zanzibar

  1. I

    Mfumo wa kieletronic wa ajira Zanzibar (zanajira)Tokea Jumatatu mpaka leo haufungukii jee wahusika hawalioni hili?

    Mfumo wa kieletronic wa ajira zanzibar (Zanajira)Kuanzia tarehe 12 mpaka leo haufunguki na wala hauruhusu mtu aingie ktk account yake jee wahusika hawalioni hili?
  2. M

    KERO Tatizo la umeme limekuwa sugu lisilo na dawa Nungwi, Zanzibar kwa miaka kadhaa

    Hii shida ya umeme kukatika imekua ni ugonjwa ambao hauna tiba kwasababu ndani ya siku 3 umeme unakatika mara kwa mara mchana na ndani ya siku tatu. Kuna siku unakatika saa 12 jioni unarudishwa saa 5 au saa 6 sasa hili tatizo lina sababishwa na nini maana miaka inasonga na halifanyiwi kazi na...
  3. Wananchi Zanzibar wagomea serikali kukodisha kisiwa kwa mwekezaji

    Wananchi wa Fumba, Zanzibar, wamemuomba Mnadhimu wa Baraza la Wawakilishi kupitia Chama cha ACT - Wazalendo, Profesa Omar Fakih Hamad kuishawishi Serikali kuangalia upya mpango wa kukikodisha Kisiwa cha Kwale kwa mwekezaji, wakieleza kuwa eneo hilo ni tegemeo lao muhimu la kujipatia kipato...
  4. Aisee manukato kutoka Zanzibar yapewe maua yake😅

    Nimeagiza manukato kutoka Zanzibar, 😅 binafsi napenda kunukia vizuri 😅 wewe nuna tu🤣 Hizi chuma kutokea Zanzibar ni hatari na nusu kunukia kwa viwango vya kimataifa 😊 Kitu kikapanda nden ge na kufika. nikakichanganya , nikakipuliza shwa shwa , nikawasha gari kwenda glossary mshenzi tu...
  5. Ujumbe wa rais, hamasa kwa vijana, ndoto ya Zanzibar

    14.10.2026, Minas Gerais, Brazil Kuelekea mchezo wa robo fainali wa mashindano ya PQCUPBRASIL 2026 nchini Brazil leo, Mheshimiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amepiga simu na amewatakia kila la heri Zanzibar Spice Boys, huku akiwapa moyo na...
  6. Maendeleo ya Zanzibar ni kiini macho tu?

    Mtalii asema nje ya Hotel nzuri zinazong'aa na beach za kitalii huko mtaani ndani ndani hali ni mbaya sana na umasikini umetamalaki!, afananisha Hali hiyo na "dystopian"
  7. R

    Hivi Zanzibar hakuna vivutio vya waarabu vya kuwauzia, why mnauza vivutio vya TANGANYIKA tu

    Nyie akina Kabudi, na kampuni yako. Kama siyo nyinyi, basi wanaonufaika na uhujumu wenu huu kuna siku mtajibu kwa watanganyika. Mnabariki kuuza kila kitu as long as mnanufaika! Time will tell!
  8. Khanga kubwa za Zanzibar zinapatikana

    Khanga kubwa nzito za Zanzibar zinapatikana. Bei ya rejareja: sh 20,000/=. Bei ya Jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga tatu. Tunapatikana tabata kinyerezi/Msasani (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery unalipia sh 3,000/= ndani ya dar...
  9. Ninini maoni yako kuanzishwa kwa shirika la ndege la Zanzibar?

    Je, unadhani zipi zitakuwa Faida pamoja na Changamoto za kuanzishwa kwa shirika la ndege la Zanzibar? Picha kwa hisani ya Akili Mnemba
  10. Rais wa JMT, waziri kiongozi wa Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar na waziri mkuu wa Tanganyika, ndio muundo sahihi kwa changamoto za Muungano.

    Swala la Katiba mpya limeendelea kuwa hoja inayojadiliwa zaidi miongoni mwa watanzania. Pamoja na mambo Mengi yanayojadiliwa, swala la muundo wa muungano limeendelea kuwa na umuhimu wa kipekee sana. Nakili kwa uwazi sijafanya utafiti rasmi unaowezesha kuwa na takwimu za kitaifa. Kwahiyo maoni...
  11. Utekelezaji wa Pendekezo la Nyerere Kuhusu Muungano wa Serikali Moja Unaoheshimu Uhuru wa “Kanda Maalum ya Kisiasa ya Zanzibar”: CCM Wanangoja Nini?

    Profesa Palamagamba Kabudi ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) nchini Tanzania, tangu 02 April 2026 KIhistoria, Tanzania ni Taifa linalojumuisha dola mbili za Tanganyika na Zanzibar, tangu mwaka 1964. Jumla ya eneo la Tanzania ni kilomita za mraba...
  12. A

    KERO ZBS Zanzibar wekeni mwongozo au viwango vya wazi vya malipo kwa mzigo katika Uwanja wa Ndege wa Abeid Amani Karume

    Malalamiko yangu ni kuhusu kampuni ya ZBS Zanzibar, hasa namna wanavyotoza gharama za mizigo katika Uwanja wa Ndege wa Abeid Amani Karume, Terminal 1. Kwa mfano, bandarini, ZBS hutoza Shilingi 200,000 kwa kontena la futi 20, huku gharama ya gari kulipia ZBS ikiwa Shilingi 325,000. Kwa kontena...
  13. Nategemea pia majengo ya zama.ni ya Zanzibar nayo yavunjwe kama kariakoo.

    Sina maelezo mengi zaidi ya haya hapa. Kuvunja majengo ya kale ni ishara ya kubomoa nguvu asili ya mizimu. Nilikatazwa kubomoa nyumba aliyojenga babu nikaonyeshwa shamba na kuambiwa chagua pa kujenga nyumba niitakayo........
  14. Gay's couple yazuiliwa kuingia Zanzibar

    Content creator na socialite wa South Africa anayejulikana km Austin Mzukwa na mpenzi wake wamezuliwa kuingia visiwani Zanzibar baada ya kugundulika kuwa wana mahusiano ya kimapenzi ya jinsia 1. Hali hiyo imetokea uwanja wa ndege wa Abeid Aman Karume, ambapo wafanyakazi na walinzi wa hapo...
  15. Hata Zanzibar pia wananchi wanalalamikia serikali

    Kumekuwa na usemi kuwa CCM inawapa maisha mazuri Wazanzibari na kuwakandamiza Watanganyika, kitu ambacho sio kweli Yani kiufupi CCM wanaboronga kote tu. Huku Tanganyika na kule visiwani. Watanzania kiujumla wanateseka chini ya hiki chama, viongozi wa Tanzania kutoka bara na visiwani wote...
  16. Zanzibar miradi inaenda kasi sana huku Tanganyika ni hela hakuna ama?

    Aliripoti mwandishi mmoja wa dw Rashidi Chilumba kwamba Zanzibar iwa miaka mitatu imebadilika sana, na kasi ni kubwa. Kiukweli hata ambao hatujafika huko tunaiona kwenye mitandao. Mifano hai Uwanja wa mpira wa Dodoma unaenda kama konokono na muundo wake si mzuri kama ule wa Zanzibar. Mpaka leo...
  17. M

    TBT: Karume alimwambia Nyerere yupo Tayari kuwa nchi moja na Tanganyika, Nyerere alikataa !! Nyerere ndie katufikisha hapa tulipo

    Kinachonisumbua zaidi ni namna anavyosimulia maamuzi hayo kana kwamba hatma ya Tanganyika ilikuwa jambo ambalo alikuwa na mamlaka binafsi ya kuliamua. Kana kwamba nchi ilikuwa mali yake kiasi kwamba angeweza kuamua mustakabali wake bila kuwashirikisha Watanganyika wenyewe. Tanganyika ilikuwa...
  18. M

    Hatukurupuki tukisema Wakristo Tanzania ni 70%+. Mikoa yenye Waislamu wengi ongeza Zanzibar iwe kama mkoa moja wa bara kiukubwa haifiki 25%.

    Ni kwa lengo la kielimu tu na kujenga awareness, si kuchochea mgawanyiko wa kidini. Tunaweka mambo sawa tu kwasababu kumekuwa na upotoshaji mkubwa sana mitaani Katika mikoa 26 ya bara ongezea na ukiifanya Zanzibar iwe mkoa kwa size yake kuendana na mikoa ya bara, haya ndio maeneo yenye idadi...
  19. Naendelea na Kampeni ya Kumdai Humphrey Polepole Hapa Zanzibar

    Tumesha chapisha vipeperushi vyakutosha, lengo ni kuwafikia watanganyika wote waishio hapa. Tutashiriki maandamano ya amani ya kumdai Humphrey Polepole siku ya uzinduzi wa AFCON.
  20. Fursa ya ufugaji wa Nguruwe Kizimkazi Zanzibar

    Kwa wasioifahamu zanzibar maeneo ya Kizimkazi ndio mashambani kwenyewe. Nimebaini kuna uhaba wa nguruwe na makafiri ni wengi hapa Zanzibar, pia kuna maostadhi wenzangu ambao wanapenda kutia sunnah hivyo soko ni la uhakika. Kama kijana unatafuta dili usiseme sijakwambia. Njoo kizimkazi,tafuta ka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…