wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. H

    ๐—–๐—›๐—จ๐—ž๐—จ๐—” ๐—ก๐—”๐— ๐—•๐—” ๐—ฌ๐—”๐—ก๐—š๐—จ ๐—ก๐—œ๐—ง๐—”๐—ž๐—จ๐—ฃ๐—œ๐—š๐—œ๐—” - Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba

    ๐—–๐—›๐—จ๐—ž๐—จ๐—” ๐—ก๐—”๐— ๐—•๐—” ๐—ฌ๐—”๐—ก๐—š๐—จ ๐—ก๐—œ๐—ง๐—”๐—ž๐—จ๐—ฃ๐—œ๐—š๐—œ๐—” Uongozi unaowajibika kwa Wananchi wake. Picha ya Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akimpatia namba ya simu mwananchi wake kwa ajili ya kuwasiliana naye.
  2. Diwani Alhaj Dunga akutana na wananchi kata yasaranga na kuelezea mafanikio na changamoto kwenye Kata yake

    Diwani wa kata ya Msaranga Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro(CCM),Alhaj Ally Pendo maarufu kwa jina la Dunga amefanyaka mkutano wa hadhara na wananchi wake na kuelezea mafanikio yaliyopatikana tangu achaguliwe kuwa Diwani wa Kata hiyo Oktoba 29 mwaka jana Mafanikio hayo yamejikita kwenye...
  3. Wananchi wa Israel wamefanya Regime change wamkataa Netanyahu

    Wanaukumbi. Rais wa Israel Isaac Herzog amesema amempa kiongozi wa upinzani, Gadi Eisenkot, jukumu la kuunda serikali mpya baada ya uchaguzi wa wiki iliyopita kutotoa mshindi wa wazi. Matokeo ya uchaguzi yaliiacha kambi ya Eisenkot na ile ya Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu bila idadi ya kutosha...
  4. D

    Je, wanasiasa wanasauti kubwa kuliko wananchi ambao ni wenye nchi?

    Sijui ni umbumbu wangu wa kutojua sheria ama ni mtazamo wangu? . Nionavyo mimi wanasiasa wanasikilizwa sana kuliko wananchi , mfano tumeona kesi ya Lissu inaonesha mashirika mbalimbali yamekuwa yakiifuatlia utasema huko gerezani nchinin Tanzania mfungwa ni mmoja peke yake? Pia kuna wananchi na...
  5. M

    Hoja muhimu: Maneno kukinukisha yalitamkwa April 2025 alafu wananchi wakachochewa Oktoba 29 2025?

    Yaani mioyo ya wananchi watanzania ilisubiri miezi sita kupata ghazabu na kuchochewa kisha kukinukisha baada ya miezi sita? Kwa nini hawakukinukusha on the spot. Maana uchochezi ni suala la kuchochea mioyo ya watu na kupata hasira na chuki. Sio suala la kusubiri kama unapika wali na kuku.
  6. Ulaya Yatahadharisha Wananchi wake Kuhifadhi CHAKULA NA MAJI ๐Ÿคฏ

    Ulaya Yatahadharisha Familia Kuhifadhi CHAKULA NA MAJI ๐Ÿคฏ Umoja wa Ulaya umewashauri raia wake kujiandaa ili waweze kujikimu wenyewe kwa muda wa saa 72. Inashangazaโ€”kwa nini Umoja wa Ulaya, ambao kwa kawaida huwa waangalifu sana na wenye kuzingatia usahihi wa kisiasa, ghafla unazitahadharisha...
  7. PostGE2025 Peter Madereka, fungua kesi ya kikatiba. Kura za wananchi zililindwaje tarehe 29 Oktoba 2025?

    Wakili Peter Madereka, kuna swali ambalo kifungo cha Tundu Lissu hakiwezi kulijibu. Jamhuri iliiambia Mahakama Kuu kwamba kauli za Lissu ziliwashawishi baadhi ya watu kuvuruga uchaguzi. Sasa wananchi wana haki ya kuuliza jambo la msingi. Ni vituo gani viliathirika, wapiga kura gani walipoteza...
  8. Hivi mahakama zetu kuna siku wananchi watajifanyia haki weki wenyewe pitia hapa.

    Kama imethibitika kwamba Lisu alifanya uchochezi na kuzuia uchaguzi , maana yake uchaguzi 2025 haukufanyika, na kama haukufanyika , hao wanao tuongoza leo wamechaguliwa katika uchaguzi gani!? Madiwani, wabunge na Rais ,wametokea wapi!? Maana uchaguzi ulizuiliwa na uchochezi wa Lisu! Kama...
  9. M

    Wananchi Wakarewa na Muonekano wa Kimabavu wa Askari mitaani

    Katika pitapita yangu mitaani na kwa kuongea na raia wengi kwenye bajaji na madaladala, Wananchi wengi wameonekana Kukerwa na kitendo cua kusambaza Askari waliokaa kivita na masilaha mazitomazito mitaani. Katika mazungumzo ya kawaida kwenye bajaji, raia wakawa wanahoji kuwa sasa hayo mabunduki...
  10. Somo kutoka uchaguzi wa Marekani; "Tume huru ya uchaguzi ndiyo njia pekee itakayowafanya viongozi wawaheshimu wananchi"

    Moja wapo ya hoja alizowahi kuzitoa Baba wa Taifa Mwl. Nyerere kama sababu za kwanini nchi yetu ielekee kwenye mfumo wa vyama vingi ilikuwa ni hatari ya chama kuonea watu kinaposhika hatamu. Tafakari hii haihitaji PhD kuing'amua. Katika mazingira ambayo viongozi wa chama na serikali wanayo...
  11. Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan apiga kura uchaguzi mdogo Jimbo la Chamwino

    Picha mbali mbali zikimuonyesha Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akipiga kura kwenye Kituo cha kupigia kura cha Ofisi ya Kijiji cha Chamwino mkoani Dodoma, Leo tarehe 04 Novemba, 2026 katika Uchaguzi mdogo wa Ubunge wa Jimbo la Chamwino. Uchaguzi huo...
  12. Ipi tafsiri ya Serikali kumiliki ardhi badala ya Wananchi?

    Je tafsiri yake nikuwa Serikali inamamlaka ya kupokonya Wananchi ikiwa itahitaji ardhi hiyo? Ikiwa ardhi inamilikiwa na Serikali tafsiri yake ni kuwa Wanachi ni kama wapangaji Au pengine tafsiri yake ni tofauti na hii?
  13. Baruti zinazopigwa Nyamazobe-Nyegezi ni kero kwa wananchi

    Ndugu zangu kwa watu wanaiishi mitaa ya Nyamazobe center kuna milipuko mikali inasikika kila siku, milipuko hiii inafanyika kwenye makazi ya watu, tunaomba mamlaka zitusaidie watakuja kutuua kwa presha
  14. R

    India: Wananchi waendelea kuandamana wakitaka Mkuu wa Tume ya Uchaguzi ajiuzulu

    Vyama vya upinzani nchini India vimeendelea kutoa wito wa kutaka Mkuu wa Tume ya Uchaguzi wa nchi hiyo ajiuzulu, baada ya kuandaa maandamano mapya siku ya Jumapili Novemba 1, 2026. Maandamano hayo ni sehemu ya kuonyesha kutoridhishwa na serikali ya Waziri Mkuu Narendra Modi. Maandamano hayo...
  15. SYSTEM IMEZINGUA: Taifa limekuwa la 'Flex' za Viongozi, wakati Wananchi wanataabika!

    Hebu tuangalie ukweli uliopo mitaani bila kuogopa mtu. Taifa letu limefika mahali ambapo viongozi wetu wamegeuza nchi kuwa shamba la bibi, wanajiamulia mambo yao wanavyotaka wao na hawana habari kabisa na maisha magumu ya wananchi wa chini. Watu wanakufa na njaa, vijana wanazunguka mtaani hawana...
  16. O

    Kizaazaa Nairobi: Polisi wa Trafiki akabiliwa na Wananchi wenye hasira baada ya kunyakua Funguo za Basi likiwa kwenye kasi

    Mtaa wa Mirema ulibadilika na kuwa uwanja wa taharuki na hasira kali baada ya tukio la kushtua ambapo afisa wa polisi wa trafiki alinaswa kwenye video akidaiwa kunyakua funguo za basi la abiria (PSV) wakati likiwa bado linaendelea na safari. Kitendo hiki cha hatari kilihatarisha maisha ya abiria...
  17. CUF imekufa. Je, tutarajie kifo cha CHADEMA? Nani atawasemea wananchi kama ndio hivyo?

    Chama cha wananchi CUF kilikuwa ndio chama cha upinzani chenye nguvu zaidi hapa nchini na ilibaki kidogo tu kichukue nchi lakini yalitokea yakutokea hatimaye chama kikafa na kikapotea kabisa , ule mvuto au ushawishi uliokuwa nao kwa wananchi umepotea mazima , ndipo hapo Chadema kikajipenyeza...
  18. T

    Godbless Lema ametupa code: Bila maandamano ya wananchi tutasubiri sana

    Mheshimiwa Lema umeongea vizuri sana. Na upetupa code. Bila maandamano ya wananchi hakuna ushindi. Sasa ni sisi wananchi kujipanga
  19. Kuanzia mwakani 2027 kumbukumbu za mauaji ya watanzania (mauaji ya kimbari) zinapaswa kuwa siku ya maombolezo ya kitaifa. Wananchi tuweke mkakati.

    Hakuna haja ya kusubiri watuhumiwa wajadiliane namna ya kukumbuka marehemu wetu. We are the nation.
  20. G

    Kiburi na jeuri ya Chama Dola sio vyombo vya Dola kama wanavyodai ni mali Yao Bali ni Kodi na tozo za wananchi maskini wanazikusanya

    Vyombo vya Dola haviwezi kujiendesha bila Kodi na Tozo za wananchi maskini Serikali haiwezi kujiendesha bila tozo na Kodi kutoka Kwa wananchi maskini Kwa wananchi ndo wenye MAMLAKA ya mwisho juu ya hatima ya Taifa lao sio vyombo vya Dola Wala majeshi Watawala waovu wanachoweza kufanya ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ