wewe

Wewe Gombel is a female supernatural being or ghost in Javanese mythology. It is said that she kidnaps children.This myth is taught to encourage children to be cautious and to stay at home at night. Traditionally, the Wewe Gombel is represented as a woman with long, hanging breasts. Modern representations include vampire-like fangs. This is a popular spirit that also appears in comics.

View More On Wikipedia.org
  1. Eli Cohen

    Kama wewe ni muuzaji wa jerseys na una hii jersey, pliz check me

    2003/2005 edition
  2. B

    Je, kuoa ambaye ameshazaa na wewe huna mtoto inaweza kuleta changamoto baadae?

    Niliwahi kuleta mada hapa miezi kazaa nyuma wale kijana wa miaka 26 na mtu mpenzi mtoto ana miaka 29, 1.Sasa yule mdogo wangu anasema akijaribu kuingia kwenye mahusiano na wasichana wenye miaka 25 kushuka chini wanaishia kugombana pia wanamkataa sana haswa hawa wa 18-25 anasema wanaomba hela...
  3. Design Your Idea

    Mzee Said, unaforce kutengeneza tatizo ambao halipo. Tz ilijijenga katika misingi ya kuheshimiana dini zetu. Wewe ni udini ndio unakusumbua.

    Mohamed Said Unatamani sana nchi hii ingekuwa chini ya caliphate, sasa kwa kuwa misingi ya dini katika siasa iliminywa na sera za nyeerere ili isipelekee taifa kugawanyika kidini na kugeuka kuwa lebanon sasa inapelekea kukuumiza sana kwa kudanganya watu kuwa TANU na nyerere waliua historia na...
  4. Equation x

    Huwezi kuwa tajiri bila ya kuwa na watu wa kukufanya wewe kuwa tajiri

    Unaweza kuwa na mipango mingi, lakini hiyo mipango bila kuwa na watu sahihi wa kuitekeleza usitegemee kuwa tajiri. Hawa watu ndio watakao kutengenezea vitu, watakao fanya mauzo, watakao toa huduma kwenye taasisi yako, ndio watakao chimba madini n.k, na wewe kuweza kuingiza pesa na hatimaye...
  5. Davidmmarista

    Kwanini Wengine Wanatajirika Haraka, Wewe Ukibaki Maskini? (Soma hapa ufahamu)

    Habari wadau, Nianze na mzizi wa umaskini unatoka wapi: Na mzizi wa umaskini haupo katika aina ya kazi, haipo katika chanzo cha kipato. Uhusiano kati ya unachotengeneza na unachokitumia ndio mzizi ulipo. Je unachotengeneza na unachotumia inamaana gani? Kutengeneza thamani maana yake ni kwamba...
  6. Sifi Leo

    Dr Nchimbi hasingekuwa TISS ilifaa atumbuliwe, Sasa kwa Sasa ukimtumbua TISS Wana wewe, Shooo, utajuta kuzaliwa watampa nchi hii.

    NAKWAMBIA hivi Dr Emanuel Nchimbi hasingekuwa TISS kwa KAULI yake dhidi ya katiba mpya kufaitiwa na kuwataka watu waitafte ili Hali wanao itafuta wanapewa kesi za ugaidi angekuwa katumbuliwa tayari. Ulinzi wake ni idara na usinior wake, magufuli hakumtaka huyu mtu hata yeye hamkutaka magufuli...
  7. Crocodiletooth

    Tetesi:-Endapo kama wewe upo fb na uliwahi kutoa maneno ya kichochezi jiandae!

    Utapelekwa mahakamani,na uchochezi wako,yaani kile ulichochochea kwa kukiandika kita wekwa mbele yako!,utakana lakini kwa nguvu ya teknolojia itakutambua,kwa tarehe,muda na sasa uliyoweka utumbo wako!,ubaoni / #Uzito wa ulichoandika kitaelekeza aina ya kifurushi unachostahili kupewa! Kwa kosa...
  8. Davidmmarista

    Dunia bila uwepo wako. Wewe ni nani hasa? (Soma hadi mwisho, itabadilisha mtazamo wako)

    Wadau za wakati huu, Tuna muda kidogo hatujaonana uzi wangu wa mwisho wiki kama 3 zilizopita lakini katika kukaa kwangu na kufikiria nimefanya uchambuzi pamoja na utafiti mbalimbali kuhusu hii mada yetu hii ya leo. Mada hii ya leo imeibuka baada ya siku moja swali hili kutokea: "Kama...
  9. LIKUD

    Sikatai wewe ni jasiri ila humfikii huyu dogo wa Dizonga

    Ishu sio kulala na Ashawo kichakani huku akiwa na Rand 2000 mfukoni ( Kama laki tatu na ushee ya kibongo) . Ishu ni kupiga chukuchuku ( Kufanya Raw Sex/ Sex bila condom) na Malaya wa DURBAN NATAL.. 👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇 Man Robbed After Dispute Over Sex Worker Payment: Verulam CBD - KZN A man was...
  10. KakaKiiza

    Katika vita ya Midle East wewe uko upande gani?

    Mimi bila kupepesa macho nipo upande wa IRAN,Japo watu wamegawanyika katika munktadha wa kidini wakirsto wanapendelea ISRAEL Wakidhani ni Nchi Takatifu lakini ni Shetani na hatambui wa Roma! Pia Mimi sipendi watu wanaoonewa bila sababu mfano Vita ya Urusi ns Ukraine mimi nipo URUSI,kwanini...
  11. M

    wewe ni mtu wa kuchill nyumbani au wa kutoka kwenda viwanja, vijiweni, n.k ?

    Wewe ni mtu wa kuchill nyumbani 🏡 au wa kutoka kwenda viwanja
  12. Robert Heriel Mtibeli

    Ili uwe maskini, subiri maisha yakubadilikie bila wewe kubadilika

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Watu wengi husubiri siku nzuri zije, nafasi ijitokeze, au mtu fulani abadilishe maisha yao. Lakini maisha hayabadiliki kwa sababu muda umepita; hubadilika pale fikra, maamuzi na tabia za mtu zinapoanza kubadilika. Maisha yako hayabadilishwi na kile unachofikiri...
  13. R

    Chezea CHADEMA Dodoma wewe. Makao Makuu ya Nchi

    Hii ni Dodoma
  14. bless on

    Jinsi simu yako inavyokuibia matumaini ya maisha bila wewe kujua

    Simu yako inaweza kuwa kifaa cha kukuungizia pesa, lakini kwa sasa ndio adui mkubwa anayefuta ndoto zako taratibu bila wewe kugundua. Unacheka nayo kila sekunde huku ikinyonya muda wako. Angalia mambo haya matano unavyojiua kiuchumi na kiakili: 1. Usumbufu wa milio ya meseji Simu inalia kila...
  15. Minjingu Jingu

    Kama una sifa hizi huwezi ichukia CCM, huwezi sema au taka itoke madarakani. Utakuwa na kichaa wewe

    CCM Imefanikiwa sana kulinda amani kwa haya makundi ya watu 1. Mafisaidi 2. Wezi 3. Mapuyanga/mapapai/ mchicha mwiba, madafu. 4. Al munafiqina 5. Wachawi/Machawa Huwezi kuwa katika makundi au kundi ilo alafy ukajifanya kuichukia ccm. Utakuwa na kichaa. Watu atutakuelewa hata kidogo.
  16. realMamy

    Hivi Mtoto wa kike ukiulizwa na Mwanaume anaekutaka hili swali "Niambie kuhusu wewe" huwa mnajibu nini?

    Kwangu mimi hili swali huwa linanitatanisha sana. Huwa nashindwa nianzie wapi kujibu hili swali. Kwa sababu inakuwaga kama tuko kwenye Interview ya Kazi. Au huwa wanamaanisha nini? Ni wanataka kujua kuhusu nini? Nashindwa kuelewa.
  17. The ghost writer

    PFP PSYCHOLOGY: Diagnosis ya picha Cha profile Mtandaoni. Unataka kujua PFP yako inasema Nini kuhusu wewe?! Pitia hapa

    Kama Kuna kitu hujawahi kukigundua kwa muda mrefu basi ni hii👉 "Namna picha ya profile yako inavyokuelezea wewe ni mtu wa aina gani ndani na nje ya mitandao ya kijamii." Hata hapa jamiiforums kabla yakusoma hoja ya mtu, kabla hujaangalia mada zake, na hata kabla hujajua yuko upande gani wa...
  18. Parabolic

    Daily Maverick (Op-ed): Hata Wewe, Samia? Dola ya Kimabavu ya Tanzania na Ukanushaji wa Mauaji

    Dk Paula Cristina Roque Dk Paula Cristina Roque ni mkurugenzi mtendaji wa Intelwatch, shirika linalofuatilia matumizi ya kisiasa na yasiyo ya kidemokrasia ya huduma za ujasusi na ulinzi katika nchi za Kusini mwa Dunia (Global South). **** Mwangwi wa hivi karibuni wa kufunika ukatili wa baada...
  19. The Dictator

    Nipe sababu moja ya wewe kutokunywa/kutumia pombe

    Mimi: Ladha inanishinda.
  20. Teslarati

    Kwenye pakti zipo 3 kimahesabu, kiutafiti na kimedani. Sasa wewe urogwe utumie moja au mbili zinazobaki mechi itachezewa ugenini

    Kwenye pakti za premium condom zenye brand nzuri na bei ya juu kama rough rider, Kiss na bull huwa ziko condom tatu. Ulishajiuliza kwa nini? Ni lwa sababu ili uichape na achapike hadi kuridhika lazima uende round angalau tatu kwa mechi moja. Sasa wewe jiroge uende chini ya hizo utatafutiwa...
Back
Top Bottom