wewe

Wewe Gombel is a female supernatural being or ghost in Javanese mythology. It is said that she kidnaps children.This myth is taught to encourage children to be cautious and to stay at home at night. Traditionally, the Wewe Gombel is represented as a woman with long, hanging breasts. Modern representations include vampire-like fangs. This is a popular spirit that also appears in comics.

View More On Wikipedia.org
  1. Dogoli kinyamkela

    Dunia Ya Leo... Kama Hauombi, Wala Haulogi. Wewe ni Kafara Inayotembea, Kuna Siku Watapita Na Wewe."... 📌

    Dunia Ya Leo... Kama Hauombi, Wala Haulogi. Wewe ni Kafara Inayotembea, Kuna Siku Watapita Na Wewe."... 📌
  2. AXIOM APEX VERBOSE

    Kujipenda wewe kwanza ni msingi wa uwezo wako wa kupenda wengine

    Kujipenda wewe kwanza ni msingi wa uwezo wako wa kupenda wengine kwa namna iliyo bora, yenye ukomavu, na isiyochosha. Huwezi kumpa mtu mwingine maji kutoka kwenye chombo kilicho tupu; unapojijaza upendo, heshima, na utulivu, unakuwa na akiba ya kutosha na yenye afya ya kushirikisha wengine...
  3. VanDon

    Ungekuwa ni wewe ungefanyaje?

    Mke wako anaondoka nyumbani asubuhi na mapema akisema anakwenda kazini. Katika haraka zake, anasahau chombo chake cha chakula cha mchana mezani. Wewe kama mume unaamua kumsaidia kwa kukibeba na kwenda kumpelekea kazini ili aweze kupata chakula wakati wa mapumziko. Unapofika kazini kwake...
  4. N

    NGUMU HII: Katika Kampuni binafsi ziliyojaa (60%) Management na Staff watu wa kabila moja tofauti na wewe. Uliweza ku-survive mtanzania Mwenzangu??!!

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Mwaka 2014 mpaka 2016 mimi yalinishinda. Nilifanya kazi ya mkataba wa miaka 2 mkataba ulipoisha tu, wakataka kunipa mwingine nikakataa. Nikaondoka zangu kutoka Kigoma, huyooo nikarudi zangu Tanga kufanya kazi ya conductor wa daladala. Na ndio kazi yangu mpaka leo hii...
  5. Jaji Mfawidhi

    Kama wewe na bosi wako mpo ofisini kila Siku

    Kuna tabia za mabosi wa Kitanganyika kukaa ofisini muda wote kuangalia watumishi, sasa kama bosi wako mpo ofisini kila siku "wewe na bosi wako tafuteni kazi".
  6. Kazanazo

    Wewe nati iliyolegea acha kabisa kunitag kwenye mambo yako ya kipuuzi

    Nafahamu jukwaa hili limejaa mitoto mikubwa yenye ndevu zake, kutwa kucheza michezo ya kudhihakiana na pengine kutukanana na kuchongeana kwa mods ili I'd zifungiwe na mmoja akishinda mwenzie anashangilia ( utoto wa namna gani huu) Hivyo ndugu yangu wa jf mwenye I'd mahususi ya nati iliyolegea...
  7. TANESCO

    Monday ni ya Nikonekt

    Bado wewe ni WiFi ya umeme wa jirani? Simu unachaji kwake, barafu unagandisha kwake, hadi mpira unaangalizia kwake! omba umeme basi kupitia nikonekt tukuwashie Your home deserves its own power! Mpaka nimeongea na kingeee labda utanielewa😂
  8. Robert Heriel Mtibeli

    Ukiwa unatumia misemo na unamitazamo hii nisamehe, wewe ni zezeta;

    Hamjambo! Bila maneno mengi 1.Wote tutakufa. Mwisho wa yote ni kaburini. Kwanza hicho ni kitisho cha mtu aliyekata tamaa. Aliyefeli. Loser! Wenzako wanawaza kuishi wewe unawaza kufakufa. Umekata tamaa kiasi cha kusikitisha. Kauli hizi ni maarufu sana uswahilini, watu waliofeli, watu...
  9. Gunner11

    Mwanaume kama huna Pesa "huthaminiki"!

    Wanabodi.. Poleni kama nitakuwa nimeandika lugha ngumu, ila nataka kuweka msisitizo kabisa. Wanaume wenzangu, ni muda mwafaka wa kutambua ukweli Mchungu. Mnyama dume asipo kuwa na nguvu, hawezi kustahimili maisha ya porini. Ataishia kuteswa na wanyama wenye nguvu, hata pata jike, na pia hata...
  10. Eli Cohen

    Je, mwanamke ni lazima akupende au wewe umpende? Je, ushawahi kujiuliza ni upendo anataka kutoka kwako? Kama umechagua upendo kwanini una michepuko?

    LOVE IS COMPLICATED😁 kwa sababu kama wanadamu hatufahamu asili ya upendo na mipaka yake na namna ya ku-handle upendo. Upendo au mapenzi? Je ni mihemuko ya ile moment tunaichanganya kama lifelong affection?🤔
  11. Tareq20

    Watanzania asilimia kubwa wanaamini mtoto Yule angel aliepigwa risasi oktoba 29 na kufariki Jana muhimbili pengine ameuwawa Je wewe unaamini nini?

    Piga kura hapa kuhusu mtoto angel aliefariki jana
  12. O

    "Hata Mkafufue Kibaki, Wewe ni Wantam Tu!" Gachagua Amvaa Ruto Vikali Kuelekea 2027

    Joto la kisiasa nchini linaendelea kupanda huku kukiwa na misuguano mikali kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2027. Aliyekuwa Naibu wa Rais, Rigathi Gachagua, ametupa kombora zito kwa Rais William Ruto akisisitiza kuwa utawala wake uko mashakani na utahudumu kwa muhula mmoja tu. Akizungumza kwa...
  13. Course Coordinator1

    Nina hakika Samia Suluhu Hassani anatuchukia mimi na wewe

    Angalia anavyoshughulika na mambo ya Tz bara, toka ameingia madarakani hajawai kuzindua hata mradi wa kuku. Angalia alivyo lichukulia suala la Oktoba 29 kwa kuunda vitume uchwara bila kuomba radhi watanzania bara kwa kuuwawa kwa ndugu zetu zaidi 518 (pengine 2000) walifika. Angalia majibu yake...
  14. Bujibuji Simba Nyamaume

    Wewe ni nishati, nishati haifi, haipotei, bali hubadilika tu na kurudi kwenye asili yake

    Mwanadamu anatazamwa kuwa "nishati" kutokana na mtazamo wa kisayansi, kibaolojia, na hata kifalsafa kuhusu jinsi mwili unavyofanya kazi na nafasi yake katika ulimwengu: Mabadiliko ya Kemikali na Chakula: Kwa mujibu wa Kitabu: Chuo Fizikia (OpenStax) kupitia LibreTexts, mwili wa mwanadamu...
  15. kavulata

    Magufuli: Ukishindanishwa na mwanamama utashindwa tu!

    Unadhani Rais Magufuli alikuwa amelewa? Aliona kitu ambacho hata walebwanaompinga wanajaribu tu bahati yao. https://youtube.com/shorts/Wg4o_xOjRTw?si=P6yrPW9Irz8hwar3
  16. Pakome

    Mwanamke ni kiumbe wa ngono, kama wewe ni mwanaume na umeshindwana naye vunjeni mkataba wa kuishi pamoja badala ya kuishtakiana

    Mwanamke ni kiumbe wa ngono, ikiwa wewe ni mwanaume na umeshindwana naye vunjeni mkataba wa kuishi pamoja badala ya kuishtakiana Mwanamke ni kiumbe wa ngono kwa maana kuwa wanaume wote watakapomuona watatamani kulala naye, ikiwa una mgogoro na mke wako kila msuluhishaji atakayekuja awe wa kiume...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    RC Chalamila wewe hata ukitaka kuchomwa kama Baniani chomwa tuu. Acha mambo ya kufanana uislam na ukristo. Au HAMIA huko. Hutapunguza chochote

    RC CHALAMILA WEWE HATA UKITAKA KUCHOMWA KAMA BANIANI CHOMWA TUU. ACHA MAMBO YA KUFANANA UISLAM na UKRISTO. AU HAMIA HUKO. HUTAPUNGUZA CHOCHOTE. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Oooh! Mimi nikifa nisiwekewe Sanduku. Nizikwe kama Waislam. Mara Yesu sijui nabii gani mbona walizikwa bila...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    Mtu akigombana na kumchokoa mkeo, amegombana na kukuchokoa wewe. Tibeli Code

    MTU AKIGOMBANA NA KUMCHOKOA MKEO, AMEGOMBANA NA KUKUCHOKOA WEWE. TIBELI CODE. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Katika zile familia Duni, maskini, watumwa. Familia zisizo na wanaume imara, wanaume wasiojitambua na kujua mamlaka na majukumu yao. Ni jambo la kawaida kabisa kuona na kusikia...
  19. Gunner11

    Watakuzingatia endapo watajua wewe ni wa tofauti.

    Kipindi naingia jijini, hasa wale wa mikoani huwa wazawa wa Dar wanawaona kama watu wa Kuja hivi.. So Nakumbuka kipindi na report kazini, ilikuwa yaani unaonekana kama wakuja hivi.. Yaani watu wanakutreat like huna unyamwezi which to me is just ulimbukeni Sasa, wanaanza kushangaa jinsi...
  20. tovuti website

    Vichekesho vya Meta Business AI..-META AI inaweza kukutonngozea Mtu bila wewe kujua.Tuwe Makini Mtandaoni.

    Habari za wakati huu; Mimi ni mdau wa technolojia na mara zote huwa nafanya majaribio kwa lengo la kujifunza zaidi na kuhakikisha ninaenda na wakati.Kwa sasa hivi nimewekeza nguvu na muda zaidi katika kujifunza utumizi wa AI katika shughuli zangu.Andiko hili ni Tangazo lakini Simulizi...
Back
Top Bottom