This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.
Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Eliakimu Maswi, na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), Mhandisi Gilbert Mwoga, wamepokelewa leo, Novemba 27, 2026, katika Ofisi Ndogo za TAMISEMI zilizopo Magogoni, jijini...
Ukienda nchi jirani, mafuta ya petrol na diesel ni nafuu kuliko Tanzania, tena baadhi ya nchi zinatumia bandari yetu. Sekta ya magari nayo ni mfano mwingine: Crown Athlete ya mwaka 2007 ukiagiza Japan unaweza kuinunua kwa milioni 6, lakini ikifika Tanzania kodi na ushuru vinaweza kufika milioni...
Katika mazingira ya Sasa ambapo serikali yetu imepoteza uungaji mkono wa wananchi wengi kwa maoni yangu Mh waziri Mkuu yuko sahihi Kwa hayo anayoyafanya
Kusikiliza na kutatua kero za wananchi.
Haya anayoyafanya waziri Mkuu ndo Moja ya njia ya Kuirudisha imani ya wananchi kwa serikali yao. Kwa...
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Kaspar Mmuya akisikiliza hoja na kero mbalimbali zilizoibuliwa na wananchi wakati wa mkutano wa hadhara katika ziara ya Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, Novemba 25, 2026 mkoani Morogoro.
Ni kwamba, kila chama cha siasa kinachostahili kinapewa ruzuku na serikali kwa ajili ya kujiendesha. Hii inatia ndani CCM, Chadema Act Wazalendo. Sijui kama kuna kingine.
Sasa tatizo ni kwamba, pamoja na kwamba chama tawala ndio mara nyingi kinakuwa na ruzuku kubwa, kwa mfano CCM, fedha ya...
Makaburu yanavyotuendesha kibabe kwa kutumia mbumbumbu wetu.
1. Kila mwenye akili na mawazo ya kujenga anatolewa kwenye siasa. Awe CCM au nje yake.
2. Bunge, polisi, Mahakama na Raisi hawawajibiki tena kwa watu bali makaburu yaliyowapa mamlaka kwa mkono wa chuma... ...
3. Teuzi na tenguzi...
Kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka (UDART) inapenda kuwajulisha Wananchi kuwa imepokea taarifa ya tukio lililotokea jana majira ya saa 3:30 usiku (21:30) katika eneo la Kituo cha Kibo.
UDART pia inapenda kuwajulisha Wananchi kuwa taarifa za tukio hilo ziliripotiwa kwa Mamlaka husika Jeshi la...
Nawauliza ninyi CCM. Je mmewakosea nini wananchi hadi mtake maridhiano?
Kuna nyuzi kibao tu humu za kuiponda Chadema. Mara ooh Chadema wasijifanye wana umuhimu sana, kama hawataki maridhiano vyama vingine vipo serikali itafanya navyo maridhiano. Mara ooh kwani Chadema ni nani hadi aipangie au...
▪︎ Amtaka Naibu Waziri wa Ujenzi apige simu ‘live’ na kutoa majibu
WAZIRI MKUU Dkt Mwigulu Nchemba amesema haridhishwi na sababu zinazotolewa na viongozi kuhusu ucheleweshaji wa kivuko cha Kikove hadi Mlimba na akataka apewe majibu ya papohapo ni lini kivuko hicho kitafikishwa wilayani humo ili...
KAMATI YA BUNGE YA KUDUMU YA NISHATI NA MADINI YAPONGEZA MPANGO WA UUNGANISHAJI UMEME KWA WANANCHI KATI YA TANESCO NA BENKI YA CRDB.
📌Yasema utachochea maendeleo ya kiuchumi na kijamii kwa wananchi.
📌Yasisitiza utekelezaji wa mpango huo kuleta matokeo Chanya kwa wananchi.
Kamati ya Kudumu ya...
Habari wakuu wa JamiiForums,
Naomba kuleta kilio kizito cha wakazi wa Kata ya Iyela, Jijini Mbeya, hususan katika mitaa inayozunguka Shule ya Sekondari Samora Machel, Shule ya Kivukoni, pamoja na Mtaa wa Kamficheni.
Kwa takribani wiki mbili na zaidi sasa, wakazi wa maeneo haya tumekosa kabisa...
Kuna mda mwengine unajiuliza hivi hawa ndio viongozi au vichaa tuliopo nao wameshika daraka.
Katika hii tume mpya watajitokeza maishi wa kulazimishwa kwa mateso na wengine wakulipwa kusema yale yaliyotokea tanzania nzima hakuna hata polisi wala serikali walikuwepo kwenye kuhusika.
Watadai...
Novemba 23, 2026 Mbunge wa Jimbo la Uyole Dkt. Tulia Ackson ametimiza ombi aliloombwa na wananchi wa mtaa wa Itezi mashariki katika kata ya Nsalaga la kupeleka mahitaji kusaidia ujenzi wa kivuko ambacho kimekua kikisumbua wananchi kwa muda mrefu.
DKt. Tulia amekabidhi mifuko ya safuji(15)...
Msanii wa music nchini Tanzania anayewakilisha nchi hiyo Kimataifa katika sanaa ya muziki na Uandishi, hivi karibuni alitangaza nia ya kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Mgombea binafsi, Civilian-Coin Nalimi Kisandu amesema akiwa Rais wa Tanzania atafuta na kuondoa kabisa...
Fidia tulisaini zaidi ya mwaka mmoja uliopita, lakini hadi leo hakuna malipo wala taarifa rasmi. Msimu mwingine wa kilimo unakaribia, wananchi hatujui tufanye nini!
Ninaandika makala hii kwa niaba ya wananchi wenye mashamba ya kilimo katika Kijiji cha Mbatakero, eneo la Makuna, Wilaya ya Hai...
My Take
Naunga mkono hoja ya Kitila Kwa sababu hata niwe Mimi yaani mtu ananipa Bilioni 5 ambayo naweza kwenda kufanyia makubwa zaidi kwingineko nisiuze kisa mgeni?
Mnaolaumu acheni upuuzi,hata Mimi Nina eneo langu japo halipo Dar nikipata mgeni na ofa nzuri nauza nachukua pesa,Nchi ni kubwa...
Utajiri wa madini lazima ulete mabadiliko chanya katika maisha ya wananchi kupitia ajira, viwanda, uwezeshaji wa kiuchumi na fursa za biashara kwa Watanzania.
𝐃𝐤𝐭. 𝐌𝐰𝐢𝐠𝐮𝐥𝐮 𝐍𝐜𝐡𝐞𝐦𝐛𝐚
𝘞𝘢𝘻𝘪𝘳𝘪 𝘔𝘬𝘶𝘶 𝘸𝘢 𝘛𝘢𝘯𝘻𝘢𝘯𝘪𝘢
🗓️ Novemba 20, 2026
📍 Dar es Salaam, Tanzania
—————————————————
Amesema hayo wakati...
ajira
chanya
katika
kupitia
lazima
mabadiliko
mabadiliko chanya
madini
maisha
mkuu
utajiri
utajiri wa madini
uwezeshaji
viwanda
wananchi
waziri
waziri mkuu
Wanabodi,
Utangulizi wa Facts Kuhusu Katiba Tanzania.
Je Wajua Tangu Tupate Uhuru, Tanzania hatujawahi kuwa na katiba ya Wananchi?
Je Wajua Katiba hii iliyopo ya Tanzania ya Mwaka 1977 ni Katiba ya CCM?
Je Wajua Katiba hii ni ya Mfumo wa Chama Kimoja CCM, Toka Enzi za Chama Kushika Hatamu...
ccm
chama
chama kimoja
fikirishi
hapo
hii
inahitaji
kati
katiba
katiba mpya
katiba ya ccm
marekebisho
marekebisho ya katiba
mpya
mwaka
sio
swali
swali fikirishi
tanzania
vingi
vyama
vyama vingi
wananchi
watanzania
Vurugu zilizozuka katika eneo la mgodi wa Jiuxing Mining Company uliopo Kijiji cha Kapanda, Kata ya Machimboni mkoani Katavi, yamesababisha uharibifu mkubwa baada ya sehemu ya makazi ya wafanyakazi kuteketezwa kwa moto. Tukio hilo linahusishwa na mvutano mkali baina ya mfanyakazi mmoja na...
Wakati Chadema wapo kwenye harakati za kuanzisha tena kampeni ya kuchangisha fedha kutoka kwa Wananchi kwa kile kinachotajwa ni kwa ajili ya kupata fedha kwa ajili ya msaada wa kisheria kwenye KESI ya Ndugu Tundu Antipass Lissu na Wanachama wengine,kundi la watu mitandaoni limeibuka na kuhoji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.