Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.
Yaani mtu analalamika kuwa sijamfikisha. Namuuliza yeye ameshiriki vipi kunifikisha anajibu oooh.... Huoni navyokata kiuno.
Nikasema isiwe kesi. Safari hii hakuna kukata kiuno. Inama mbuzi kagoma egamia mto lala. Then tuone kama nitafika au sitafika kileleni.
Akafanya hivyo nimefika bila shida...
Habari zenu
Nimekuwa nikijiuliza simpati jibu kwenye Hili suala yaani unakuta umemsimamisha binti mmoja na akumsaundisha na akakupa namba baada ya hapo ukawa unachati kama wiki hivi baadae ujipe gape kidogo then ukija kumtafuta unakuta kujua tangu ile siku mpaka kipindi unachat nae number yako...
Nimejaribu kufikiria, kwa upande wangu naona wanaume wanapenda sana kutangaza wapenzi/wake wao. Yaani iwe kwa wema au ubaya. Utasikia mke wangu hajui kabisa kupika! Au yule demu akilala kama gogo!
Wanawake ni nadra sana kusema, wengi hustruggle kumbadili ili awe vile anavyotaka awe.
Au wewe...
Kutokana na ugumu wa Maisha hasa Tanzania ni Bora uombe connection ya Kazi kuliko PESA.
Maana kuweka Vocha ya mia tano ili umpigie Mtu akitumie elfu moja hiyo Biashara hailipi Kabisa.
Ukitaka Mwanaume smart na marafiki smart usiombe pesa omba Kazi
Naongea hivi kwasababu Kuna Jamaa yangu...
Huu ni motto wangu
Tangu yule Baby J, pale Lindi 2007 alivyonitamkia wakati namtongoza Ili twende beach pale Kariakoo Kwa chini Ili
kibamia changu kitoe gundu.
"Kilimba we ni handsome,ila huna hela,tafuta kwanza hela ndo uje"
Ile kauli iliniuma kishenzi,hata ule wali siku ya Jumatano sikuula...
Katika pita pita zangu leo humu MMU leo, nimeona vitu vya kushangaza sana..... kuna wanawake wanasema wanavutiwa na wanaume wenye mishipa mikononi😂, wengine nimeona wanapenda kufokewa😂 na hata mmoja nimeona anasema anataka mwanaume asiye na ndevu kabisa😂.....
Sasa kina dada naomba mcomment vitu...
Mamboo
Wanaume mna sifa nyingi ila kuu ni moja ambayo kila mwanamke anataman awe naye ni huyu hapa
Mwanaume ambaye anajua kucare.
Mwanaume ambaye anajua kupenda yaani anajua nini mwanamke anataka naye ana mtimizia kwa wakati
Pia furaha mwanaume ambaye anampa furaha muda mwingi na pia hana...
Wanaume wanapiga sana kelele kua wanawake wanapenda wanaume wenye pesa/uwezo wa kuwahudumia, lakini kwa nini hatuwasikii wanawake wakilalamika kua wanaume wanapenda wanawake wenye muonekano mzuri?
Wanawake wanauwelewa mkubwa sana na nature ya mwanadamu.
Kama vile wanaume wanavyopenda wanawake...
Mke wangu mimi elimu yake ni darasa la saba, mimi nimemaliza chuo kikuu ni mhasibu nafanya kazi benki na nina mshahara mkubwa tu. Nilikutana na mke wangu kipindi kaja kuchukua mkopo wa Biashara yake, wakati huo nilikua afisa mikopo. Alinielezea kuhusu Biashara yake, plan zake na namna alivyoanza...
MHE. AYSHAROSE MATTEMBE ACHANGIA MILIONI 20 KUNUNUA MAJIKO YA GESI 500 KWA WANAWAKE WA MKOA WA SINGIDA
SEMINA YA MAFUNZO YA UTUNZAJI WA MAZINGIRA NA UWEKEZAJI, RC MISSION MJINI SINGIDA
KAULI MBIU: "MAZINGIRA YANGU MTAJI WANGU, YATUNZE YAKUTUNZE"
Mattembe Golden Women Foundation (MGWF)...
Wakuu kwa sasa hali imekuwa tofauti sana wanaotafuta wanawake wa kuoa wanapitia hali ngumu saana.
Kwa sasa imekuwa ngumu kutofautisha wife material na kahaba😁
Niko fasta kidogo leo, nitaenda kwenye mada.
Vijana mnakosa mbususu za bure kwa kukosa maarifa, kaka yenu nawapa somo leo baada ya utafiti usio rasmi nliofanya kwa muda mrefu.
Usitongoze mwanamke kwa simu unampa muda wa kukujudge sana, wewe panga siku baada ya salamu za hapa na pale. Hio siku...
AYSHAROSE MATTEMBE ACHANGIA MILIONI 10 KUNUNUA MAJIKO YA GESI KWA WANAWAKE
Mbunge wa Viti maalum Mkoa wa Singida, Mhe. Aysharose Mattembe amefanikisha Semina kubwa ya mafunzo ya Utunzaji wa Mazingira na Uwekezaji kwa wanawake wa UWT Mkoa wa Singida huku Akiwapatia Majiko ya Gesi yenye thamani...
Hello JF,
👇👇👇
Juzi Kati hapa nimekoma nimeingia lodge na manzi mmoja mitaa ya area D hapa Dodoma, nilivua suruali mbele yake nikaitundika kwenye enga ukutani, si akashangaa akauliza au ushaficha pesa zako kwenye socks, pillow, uvunguni, kwenye godoro. Pombe mbaya sana ilinisaidia kumjua...
Umoja wa Mataifa umesema Jumanne kwamba utawala wa Taliban nchini Afghanistan umewaarifu kwamba umepiga marufuku wanawake kufanya kazi katika taasisi hiyo, ikiwa hatua ya karibuni zaidi ya kuweka masharti kwa haki za wanawake nchini humo
Katibu mkuu wa UN, Antonio Guterres, amesema kwamba, “...
Abiria Wanawake Kisiwani Pemba, wamelalamikia tabia ya baadhi ya madereva wa pikipiki ‘boda boda’ kuwaingia mwilini wakati wanapokuwepo kwenye vituo vyao, kutaka usafiri wa aina hiyo.
Walisema mara unapofika kwenye eneo lao la vituo na kutaka usafiri, huvamiwa na kuanza kukukopea mizigo na...
Mimi nashindwa kabisa kuwaelewa wanawake kipi wanakitaka hasa katika haya maisha
Ukijaribu kumuambia ukweli unampoteza yaani anakuacha.
Ukimdanganya anasema apendi wanaume waongo
Kipi kwenu sahihi mnapenda kusikia au mnataka tufake?
Sisi wanaume wengi mioyo yetu myepesi sana yaani raisi...
Nimerudi tena.
Tuwaheshimu, tuwajali, tuwatunze, tuwapende kwa moyo mkunjufu. Wengi wetu tuliolelewa na single mothers huwezi kukuta tunawadharau na kuwakejeli wanawake.
Guyz, hawa viumbe wana nafasi ya pekee mno mbinguni. Mungu awabariki wanawake wote.
Wasalaam JF,
👇👇👇
Hakika ni vema mwezi huu wa mfungo wa ibada naomba ikawe neema na nuru ya ukombozi, wanawake wote wapendwa waislam maustafhati wote wafanye mazuri na wajaaliwe kama Bi Khadija.
Na kheri ikawe nanyi wote, binti zetu, dada zetu, mama zetu, shangazi zetu, na Bibi xetu nyote...
Ndugu zangu japo mimi ni mkristo ila hawa ndugu zetu waislamu linapokuja suala la ndoa na mazishi huwa hawana mambo mengi.
Mtu anafariki leo kesho mapema tu anazikwa kama hakutokuwa na safari ya kumsafirisha.
Kwenye ndoa nako hakuna kuremba watu wamependana wakatambulishana kijana wa kiume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.