Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.
Mwishoni mwa mwezi uliopita nilikuwa natoka maeneo ya Manzese (kufuatilia jambo) kuelekea Makumbusho. Eneo nililokuwapo lina Kituo cha Daladala kiitwacho Big Brother na ndipo nilipopandia gari.
Garini palikuwa na abiria wachache waliotawanyika mithili ya punje za mtama zilizotoswa ardhini. Nami...
Habari ndugu mwana Jamii Forums,Umewahi kusikia kuhusu Ugonjwa wa Afya ya Akili?,pengine labda ukahisi ni kitu kidogo au Cha kawaida,hapana kina madhara makubwa hasa kwa utendaji kazi kiufanisi.Kwani ugonjwa Afya ya Akili ni nini?,Ugonjwa Afya ya Akili unatafsiriwa kwa maana tofauti kulingana...
Baadhi yao wanawake hata kunaye umri wake 15 kanyongwa kisa migogoro ya hovyo, sijiu Iran waliingiaje kwenye huu uzombi wa kidini na jinsi walivyo genius, watu wenye akili sana.
Iran executed at least 251 people in the first half of 2022, including women defending themselves against domestic...
Habari gani ndugu zangu wasaka tonge wenzangu na vigogo pia habari zenu.
Niende kwenye maada, mwanzo naanza ku-date nilikuwa nawafagilia sana wadada wenye chura ya kutosha. Kusema ukweli nilikuwa najikuta mwenye kuweweseka sana nikishika trako au chura ya mtu wangu ambaye nilikuwa namdate...
Kufuatia mfululizo wa mauaji ya kikatili hasa kwa Wanawake Wilayani Masasi Mkoani Mtwara, Jeshi la Polisi limedai kuwa vyanzo vingi ni masuala ya mapenzi.
Kauli hiyo imetolewa baada ya tukio lingine la mauaji kutokea usiku wa kuamkia jana Agosti 11, 2022, ambapo mwalimu wa Shule ya Msingi Mbaju...
Nchini Iran, ubikira kabla ya ndoa ni muhimu kwa wasichana wengi na familia zao. Wakati mwingine wanaume hudai cheti cha ubikira, jambo ambalo Shirika la Afya Duniani (WHO) linaona ni kinyume na haki za binadamu.
"Ulinidanganya nikuoe kwa sababu wewe si bikra. Hakuna mtu ambaye angekuoa ikiwa...
Agosti 9, 2022, katika mji wa Meishan mkoani Sichuan China, wanawake wanashiriki kwenye mafunzo ya ustadi wa kutunza nyumba katika shule ya mafunzo ya kisiasa katika Kaunti ya Renshou.
Kuanzia mwaka 2022, serikali ya wilaya ya Renshou ilitegemea vituo vya mafunzo ya ustadi wa utunzaji nyumba na...
Mwezi wa March mwaka huu Somoe alinipigia simu kuwa Valentine day imejibu,maana tulioelekeana moto akiwa kwenye danger days, Nikamwambia wow! Haina shida nitalea. Mwezi wa sita ndani ya wiki mbili Herieth na Tina nao wakasema hawazioni siku zao
Uwezo wangu ni mdogo sana kulea hizo mimba tatu...
Wakuu!!!
Akyanani...ata salamu haiji, naenda straight kwenye format ya leo. Kama unataka anzisha familia ya wife zaidi ya mmoja....wanaume naomba jamani kama wewe ni ule ukipewa kachumbari na mwanamke utie muhogo afu unapoteza fahamu za kiume....yani unasimp....unakuwa tena huna maamuzi na kila...
Peace be with you all,
Weekend ya majuzi nilikua kiwanja flani ndani ya kitovu cha mji wa utalii Tanzania, nikiwa peke yangu katika kujipumzisha mwisho wa week. Ndani ya lounge ya hotel hii kilitokea kihoja kilichowastaajabisha wengi pale hotelini ila mimi sikushangaa maana nawajua wanamake na...
Wanawake wa siku hizi wana lalamika kuwa eti siku hizi wanaume hawataki kuwaoa ila ukiwatongoza wanakataa
Wanawake ninyi bwana mnatabia za ajabu ajabu ila kumbukeni kitabu cha nabii Eliya 4:1
Na siku hiyo wanawake saba watamshika mwanaume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo...
Nianze kwa ku declare interest, sijawahi kuwa shabiki wa soka la wanawake hata kidogo.
Nilipokuwa mtoto mdogo nilikuwa nikiona wanawake wanacheza mpira nilikuwa nawaonea huruma kwa sababu nilidhani walikuwa wanaumia wakicheza.
Nimekuwa mtu mzima still bado sijawahi kuupenda mchezo huu kwa...
Huyu Bidada niliwahifika Ofisi kwake nilikua nahitaji huduma Fulani ivi.
Nilivutiwa naye yaan ni ile Tamaa tu kuona ni jeupe jeupe Nene limejaa mahips makalio n.k.
Alinipea namba ila kwenye kumuomba Mzigo akawa mgumu, alafu madharau mengi sana Sijui na kunichukulia poaaa
Unajua Binafsi huwa...
Hayo yamesemwa na Daktari bingwa wa Magonjwa ya akili kutoka Hospitali ya Mirembe mkoani Dodoma, Suluma Aslan akizungumza na Waandishi wa Habari leo Agosti 3, 2022
Suluma amesema takwimu zilizofanywa na Hospitali ya Mirembe mwanzoni mwa mwezi Julai 2021 zimebaini Tanzania kuna wagonjwa 6,000...
Mamlaka katika jimbo la Gauteng zimeongeza operesheni zao dhidi ya wachimba migodi haramu katika siku za hivi karibuni kufuatia ripoti za ubakaji wa wanawake wanane na genge la watu na kuwaibia wafanyakazi wa kutengeneza video wakiwa na silaha.
Kamishna wa Polisi wa Gauteng Luteni Jenerali...
Wahudumu wa baa hasa wanawake wanapitia changamoto nyingi sana, changamoto hizi hutokana na kudharauliwa kwa kazi hii kwakuwa watu wengi sana huamini Kuwa wahudumu hao hawana tofauti na wanawake wanao jiuza, jambo ambalo sio sawa kwa sababu kazi ya kuhudumu baa sio sawa na kazi ya wanawake wanao...
Maisha ni safari na msafiri ni mimi na wewe, katika Maisha kuna kuzaliwa, kukua then kufa, wale wenye bahati kama sio walio imara huoa na kupata chance ya kuproduce their offsprings , hii ni KWA kila kiumbe japo huko mwituni huwa hatuiti ndoa.
Mwanzoni huba huwa la kushanta kama siyo kuzidi...
Popote ulipo Happy uliniweza.
Mwaka 2015 niliingia kwenye mahusiano na pisi moja ya kuitwa happy, aisee huyu manzi alikuwa mkali siyo mchezo.
Huyu Happy nilikutana naye nilipokuwa nimepanga mimi na marafiki zangu wawili (ghetto) nyumba ambayo nilikuwa nimepanga alikuwa amepanga dada yake siyo...
Masuala ya kijinsia yanajumuisha nyanja na masuala yote yanayohusiana na Maisha na hali ya mwanamke na mwanaume katika jamii, jinsi wanavyohusiana, na tofauti zao katika upatikanaji na matumizi ya rasilimali, shuguli zao, na jinsi wanavyo itikia mabadiliko mbalimbali katika jamii. Jinsia ni aina...
Habari za leo ndugu zangu! Ningependa mnisadie kwanini Kwenye suala la kutembelea ndugu, hasa wale wenye uwezo wa kifedha.
Mama wa familia ndio huonekana kikwazo cha Mahala pale kutofikika hasa ndugu wale wa upande wa mwanaume( unakuta mtu anakwambia siwezi kabisa kwenda kwa ndugu yule...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.