriban miti 100 ya Mitiki (Teak) iliyopo Selem, Zanzibar. Miti imekua vizuri na ina ukubwa unaofaa kwa matumizi ya mbao, samani, ujenzi na biashara ya mbao. 📍 Eneo: Selem, Zanzibar 🌳 Idadi: Takriban miti 100 📏 Mzunguko wa shina: Nchi 63 na kuendelea 📐 Urefu: Mita 8 na kuendelea Miti...
  5. Bilionea na Infulencer mkubwa, Zeus kaja Zanzibar Media kimya, sijui tukoje

    Sijui tunatakaga Nini tu, watu MAARUFU waja Zanzibar lakini huoni media kubwa kama clouds wasafi eatv wanapeleka presenters Kwa AJILI ya mahojiano nao, mfano alikuja cucurella mchezaji wa Chelsea akawa anazinguka tu forodhani hana inshu, don jazzy, wachezea filamu wakubwa kimya. Baadae...
  6. B

    Narudia tena kusema, Dr Ally Hussein Mwinyi anavunja record ya Maendeleo Zanzibar

    Mnamo mwezi Jan 2026 nilisema namna Mh Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Dr Hussein Ally Mwinyi anvyokonga nyoyo za wazanzibar kwa kuwaletea maendeleo endelevu kisiwani humo. Nilisema pia haya Mwaka mmoja bada ya kuchaguliwa Mwaka 2021. Kwa mtu ambaye naifahamu Zanzibar kabla ya Uongozi...
  7. Tulipe kodi kwa maendeleo ya Zanzibar

    TULIPE KODI KWA MAENDELEO YA ZANZIBAR Na Waheed Muhammad Ibrahim Sanya, Msajili wa Hazina Zanzibar Maendeleo ya mtu, jamii na taifa hayawezi kutenganishwa na uwepo wa rasilimali za kutosha za kugharamia mipango na huduma zinazohitajika na wananchi. Miongoni mwa nyenzo muhimu zaidi katika...
  8. T

    Maridhiano Zanzibar yatalainishwa na donge nono toka Tanganyika!!

    Mara zote wapemba na waunguja msuguano mkubwa na tofauti za kimisimamo huwa zinahusu muungano na maslahi yake kwa Zanzibar, na sio Siri kwamba kila wazanzibari wakija juu kuhusu Zanzibar wamekuwa wakipozwa na bakshishi na marupurupu kedekede toka Tanganyika. Katika muktadha wa sasa ambapo rais...
  9. Off plan hills Nungwi Apartments For Sale in Nungwi Zanzibar

    We are pleased to introduce The Hills Nungwi by Majestic Luxury Suites, a premium residential development located just 50 meters from the beach in Nungwi, Zanzibar. Pricing: • One-bedroom apartments: USD 148,500–198,000 (77sqm) • Two-bedroom apartments: USD 165,000–220,000 (89sqm) •...
  10. Kuiunganisha Tanganyika na Zanzibar kwa udongo bado haitoshi, kuna la kufanya zaidi

    Ili kuwakatisha tamaa wale viherehere waisoutakia mema muungano wetu ipo haja ya dhati na thabiti ya kuona ni jinsi gani tutafanya ili muungano huu,tuupigilie msumari wa mwisho ili nia na akili za wale wachache wasioutakia mema muungano,nia zao za hovyo zisiweze kufikirika kwa namna yoyote ile...
  11. Inapotajwa Mwanza, Dodoma, Dar es salaam, Arusha, Tanga, Mbeya nk Zanzibar hakuna jiji?

    Ni ubaguzi ulioje.
  12. New Constructed Villas on Sale at Zanzibar KiombaMvua

    Turu villas is an exclusive collection of 12 private luxury located in the prestigious Kiombamvua area of Zanzibar. 40min from ferry, 35-40min from airport, 10min walk to the beach, 10min walk to the 9-hole golf course. Features: •2 bedrooms villas. •Boutique 12 villa development. •Private pool...
  13. M

    G55 vs Nyerere, Pemba 2000 vs Mkapa na Warioba vs Kikwete ilishindikana kupata Tanganyika au Zanzibar huru. Je, kipindi cha Samia tutatoboa ?

    G55 vs Nyerere, Pemba 2000 vs Mkapa, na Warioba vs Kikwete. Vipindi hivi vitatu vilitikisa mjadala kuhusu mustakabali wa Muungano, lakini hatimaye havikuzaa Tanganyika au Zanzibar huru. Leo tunajiuliza swali lilelile: Je, kipindi cha Samia Suluhu Hassan ndiyo tutatoboa? Je, tutafika kwenye...
  14. Zanzibar imepata jembe, Dkt Mwinyi anavunja hadi Ofisi za CCM zilizo barabarani kupisha ujenzi wa barabara safi kabisa kazi iendelee

    Barabara ya kutoka mwembe ladu mataaa kupanda mwembe mimba, kulikua na majengo mawili ya wazee wa ccm, yana maduka na maskani ya kuangalia mpira na habari, amani fry over majengo ya ccm zaidi ya maduka kumi na kitu, aseee yamekula nyundo sio poa alafu ni ile ya shwaa yani fumba fumbua...
  15. Mbowe hakuwahi kwenda hata mara moja kumjulia hali Mwenyekiti wake Lissu ila ameenda Zanzibar kumpa pole Samia , hii imekaaje?

    Nimesikitika kuona mbowe kutokwenda kumjulia hali mwenyekiti wake licha ya kusota rumande kwa muda mrefu na pia hajawahi kwenda au kusema lolote hata kwa bahati mbaya kumtia nguvu mwenyekiti wake ila cha ajabu amesafiri mpaka zanzibari kumpa pole samia . Hii imekaaje? Je mbona samia hakutuma...
  16. M

    Wazanzibari acheni kelele. Zanzibar sio dola huru. Pambaneni kuwe na serikali tatu.

    Zanzibar sio dola huru hii ni kwa mujibu wa Montevideo convetion of statehood Article one. Mtapiga kelele sana na hicho chama chenu cha wahafidhina wa Act Wazalendo lakini hamtafanikiwa.
  17. Mume wa Rais Samia azikwa Kizimkazi, Zanzibar

    Marehemu Hafidh Ameir Hassan, Mume wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amezikwa jioni ya leo, Septemba 7, 2026, Kizimkazi, Zanzibar. Watu mbalimbali, wakiwemo Viongozi wa Serikali, Viongozi wa Dini, Wafanyabiashara pamoja na Waombolezaji wengine, wamejitokeza...
  18. Kumbe Mzena Hospital iko pia Zanzibar

    Leo ndio nimejua kuwa Hospitali ya Kumbukumbu ya Emilio Mzena iko pia visiwani Zanzibar. Nimejua hayo kupitia taarifa ya Makamu wa Rais, akitangaza kifo cha Mume wa Rais Samia leo. Ikumbukwe, hiyo ni hospital maalum kwajili ya viongozi waandamizi wa Serikali na ile iliyozoeleka huwa ipo hapa Dar.
  19. Zanzibar ianzishe shirika la ndege kuchochea Utalii!

    Zanziba si tu ni nchi iliyoungana na Tanganyika kuunda Tanzania, bali ni utalii. Zanzibar inapaswa sasa kuunda shirika lake la ndege na kuchochea utalii. Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Zanzibar, Khalid Salum Mohamed amesema Serikali imeanza mazungumzo na EgyptAir kwa ajili ya kushirikiana katika...
  20. Hoteli ya bilioni 132, yafunguliwa Zanzibar alafu wewe kuwekeza 5M unajiita mfanyabiashara na unachomekea kabisa

    Siwatishi ndugu zangu ndio hali halisi ilivyo, Leo majira ya saa tisa nimekutana na msafara wa dkt mwinyi mtoni mess sikujua anaenda wapi kumbe alikua ana pelekea pwani mchangani kufungua hiyo hotel, bilioni 132 imetupwa hapo, alafu mtu UNAJIITA una hela umewekeza 10m una hela una heleni ?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…