wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Eli Cohen

    Mwanzoni mwa miaka ya 2000 Kuna mtu humu aliebahatika kuangalia mkanda (tape) ambayo ilikuwa na video full za kuteswa kwa samuel doe wa Liberia

    Hii ngoma ukiiangalia lazima iku-traumatize. Jamaa walikuwa wanamkata vipande vya nyama taratibu huku akilia kwa maumivu. Mind you alikuwa raisi amepinduliwa hapo.
  2. Gunner11

    Hivi mnajua kuna wanaume wa 30+ na hawana experience ya mahusiano? (Hata kuhandle familia hawawezi)

    Hii inaletlelezwa na kukosa confidence na effect ya social anxiety. Kuna jamaa mpaka wa leo nadhani haja wahi kufanya mapenzi, maana last time alibwagwa na demu baada ya demu kuona jamaa hana maamuzi ya kiuanaume. Ilikuwa jamaa kila muda anamuuliza demu maswali ya kijinga na hana stori za...
  3. Gobole Lenye Risasi

    Wakati mwingine ni ngumu kutuelewa sisi wanaume

    Unakutana na demu mkali. Unaomba namba ya simu anakupa. Kesho Unakuja kumpigia kumsalimia anaitikia fresh tu na masham sham kama yote. Unamwuliza u wapi anajibu home. Unamwuliza lini tunaweza onana anakuambia hata muda huu mi fresh tu. Unamwuliza nikutumie nauli anasema tuma lakini si kwa...
  4. A

    KERO Ofisi za BM vyoo vya wanaume Shekilango, jionee mwenyewe

    Ofisi za BM vyoo vya wanaume Shekilango, hali yake hairidhishi wahusika wachukue hatua.
  5. instinct desire

    Rate ya vifo vya wanaume kwenye ndoa ni kubwa kuliko ya wanawake , wanawake Wana immunity kubwa sana

    Mungu aliwajalia wanawake neema ya kuishi maisha marefu. Hata ukiangalia mortality rate, utagundua kuwa watoto wa kiume ni delicate kufa kuliko watoto wa kike. Kwenye hili: Mungu anamakusudi makubwa kwasababu UPENDO WA MAMA always UPO WAZI KWA KILA MTU wanawake, wamezaliwa na upendo Daima ♥️ ...
  6. R

    Waziri Katambi: Wanaume angalieni pa kuweka moyo wenu msije mkaingia kwenye jinai

    Waziri wa Mambo ya Ndani, PatrobasKatambi amesema hayo mjini Makambako mkoani Njombe leo Oktoba 18 wakati ziara ya Makamu wa Rais Deogratius Ndejembi, ambapo amesema kutambua viashiria vya utapeli katika mapenzi itasaidia kuepuka kuchukua sheria mkononi kwani mamlaka husika hazitaacha kuchukua...
  7. Mhaya

    Wanaume inabidi tuanzishe “Global Male Population Emergency Summit"

    Kwa mienendo ya watu hawa walioondoka kwenye group letu pendwa na wanaume. Itabidi tuanzishe “Global Male Population Emergency Summit" kwa ajili ya kulinda miiko ya kuwa Mwanaume kamili. Tutazungumza agenda mbalimbali zinazohusu ushupavu, kuwajibika na namna ya kuwa kamili gado kama dume...
  8. Isenye

    Kwanini sisi wanaume tunaofanya kazi taasisi zenye majina makubwa tunashobokewa sana na warembo?

    Nikisema taasisi zenye majina,namaanisha taasisi hizi. 1.ikulu 2.BOT 3.Ewura 4.Naot 5.Tanesco 6.Bunge 7.Balozi mbalimbali 8.Tpdc 9.wizara ya fedha 10.Tcc 11.Tbl 12.Tanapa 13.coca cola 14.Serengeti breweries 15.kilombero sugar Na nyingine za aina hiyo. Ni kwa nini warembo wanatushobokea sana wakuu?
  9. Mhaya

    Kuzaa kwa uchungu haitoshi, wameona waingilie na Adhabu ya kula kwa jasho ya wanaume

    Kwa mujibu wa simulizi za pale bustani ya Eden, baada ya Adam na Hawa kula tunda lililokatazwa, Hawa akapewa adhabu ya kuzaa kwa uchungu, huku Adam akiambiwa atakula kwa jasho la uso wake. 😂 Sasa cha kushangaza, wanawake wameona adhabu yao haitoshi! Wameamua kuingilia na adhabu ya mwanaume pia...
  10. mcTobby

    Wanaume waliooa wasiwe na mazoea ya Kula peke yao chakula

    Msiichukulie hii Post seriously sana .. chukua code tu afu we pita hivi..
  11. C

    Wanaume Wa kikristo turuhusiwe kuoa mke zaidi ya 1

    Tumsife yesu kristu, mwanakondo ameshinda Hallelujah Wanaume wakristo ndio watu wanaongoza kwa kuchepuka hali inayoleta migogoro kwenye familia mbaya zaidi inaweza sababisha kuleta magonjwa kwenye familia Ushaurj wangu makanisa ya kikristu yaruhusu wanaume wa kikristu kuoa mke zaidi ya mmoja...
  12. Ernesto Guevara

    Je Ni kweli Wanaume au Wanawake watu wazima wenye vidonda/vipele kwenye Miguu au mikono kuwa % kubwa yao wameathirika na HIV?.

    Leo ni Weekend ndefu. Mipira kama Yote, na kesho ni off day. Burudani kabisa. Ila kuna tetesi nazisikiaga siku nyingi.. Na sina uhakika nazo, ingawa pia ni code huwa naitumia kwa miaka na miaka. Hivi ni kweli. Mtu mzima akiwa na vipele ambavyo haviponi au kuwa na makovu mengi ya mara kwa mara...
  13. adriz

    Hivi ndivyo maandiko ya Biblia yanavyosema kuhusu wanaume kuwa na kufuga 'ndevu'

    Moja kwa moja... Msukumo wa kuandika mada hii nimeupata baada ya kuona mara kwa mara member wa Jf Echolima1 na wengineo baadhi wanaojinasibisha na Imani ya kikirsto kukashifu vibaya ufugaji wa ndevu kisa Waislamu ndio sehemu yao ya dini na ni jambo wanalopenda sana , imefikia hatua ya kutoa...
  14. Manyanza

    Wanaweka, Oneni thamani za wanaume wanaopambana kwa ajili yenu

    Mthamini mwanaume anayejituma kutafuta maisha, anayechoka kazini huku akiwaza namna ya kufanya kesho yenu iwe bora. Yule ambaye huenda hana kila kitu unachokitamani kwa sasa, lakini anajitahidi kwa uwezo wake wote kuhakikisha mnapiga hatua pamoja. Mthamini anayesimama nawe wakati wa shida...
  15. R

    Ni wanaume wachache sana, kama wapo anyway, wenye hela ambao siyo WOMANIZER , tena notorious WOMANIZER

    This is my casual observation. Uzoefu wangu wa miaka zaidi ya 50 ya kuwa duniani, umenithibitishia hivyo. Wewe unasemaje?
  16. M

    Huwa nasikia wanawake wakianza kufuatilia talaka wapate mali wanawamwagia waume zao maji, ni vitimbi gani vingine huvifanya ?

    Nilisoma post kuna mdau alilalamika mke wake alikuwa anammwagia maji kudai talaka wagawane mali, ni mpaka siku alipomwagiwa maji ymoto akalichulikulia suala serious. Ni vitimbi gani vingine hufanywa
  17. BIOTOXINS

    Mwanaume usipande gari ambalo nauli yake haumudu from Day 1 >the end

    Haya makosa wanaume walio wengi wanayafanya pasipokujua mlipuko wake upo,na lazima ulipuke 1. Epuka "Fake Life" (Maisha ya Sifa) Wanaume wengi wanapoanza mahusiano, ili kumvutia mwanamke, hujifanya wana uwezo mkubwa wa kifedha kuliko uhalisia wao. Wanatoka nao kwenye hoteli za gharama kubwa na...
  18. Yoda

    Sababu gani zinapelekea wanaume wa mikoa ya bara kuongoza mauaji ya visa vya mapenzi.

    Kesi nyingi za mauaji ya wapenzi au wake ni wanaume wa bara wakifanya mauaji. Tatizo ni nini ? Kuna namna fulani vijana wa Pwani wanalelewa kikike ( ki feminine) zaidi kuliko vijana wa bara, hii utaiona katika namna wanavyohusiana kilaini laini na wepesi na mama, dada, shangazi zao na hata...
  19. Think2

    Mwamba kwenye vikao vya wanaume hua hatokei ona sasa

    Kuna faida kubwa sana hasa zama hizi kutokea kwenye vikao vya wanaume Mwamba huyo alikuwa hatokei kwenye vikao kila akiitwa hafiki ona sasa kimemlamba 😂 😂 😂
  20. Binti wa zamani

    Kwanini wanaume wengi wana udhaifu huu?

    Kwanini wanaume wengi (si wote) wana udhaifu mkubwa kwenye kudhibiti hisia zao hasa za hasira au maumivu? Asilimia 90% ya mauaji yote duniani yanafanywa na wanaume, iwe sababu ya hasira, visasi, uhalifu au vitendo vya kikatili. Ni kwanini iko hivi? Tumeona visa vya kugombea hata vitu...
Back
Top Bottom