Binafsi miongoni mwa vitu ambavyo vimeshatokea na vinanikwaza ni kuona samia ni rais wa nchi.
Kwa wanaompenda ni sawa kwa matakwa yao ila kwangu naona aibu sana kumtambua au kusimamama kidete kusema samia ndiye rais wa nchi yetu.
Siwezi kumsikiliza samia hata sekunde 10 bila kukwazika na...
Kitu kizuri ni kwamba wote hao sisi ni wateja wetu na tunawahakikishia tarehe 27 umeme utakuwepo na tutatimiza wajibu wetu wa kuyaangaza maisha, vipi wewe una mpango gani? Birthday, uzinduzi wa albamu au utabaki Instagram kuperuzi?
Hata mtoto wa IJA aliyefuatilia mwenendo wa kesi ya Lisu , hata yule mwenye very basic education ya sheria, hata yule anayesoma hukumu TANZLII bila kwenda shule ya sheria, anaona ukweli kuwa kesi ya Lisu imekuwa flawed!
Wewe ndiye una tabia ya hovyo kushindwa kuuongoza muhimili wa mahakama...
Msitegemee sana UN, maana kile ni chombo cha ovyo kinachokuwa controlled na itikadi za ki-liberal.
Ndio maana hata mamlaka za giza zinapataga kivuli hapo UN na hakuna hatua yoyote inayochukulia dhidi ya amani na haki ya dunia kutoka kwa UN maana UN ndio mbwa mbwekaji ukiwa mbali ila ukimkabilia...
Kuna mijitu haiamini katika uwepo wa Mungu ipo ipo tu inajificha kwenye kivuli cha Uatheist. Ndugu zangu mmefeli sana. Katika hali ya kushangaza mabaki ya Safina ya Nuhu yamepatikana huko Uturuki katika mlima wa Alarati ambao ndo mlima ulioandikwa kwenye vitabu vya dini zote.
Sasa ndugu yangu...
WAHUSIKA:
JUMA (Chawa): Rafiki wa zamani wa tajiri. Kwa sasa ni chawa wa mjini, anatafuta connection kwa nguvu, mvaa nguo za kupendeza lakini hana mbele wala nyuma.
MPISHI: Mpishi mkuu wa mgahawa wa kifahari. Anajua siri na ratiba za matajiri wote wanaokuja kula.
MUSA (Tajiri / Mtu Maarufu)...
Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiAfrica (waanzilishi wa JamiiForums), Maxence Melo ameelezea ushindi wa Tuzo ya Haki za Binadamu ya Ubalozi wa Uholanzi ya Mwaka 2026 (Netherlands Human Rights Embassy Tulip Award) aliyoipata kutoka Ubalozi wa Uholanzi.
Ashinda tuzo hiyo kumwezesha kuingia Hatua ya 5...
Huku mtaani
Unakuta Baba na mama wa kawaida tu ila watoto wao wote kama sio asilimia 80 wamefanikiwa kiuchumi na kivyeo.
Nyingine watoto wanaanza kuharibikia utotoni. La saba tu kaishaanza kuvuta Bange, Binti yuko la tano kaishatoa mimba sita, yaani wote hata wakifika chuo hakuna kazi wanabaki...
Waliouwawa kipindi cha uchaguzi wa 2025, ni Watanzania wenye itikadi mbalimbali, Wana CCM, Chadema na wasio na vyama
Kufanya maridhiano kupitia majukwaa ya kisasa na kuhusishwa vyama pekee, haitatosha, Watanzania waliopoteza watu wao hawatatendewa haki
Kwa MAONI YANGU,
Juhudi zilizoelekezwa...
Jamani nimeshangaaa sana baada ya kuabiwa kuwa asilimia 90 ya marasi ,wakuu wa mikoa, ni usalama wa taifa.
Either ni usalama wa CCM, au usalama wa Rais au usalama wa Taifa. Nimeumia sana , nimeishiwa power.
Kwa maana hiyo chadema au upinza kuitoa CCM bila nguvu kubwa ya umma, tusahau kabisa...
Mimi nilizaliwa Tanzania kabila moja na hovyo na kipuuzi kuwahi kutokea duniani
Kwanini natumia maneno makali hii nikwasababu linadharau na kuwanyanyasa watu wake wasiokuwa na uwezo wa kifedha na limefikia hatua mbaya zaidi linaua watu wake kwasababu za kujinufaisha yaani kama mmoja wao ana...
Mimi nilizaliwa Tanzania kabila moja na hovyo na kipuuzi kuwahi kutokea duniani
Kwanini natumia maneno makali hii nikwasababu linadharau na kuwanyanyasa watu wake wasiokuwa na uwezo wa kifedha na limefikia hatua mbaya zaidi linaua watu wake kwasababu za kujinufaisha yaani kama mmoja wao ana...
Wakati mwingine siasa nikama mchezo wa Paka na Panya huwezi hata kupata sababu nyingi za kukosolewa Hayati Dkt Magufuli kwenye ununuzi wa ndege za Air Tanzania
Sijajua walimaanisha nini pengine walitaka Shirika la ndege la Air Tanzania kukosa hata ndege moja ya abiria
Inawezekana ukosoaji...
Asilimia kubwa ya wanafunzi wanaopata wastani wa "A" kwenye mitihani Yao ya darasa la saba au division one kwenye mitihani yao ya kidato cha IV-VI huwa wanakuwa na nidhamu sana. Tuanze kuandaa Taifa la watu wenye nidhamu kuanzia Leo.
Hivyo basi ili kuandaa Taifa la badae lenye tija kwa Taifa...
Hongera sana kwa Taifa Teule la Israel kwa kuwa wavumbuzi wa vitu mbalimbali ambavyo vina said Ila watu kote duniani.
Na inasikitisha sana kwa watu wanaojiita Eti Wapalestina kwa wao kugundua Ugaidi, kuteka nyara watu na kuua watu kikatili na mambo mengine ya ajabu kuwafanya watu wengine!!
Kwa...
Rais William Ruto na Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna wamepata kiwango sawa cha uungwaji mkono katika utafiti mpya wa kampuni ya Trends and Insights for Africa (TIFA), huku kila mmoja akipata asilimia 31 ya walioulizwa kuhusu kiongozi wanayependelea kuwa Rais wa Kenya katika Uchaguzi Mkuu wa 2027...
Salaam jamiiforum.
Tupendane,tuhurumiane,na tusameheane, maana hakuna mkamilifu kwenye uso wa Dunia.
Tusilipiziane visasi,tusiumize kizazi kingine Kwa makosa ya kizazi kilichopita.
Tusiendekeze itikadi na misimamo ya kidini,hii itatugawa mapema kama mwanga wa radi.
Yaani mkatoliki ajione ana...
Tofauti na babu wa Loliondo wa kikombe sijawahi kusikia mtu amezungumza na mungu akaambiwa suluhisho la kudumu la magonjwa ya Cancer, kisukari, Ebola, UKIMWI, Homa ya ini ambalo litatibu watu wengi au kumuambia dereva asisafiri siku hiyo atapata ajali (unakuta ni mtu mmoja tu anasema aliambiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.