wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    KERO Wananchi wa Pugu wanaopakana na pori linalodaiwa ni eneo la Jeshi, tunakabiliwa na vitendo vya kunyanyaswa

    Maeneo ya Pugu, wananchi wanaopakana na pori linalodaiwa kuwa ni eneo la Jeshi, tumekuwa tukikabiliwa na vitendo vya kunyanyaswa, ikiwemo kuvunjiwa nyumba na kuzuiwa kutoa maoni au kuzungumza kuhusu suala hili. Tatizo hili linadaiwa kusababishwa na watu wanaodai kuwa wamiliki wa eneo hilo...
  2. K

    Taifa bado lipo kwenye majanga na maombolezo

    Jumla ya hawa wabunge 404 ni wahaini hata ndani ya mioyo yao na nafsi zao wanajua ya kuwa hawakuchaguliwa na wananchi Oct 29.2025
  3. Zack Abdul

    Jibondo Mafia yafikiwa na umeme, wananchi zaidi ya 3,000 kunufaika

    Mradi wa umeme wenye thamani ya Sh bilioni 8.4 unaotekelezwa na TANESCO katika Jibondo, Mafia – Pwani, umefikia asilimia 82 ya utekelezaji. Mradi huo unatarajiwa kuwafikishia umeme wananchi zaidi ya 3,000 na kuchochea shughuli za uvuvi, biashara pamoja na uchakataji wa mazao ya baharini, huku...
  4. T

    Katiba tuliyonayo haijawahi kutungwa na wananchi maana yake ni kwamba watawala waliamua watutawaleje!?

    Ndugu zangu inahitaji moyo mkuu sana ili kuwa muumini wa katiba tuliyonayo nayo sasa, kwani mbali ya kuwa Ina mapungufu mengi haikuumdwa na raia bali iliundwa na viongozi Yaani watawala wanakubaliana kwa niaba ya watawaliwa Hii ni sawa na kuwe na kampuni mbili Moja inaninua nyingine inauza...
  5. kavulata

    Afrika hakuna nchi vyama vya upinzani vimeleta nafuu kwa wananchi vikifika Ikulu

    Huwa nafuatilia sana siasa za dunia na Afrika. Afrika yote ni kama vile inaongozwa na Rais mmoja, bunge moja, mahakama moja na baraza la mawaziri moja. Hali yetu inafananafanana kwa kila kitu. kiuchumi, siasa, na huduma za jamii. Huduma na maendeleo yetu yako chini relatively kulinganisha na...
  6. polokwane

    Huwa nashindwa kuelewa hili ni bunge la wananchi au bunge la serikali? Mbona wananchi wanatekwa kila siku hatuoni bunge likiongelea wananchi wao?

    Hali ya utekaji sasa inatisha sikuhizi hadi visa binafsi vya mapenzi watu wanatekwa inaonekana kuna kikundi maalumu kinakodiwa kwa kazi hiyo nankina baraka za serikali, mwisho wa hali hii ninini? Na tuna vyombo vya ulinzi na usalama ?
  7. Wizara ya Ardhi

    Wataalamu wa ardhi Mtwara waupokea vyema mfumo wa e-Ardhi, wako tayari kuwahudumia wananchi

    📱 Huduma za ardhi sasa kiganjani!,Kupitia e-Ardhi, Serikali inaendelea kusogeza huduma karibu zaidi na wananchi, Wataalamu wa sekta ya ardhi wameupokea vyema Mfumo wa kidijiti wa e-Ardhi na kuonesha utayari wa kuutumia katika kutoa huduma kwa wananchi kwa ufanisi, haraka na kwa urahisi zaidi...
  8. Kong xin cai

    Tetesi: Wananchi Sio Maadui: Wajibu wa Vyombo vya Ulinzi

    Kwenu vyombo vya ulinzi na usalama — Polisi, JKT, JWTZ, TISS na vyombo vingine vinavyobeba jukumu la kulinda taifa. Kumekuwa na mijadala na matamko yasiyo rasmi kutoka kwa baadhi ya watumishi wa vyombo vya ulinzi na usalama kutoa kauli zinazoweza kutishia wananchi, kupambana nao au kuwachukulia...
  9. C-C Digital Pro

    Nchi ni yetu lakini Sheria inatuzuia kuishi Kama Wananchi eti Viongozi ndio wanaishi Kama raia halali. Ndio maana watu huandamana au kufanya vurugu.

    AMANI HAIPO SAWA. Kwa mjibu wa Civilian-Coin: "Nchi ni yetu lakini Sheria inatuzuia kuishi Kama Wananchi eti Viongozi ndio wanaishi Kama raia halali. Ndio maana watu huandamana au kufanya vurugu". Civilian-Coin
  10. Wizara ya Ardhi

    Rasimu ya mpango wa uendelezaji Sinza yawasilishwa kwa wananchi

    Mpango haulengi kuondoa umiliki wa ardhi Na Lusajo Mwakabuku – DSM DAR ES SALAAM: Serikali kupitia Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeendelea kutoa elimu kwa wananchi kuhusu Rasimu ya Mpango wa Uendelezaji Eneo la Sinza, Jijini Dar es Salaam, unaolenga kuendana na mabadiliko ya...
  11. Idugunde

    Hivi Mwanasiasa akiwekwa kifungo cha nyumbani wananchi huwa hawapewi taarifa? Nani huwa anatoa hii adhabu na kwa kosa gani?

    Ninashangaa juu ya hizi habari kuwa Nchimbi wa CCM yupo kifungo cha nyumbani kama ilivyokuwa kwa Abdul Jumbe. Hii adhabu hutolewa na nani? Na kwa nini wananchi hawana taatifa kam
  12. Wizara ya Ardhi

    Mfumo wa e-ardhi: Mafunzo yaendelea Mtwara, Wananchi kunufaika na huduma za Ardhi Kidijiti

    Wataalamu wa sekta ya ardhi mkoani Mtwara wakiendelea kupata mafunzo ya matumizi ya Mfumo wa e-Ardhi katika Ukumbi wa Chuo cha Stella Maris, Mtwara, ikiwa ni sehemu ya juhudi za Serikali ya Awamu ya Sita kuboresha na kurahisisha upatikanaji wa huduma za ardhi kwa wananchi. Kupitia mfumo huo...
  13. M

    Mbona wananchi wengi hawaamini kuwa Coaster hili limenunuliwa kwa mil 334?

    Coaster la mil 334👇
  14. Wizara ya Ardhi

    Wananchi wahimizwa kujifunza kutumia mfumo wa e-ARDHI

    SINGIDA Wataalamu wa sekta ya ardhi Mkoa wa Singida wakiambatana na wale wa kutoka Makao makuu ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi wametoa elimu kuhusu matumizi ya mfumo wa e-Ardhi na kuhimiza wananchi kujifunza na kutumia mfumo huo kwa usahihi. Elimu hiyo imetolewa leo...
  15. A

    KERO Wananchi wa Igoma, Mwanza, tunakabiliwa na changamoto ya usafiri wa daladala kwenda maeneo mbalimbali

    Sisi wananchi wa Igoma, Mwanza, tunakabiliwa na changamoto ya usafiri wa daladala kwenda maeneo mbalimbali, ikiwemo katikati ya jiji, Buhongwa, Airport na Ilemela. Kwa sasa, tunategemea daladala zinazotoka Kisesa au Kishili. Hata hivyo, zinapofika Igoma huwa tayari zimejaa, hali inayosababisha...
  16. Wakusoma 12

    Kama Ramadhani Kingai amesema anaombea na atashangilia iwapo Lisu atakutwa na hatia, basi wananchi wanashaongilia vifo vya viongozi wapo sawa

    Now this is the real war. Sina neno
  17. Idugunde

    Kupeleka vijana JKT ili waje watoe wananchi sio suluhu ya matatizo ya taifa letu. Tatizo ni ufisadi wa CCM mtandao

    Jamii imeshutushwa na video za vijana walioenda mafunzo ya Jkt wakijinasibu kuwa wapo tayari kutoa mavi wananchi watakaoandamana kudai haki na mabadiliko. Hata huko Sierraleone na kwingineko Wanajeshi wenye mafunzo hawakushinda nguvu za wananchi. Kutishia watu kwa vijana kama hawa ambao...
  18. R

    KERO Wananchi Kijiji cha Sanya Station tupo hatarini, El-Nino inakuja, mto umejaa magogo, Viongozi wanatupa ahadi ila hazitekelezwi

    Wananchi, Wilaya ya Hai, Kata ya KIA, Kijiji cha Sanya station kuna changamoto ya Mto Sanya kujaa magogo na daraja kutokupitika yapata sasa zaidi ya miezi mitano. Hali hiyo ilitokana na kusombwa na mafuriko, hofu yetu kubwa ni kuelekea msimu wa mvua za El-Nino. Daraja hilo ndilo linauunganisha...
  19. sinza pazuri

    Mimi sikubaliani na mtazamo wa Padre Kitima kwamba wananchi ndio waongoze mchakato wa maridhiano

    Padre Kitima ni kiongozi wa kiimani nnae mkubali sana haswa mitazamo yake. Lakini sikubaliani nae kwenye proposal yake kuwa mchakato wa maridhiano uongozwe na wananchi. Kwenye theory inasound vizuri, lakini tukija kwa ground inakuwaje? Wananchi gani? Wanawakilishwaje? Nani anawaita? Nani...
  20. prida

    Heche, kama Lema ana makandokando yako wakati sahihi wa wananchi kuyasikia ni sasa.Usibembeleze Lema asifanye press.

    Hiyo post ya Lema ya kuahirisha press inaonesha ni kweli anatishiaga kufanya press na hiyo post yake anamaanisha Heche kambembeleza kwa hotuba ndo mana akaahirisha na hiyo kusema ameahirisha ni KITISHO kuwa wakimzingua anaita press anamwaga uharo wa Heche sababu Lema inaonesha kabisa hampendi...
Back
Top Bottom