Kwanini wanaume wengi (si wote) wana uwezo mdogo sana wa kudhibiti hisia zao hasa za hasira au maumivu?
Asilimia 90% ya mauaji yote duniani yanafanywa na wanaume, iwe sababu ya hasira, visasi, uhalifu au vitendo vya kikatili. Ni kwanini iko hivi?
Tumeona visa vya kugombea hata vitu vidogo...
NInapotafakari kisa cha Kweka kumpiga risasi mke wake na kujipeleka polisi huku akijua kinacho mkabili, najaribu kuvaa viatu vyake nahitimisna kuwa huyu bwana atakuwa amepitia mengi kwenye ndoa yao.
Bahati mbaya jamii hulalia upande wa mwanamke maana kwa kuwa wanaume wapo masculine jamii...
Mwanamke niliekuwa natarajia kumuoa mwezi huu October nimegundua ana mahusiano na wanaume wengine wawili mimi ni watatu. Mkiniona kwenye ndoa nivunjeni miguu yote miwili.
Nimenusurika kwenye hili sitarudia Tena ujinga.
Kwa sababu Dini mmezigeuza kuwa biashara na utapeli Mimi binafisi nimejitolea kuwa mwinjiristi wa kuwashauri wanaume wenzagu wapunguze au waache kabisa kwenda makanisani.
Hizi ndio zimekuwa sababu zangu kuu.
Dini za sasa ni biashara na utapeli.
=>Ukubali ukatae Leo hii dini zimegeuka kuwa...
TUNATAKA WAZIRI WA WANAUME. HIZI ZA KUSEMA WAZIRI WA JINSIA SIO KWELI. ALIYEPO WAZIRI WA WANAWAKE NA WATOTO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Wizard ya Maendeleo ya jamii, jinsia na watoto. Inafanya kazi kwa kiwango fulani. Labda tuite kiwango fulani kizuri katika mambo kadhaa.
Ila mimi...
Baada ya tukio la kupigwa shaba huko Daslam.Kuna wanaume dhaifu wengi kwenye comment katika mitandao ya kijamii mbalimbali wanashauri ujinga ujinga.
Guys tuache upumbavu.Kama wewe unauwezo wa kila ukianzisha familia mwanamke akidai mali wewe unamuachia unaanza upya.Hapa duniani wewe utakuwa...
Wasalam wakuu.
Haya ni Maoni yangu Kwa Mh Dr Gwajima
Mh Dr Gwajima Kuna mahala unafeli sana linapkuja swala la manaume kuchukua maamzi magumu.
Ninachoamini Mimi ..kitendo Cha mwanaume kumuoa mwanamke na kumfanya awe mke wake na hatimae kuwa mlezi wa watoto wake ni kithibitisho tosha kuwa...
Usije kufukuzia ID feki ukadhani ni pisi utakuja kujiona fala
Nawasanua usiku usiku wasije wakastukia
Wanawake wakali huwa wajifichi fichi,
Ukiona demu anakuzungusha zungusha na kuanza kujifanya mkali jua mbovu tena wa kutupwa
Kama mlishuhudia mkeka, mmejionea wenyewe, zile pisi kali wala...
kuna kitu kinaendelea duniani kama mme sense. Uchumi umekaza hela imekuwa ngumu kupatikana, na wanaume wengi siku hizi wamefunga kabisa wizara ya kuhonga.
Kwa baadhi ya mademu wasio na source ya uhakika ya kipato, mtaani kumeanza kuwa pa moto Hapo ndipo contacts za zamani zinaanza kufukuliwa...
Binafsi unajisikia furaha sana...
I kudhani kuna wa hivi basi utakuwa Umekosea njia
Ila hu upepo na uvumi umetufungua sana, kumbe mali za humu ni mbovu kiasi hiki?
Habarini,
Haswa kwa wale wanaume ambao ni so called good & responsible men, unakutana na mwanamke, unampenda, unajitahidi kumhudumia almost mahitaji yake yote (kama ambavyo wanatufosi na kutushauri humu jf kuwa tuwahudumie ili penzi linawiri😅) kumbe anayokuwazia moyoni yanatisha.
Nilipita pita...
Kuna mwamba mmoja nimejikuta nimeikubali mindset yake,
Na ningependa sisi vijana ambao ndo tunaelekea kuvuta majiko, tuwe nayo ili tuweze kudumu kwenye ndoa.
Tufanye wake zetu watarajiwa watufanyie wao vitu sio sisi tu ndo tuwe providers, na ikiwezekana sisi tuwe receiving end.. Yaani mwanamke...
Wanaume wamekuwa wakiongoza dunia kwa miongo mingi.
Walianzisha mfumo dume
Mwanaume humpa mimba mwanamke na azaapo, yeye huwamilki wote wawili.
Wanaume wengi japo si wote, wajinga na wabinafsi hulaumu wanawake kwa kila kitu.
Wanaume ni wengi kwenye mambo ya kivita kama majeshi.
Kwa kuzingatia...
Wanaume wengi, hasa Dar wamebaki na sehemu za kukojolea na si kuzalishia tena, hii inatokana na life style . Chips mayai ya kisasa, Mayonaise, biriani, pombe-visungura na streess za kuliwa betting!
Wakati Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ikipanua huduma zake za Upandikizaji Mimba (IVF)...
Habari wakuu,
Nilipata likizo ya muda ila leo nimepamiss sana JF.
Haya sasa leo nimefika tu kazini asubui kwa kuchelewa nikagundua jumatano ya leo ni ya kipekee sana, yaani asubui tu tumeanza kupiga stori za maisha na mahusiano.
Tulianza kwa mabishano makubwa sana ila nikaja kukubali...
Siyo poa Wakuu! Idadi ya Wanaume Vijana Wasiooa Marekani Yafikia Milioni 30.4
Dondoo
Ripoti ya mwaka 2026 imeonyesha kuwa mwaka 2025, wanaume milioni 30.4 wenye umri wa miaka 20–39 nchini Marekani hawakuwa wameoa, ikilinganishwa na milioni 20.7 mwaka 2000. Hilo ni ongezeko la takriban 47%...
Wanaume wenzangu malalamiko dhidi ya wanawake ni mengi sana humu jamvini, hasa usaliti nini kifanyike?
Nyuzi za wanawake kulalama dhidi yetu ni chache sana, wanaume wenzangu hawa viumbe wametukama wapi na inaonekana hakuna jeuri zaidi ya kulalama. Wenye pesa wanalalama, wasio na pesa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.