Ijumaa ilopita Iran wamezungumza na shirikisho la kandanda Duniani FIFA kuomba kuhamisha timu yake ta taifa ya kandanda na maofisa wote wanoandamana na timu hiyo nchini Mexico, baada ya kukikiri kuwa wachezaji karibu wote wamepitia mafunzo maalum kutoka jeshi maalum la mapinduzi la Iran maarufu...
Kama mnavyofuatilia siasa za nchi yetu hivi sasa, kuna wimbi kubwa la wanachama waliokihama chama na kukipigia kelele nyingi za kashfa wakiondoka, lakini sasa hivi wanarudi CHADEMA kwa kasi ya ajabu.
Kama mwanachama na mdau wa mabadiliko ya dhati, naomba niwaambie hawa wanaorejea maneno...
Taarifa zilizothibitishwa ni kwamba kundi la watekaji lililoongozwa na mzanzibari, lilimteka msaidizi wa Lisu bwana DJumbe akiwa anaingia nyumbani kwake usiku saa 4. Baada ya Jumbe kupiga kelele, bodaboda wakaanza kulifuata gari la watekaji kwa nyuma. Mashetani hawa watekaji walivyoona...
Ijulikane kama mmemleta kwa ajili ya Simba au Tanzania. Maana naona ujinga mwingi sana unaendelea. Anasemaje anataka aonane na wachezaji wa Simba? Ili iweje? Itokeeje? Ikaaeje?
Ni upuuzi hata kumwonesha goal la Chama. Kwani Ligi hii limefungwa goal moja tu? Serikali. Iangalie jambo hili tusije...
Meli za kivita zimewasili hapo carribean, zikijiandaa kumuondoa castro na utawala wake wa unyama.
Iran bado anapikwa, magaidi naijeria wanaoua wakristo wanaungua, etc.
Ahsante Trump
Mchora Katuni mkongwe Masoud Kipanya kupitia chaneli ya Kipanya Tell A vision akielezea mtazamo wake kuhusu tabia ya watu wanaotoa maoni kupitia mitandao mbalimbali.
Sio watu wote wanaokuja kutalii katika nchi zetu za Afrika ni watalii wengine ni wahalifu kutoka katika nchi zao , wanakimbia msara waliofanya walikotoka . Sehemu kama Zanzibar wanafika watu wa kila aina Majambazi, Drug dealers, makahaba . Tatizo letu watu weusi tunawaamini sana wazungu kwa urahisi
Wito kwa Waislamu wote kugomea kununua bidhaa zote kutoka Taifa teule la Israel umekuwa ukitolewa mara kwa mara na viongozi wa kiislamu kote duniani swali najiuliza Je wanaweza?
Natarajia kuona Wafuga Midevu na Majini wakiacha kutumia mitandao yote ya kijamii, wakome kabisa kutumia Simu...
TAMU: Mimi binafsi chuo cha ualimu kilinijengea maadili ambayo mpaka sasa yananifanya niaminike na jamii inayonizunguka. Asante sana wakufunzi wangu.
Chungu; vishawishi vya kimapenzi aisee! ingawa ni strictly prohibited vyuoni, hii ilitufanya tumalize chuo bila UTI na UKIMWI.
KARIBUNI
Zamani nilikuwa najua ukiajiriwa basi tayari unakuwa umetoboa kimaisha. Nikawa nikikutana na mtu ameajiriwa tena serikalini halafu anatembea kwa miguu basi namuona hayupo serious na maisha.
Wakati nipo chuo, nikajiapiza eti nikiajiriwa tu nitaanza na gari tena kali kisha nyumba. Lakini hadi...
Siku zote, historia ya mtu, na anavyotenda siku zote, ndiyo hujenga mazingira ya mtu huyo kuaminika au kudharaulika.
Ni jambo lililo wazi kuwa watu wengi, hasa waliopo Serikalini, hawaaminiki kutokana na kuonekana kuwa wapo kwaajili ya tamaa ya matumbo yao, hata siku moja hawapendi kuwa wakweli...
Serikali imeanza rasmi utekelezaji wa Mpango wa Bima ya Afya kwa Wote kwa kaya zisizo na uwezo kwa kutoa Shilingi bilioni 48.8 kwa ajili ya kuwawezesha wananchi wa makundi maalum kupata huduma za afya kwa uhakika.
Kupitia utekelezaji huo, jumla ya kaya 172,297 tayari zimefikiwa na kuingizwa...
Uzuri ni kwamba sukari ikipanda bei haichagui wewe ni mwimbaji mzuri wa mapambio au ni mkosoaji wa serikali namba inasomeka maumivu yako palepale. Ukienda kituo cha mafuta kuweka mafuta kwenye gari. wote tunaugulia maumivu kwenye bei ya mafuta haichagui wewe unasifia serikali au ni mkosoaji wa...
awamu
bei
biashara
halali
hata
hii
huna
katika
kazi
kazi halali
kubwa
mafuta
mapambio
mitandao
mtu
nchi
pesa
position
sana
serikali
tanzania
teuzi
uzuri
wakosoaji
wanajua
wanaofanya
wengine
wewe
wizi
wote
Habari za Sabato!
1. Bado tunafuatilia mambo yanavyoendelea.
2. Shujaa na Legendary ni Yule mwenye msimamo wa Haki, mwenye uwezo wa kujitoa maisha yake kwaajili ya msimamo wake na kupigania Haki na Ukweli.
3. Si hivyo tuu. Shujaa na legendary katika level ya kitaifa ni Yule ambaye alionyesha...
MPO KWENYE STAREHE, SI MUMEO UNABEBA MIMBA. HIVI UNAAKILI SAWASAWA.
Anaandika, Robert Heriel Mtibeli
Baba.
1. Binti Yangu, usijeniletea aibu za rejareja hapa.
2. Nilikufundisha tangu mwanzo, anayepata madhara zaidi ndiye anatakiwa kujihami. Nikakuambia Jambo lolote ambalo wewe ndio utakuwa...
Hizi AI mbili, zimekuja na majibu yanayofanana (almost):
Gemini (Google)
ChatGPT
Ingawa ChatGPT anashawishi ongezeko dogo, ila Gemini yeye anaamini itaongezeka tsh 500 kwa kila lita.
Vigezo vyao vimetoka kwenye:
-Bei mpya soko la dunia.
-Exchange rate ya dollar vs tsh.
-Benchmark ya nchi...
Ebana wakuu kuna hii issue baadhi ya watu wamekuwa wakiwaona wanaobeti kama watu waliopotea. Wengine mpaka wanaenda mbali na kisema dini zinakataza.
Okey lets break it down niggaz.
Kubeti ni nini?
Ni kufanya ubashiri juu ya matukio yajayo kisha unaweka pesa. Utabiri wako ukiwa sawa unapata...
Kipindi sijaoa bana nilikuwa nikiangalia tamthiliya za wakina kanumba natamani sana nami nikioa itakuwa hivyo.
Mungu saidia hatimae nikaoa na nilikuwa vizuri kidogo kiuchumi.
Ndoa kubwa tulifunga bana zawadi tukapata nyingi sana hasa vyombo na nguo (vitenge/khanga) tulipata zakutosha kiasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.