wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Je, jinsia ya kiume ni dhaifu?

    Kwanini wanaume wengi (si wote) wana uwezo mdogo sana wa kudhibiti hisia zao hasa za hasira au maumivu? Asilimia 90% ya mauaji yote duniani yanafanywa na wanaume, iwe sababu ya hasira, visasi, uhalifu au vitendo vya kikatili. Ni kwanini iko hivi? Tumeona visa vya kugombea hata vitu vidogo...
  2. K

    Kweka kumpiga risasi mkewe ni kielelezo cha wanaume kupitia mengi yasiyojulikana

    NInapotafakari kisa cha Kweka kumpiga risasi mke wake na kujipeleka polisi huku akijua kinacho mkabili, najaribu kuvaa viatu vyake nahitimisna kuwa huyu bwana atakuwa amepitia mengi kwenye ndoa yao. Bahati mbaya jamii hulalia upande wa mwanamke maana kwa kuwa wanaume wapo masculine jamii...
  3. Mwanamke niliyekuwa natarajia kumuoa mwezi huu Oktoba nimegundua ana mahusiano na wanaume wengine wawili mimi ni wa tatu

    Mwanamke niliekuwa natarajia kumuoa mwezi huu October nimegundua ana mahusiano na wanaume wengine wawili mimi ni watatu. Mkiniona kwenye ndoa nivunjeni miguu yote miwili. Nimenusurika kwenye hili sitarudia Tena ujinga.
  4. Nimekuwa mwinjiristi wa kuwashauri wanaume wenzagu wapunguze au waache kabisa kwenda makanisani Nashukuru mwitikio ni mkubwa sana

    Kwa sababu Dini mmezigeuza kuwa biashara na utapeli Mimi binafisi nimejitolea kuwa mwinjiristi wa kuwashauri wanaume wenzagu wapunguze au waache kabisa kwenda makanisani. Hizi ndio zimekuwa sababu zangu kuu. Dini za sasa ni biashara na utapeli. =>Ukubali ukatae Leo hii dini zimegeuka kuwa...
  5. Tunataka Waziri wa Wanaume. Hizi za kusema Waziri wa jinsia sio kweli. Aliyepo ni waziri wa wanawake na watoto.

    TUNATAKA WAZIRI WA WANAUME. HIZI ZA KUSEMA WAZIRI WA JINSIA SIO KWELI. ALIYEPO WAZIRI WA WANAWAKE NA WATOTO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Wizard ya Maendeleo ya jamii, jinsia na watoto. Inafanya kazi kwa kiwango fulani. Labda tuite kiwango fulani kizuri katika mambo kadhaa. Ila mimi...
  6. Wanaume lindeni mali zenu.hapa duniani mali ndo utambulisho wa mwanaume.

    Baada ya tukio la kupigwa shaba huko Daslam.Kuna wanaume dhaifu wengi kwenye comment katika mitandao ya kijamii mbalimbali wanashauri ujinga ujinga. Guys tuache upumbavu.Kama wewe unauwezo wa kila ukianzisha familia mwanamke akidai mali wewe unamuachia unaanza upya.Hapa duniani wewe utakuwa...
  7. Dr Gwajima naona Unalalia sana Kwa wanawake pasina kusikiliza pande zote mbili. Unatukosea sana Wanaume.

    Wasalam wakuu. Haya ni Maoni yangu Kwa Mh Dr Gwajima Mh Dr Gwajima Kuna mahala unafeli sana linapkuja swala la manaume kuchukua maamzi magumu. Ninachoamini Mimi ..kitendo Cha mwanaume kumuoa mwanamke na kumfanya awe mke wake na hatimae kuwa mlezi wa watoto wake ni kithibitisho tosha kuwa...
  8. Wanaume chukueni hii siri

    Usije kufukuzia ID feki ukadhani ni pisi utakuja kujiona fala Nawasanua usiku usiku wasije wakastukia Wanawake wakali huwa wajifichi fichi, Ukiona demu anakuzungusha zungusha na kuanza kujifanya mkali jua mbovu tena wa kutupwa Kama mlishuhudia mkeka, mmejionea wenyewe, zile pisi kali wala...
  9. Hii ya wanawake kuchukua video za wanaume wakiwa wamelala imekuwa trend sasa. Hakikisha haulali na mlupo usiku, atakuharibia maisha.

    Kila kona ni video za michepuko kuchukua video za wanaume ili wasisambaze either kumkomoa mwanaume au kumuumiza mke wa jamaa
  10. Wanaume, Mmeona Hii Kasi ya Ma-Ex Kurudi Ghafla

    kuna kitu kinaendelea duniani kama mme sense. Uchumi umekaza hela imekuwa ngumu kupatikana, na wanaume wengi siku hizi wamefunga kabisa wizara ya kuhonga. Kwa baadhi ya mademu wasio na source ya uhakika ya kipato, mtaani kumeanza kuwa pa moto Hapo ndipo contacts za zamani zinaanza kufukuliwa...
  11. Hivi wanaume wa jf unajiskiaje kujua hakuna mali humu?

    Binafsi unajisikia furaha sana... I kudhani kuna wa hivi basi utakuwa Umekosea njia Ila hu upepo na uvumi umetufungua sana, kumbe mali za humu ni mbovu kiasi hiki?
  12. B

    Uhalisia wa mahusiano mengi ya kimapenzi unatisha, wanaume tuwe macho

    Habarini, Haswa kwa wale wanaume ambao ni so called good & responsible men, unakutana na mwanamke, unampenda, unajitahidi kumhudumia almost mahitaji yake yote (kama ambavyo wanatufosi na kutushauri humu jf kuwa tuwahudumie ili penzi linawiri😅) kumbe anayokuwazia moyoni yanatisha. Nilipita pita...
  13. Hivi ndivyo vinavyotuuma wanaume kuchapiwa wake zetu nje ya ndoa.

    Wakuu, kuchapiwa sikia tu kwa wenzio yasikukute. Hizi ndio gharama umemgharamia mkeo alafu muhuni anaenda kuichapa bureeeee. ~ mahari umelipa ~ simu, vocha, wanayowasiliana umenunua wewe. ~ Nguo anazovaa wanapokutana umenunua wewe. ~ Chupi anayoenda kuvuliwa umenunua wewe. ~ perfume, viatu...
  14. Wanaume tumeumbwa kwa matesoooo, matesooo-kuhangaika 𝄞 𝄞

    All men, ukipata hela ishi kimasta. Weka percent kwa ajili yako peke yako, ustareheshe moyo wako.
  15. Kwanini wanaume tusi reverse majukumu sasa.. Ili heshima ije?

    Kuna mwamba mmoja nimejikuta nimeikubali mindset yake, Na ningependa sisi vijana ambao ndo tunaelekea kuvuta majiko, tuwe nayo ili tuweze kudumu kwenye ndoa. Tufanye wake zetu watarajiwa watufanyie wao vitu sio sisi tu ndo tuwe providers, na ikiwezekana sisi tuwe receiving end.. Yaani mwanamke...
  16. F

    Kati ya wanawake na wanaume nani viumbe hatari duniani?

    Wanaume wamekuwa wakiongoza dunia kwa miongo mingi. Walianzisha mfumo dume Mwanaume humpa mimba mwanamke na azaapo, yeye huwamilki wote wawili. Wanaume wengi japo si wote, wajinga na wabinafsi hulaumu wanawake kwa kila kitu. Wanaume ni wengi kwenye mambo ya kivita kama majeshi. Kwa kuzingatia...
  17. Ugumba wanaume wa Dar :Shahawa hazina umbo sahihi: Chips na Ice CREAM zatajwa!

    Wanaume wengi, hasa Dar wamebaki na sehemu za kukojolea na si kuzalishia tena, hii inatokana na life style . Chips mayai ya kisasa, Mayonaise, biriani, pombe-visungura na streess za kuliwa betting! Wakati Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ikipanua huduma zake za Upandikizaji Mimba (IVF)...
  18. K

    Wanaume wametoa ya moyoni, kina nani wanayumba zaidi kwenye mahusiano?

    Habari wakuu, Nilipata likizo ya muda ila leo nimepamiss sana JF. Haya sasa leo nimefika tu kazini asubui kwa kuchelewa nikagundua jumatano ya leo ni ya kipekee sana, yaani asubui tu tumeanza kupiga stori za maisha na mahusiano. Tulianza kwa mabishano makubwa sana ila nikaja kukubali...
  19. Idadi ya Wanaume wasiooa Marekani imeongezeka kwa karibu asilimia 50, kiwango cha juu zaidi

    Siyo poa Wakuu! Idadi ya Wanaume Vijana Wasiooa Marekani Yafikia Milioni 30.4 Dondoo Ripoti ya mwaka 2026 imeonyesha kuwa mwaka 2025, wanaume milioni 30.4 wenye umri wa miaka 20–39 nchini Marekani hawakuwa wameoa, ikilinganishwa na milioni 20.7 mwaka 2000. Hilo ni ongezeko la takriban 47%...
  20. Wanaume tumekuwa na malalamiko mengi sana dhidi ya wanawake, nini kifanyike?

    Wanaume wenzangu malalamiko dhidi ya wanawake ni mengi sana humu jamvini, hasa usaliti nini kifanyike? Nyuzi za wanawake kulalama dhidi yetu ni chache sana, wanaume wenzangu hawa viumbe wametukama wapi na inaonekana hakuna jeuri zaidi ya kulalama. Wenye pesa wanalalama, wasio na pesa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…