wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Wananchi wakizindua daraja la Milioni 12, unapata ujumbe gani hapa?

    Hawa ni wananchi, wamerekodi video wakizindua daraja lao wanalodai limegharimu milioni 12, Hapa Si uzinduzi tu bali kuna ujumbe muhimu, Je unapata ujumbe gani?
  2. Wizara ya Ardhi

    Wananchi hawatanufaika na viwanja 3,104 vya mpango wa KKK Makinyumbi

    KOROGWE Wananchi wa Kata ya Hale, Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe mkoani Tanga, wanatarajia kunufaika na viwanja 3,104 vilivyozalishwa kupitia Mpango wa Kupanga, Kupima na Kumilikisha Ardhi (KKK), unaotekelezwa katika eneo la Shamba la Makinyumbi lenye ukubwa wa ekari 1,892. Mpango huo ni...
  3. Echolima1

    Iran wananchi wamechoka kuongozwa na Magaidi waanza Maandamano na kutaka Shah!!!

    Wairani waliandamana katika mitaa ya Abdanan katika jimbo la magharibi la Ilam leo, wakipinga vifo vya wafanyakazi 13 wa sekta ya mafuta katika ajali ya basi ya Novemba 14. Waandamanaji walidai uwajibikaji kwa barabara zisizo salama na hali ya usafiri, huku biashara za ndani zikifungwa kwa...
  4. E

    Siasa za Tanzania zimeshavuka vyama, Maridhiano yanahitaji Wafanyakazi, Wasomi, Azaki, Wanaharakati, Wananchi

    Hatua ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kuanzisha upya mazungumzo na vyama vya siasa, huku akiahidi kuanza mchakato wa marekebisho ya Katiba na maridhiano ya kitaifa, imeibua mjadala mpana kuhusu makundi yanayopaswa kushiriki katika kutafuta suluhu ya changamoto zinazoikabili Tanzania. Soma pia...
  5. M

    Tatizo nini wakuu mchezaji wetu mkubwa akaona awajengee wananchi msikiti na sio mradi wa kiuchumi?

    Mtu umecheza Afrika klabu kubwa ,umeenda ulaya unacheza lakini kweli ukaona uwajengee wananchi msikiti? Kiwanda hata kidogo tu kingetosha kunyanyua maisha ya wananchi kadhaa na kukuza uchumi wa nchi kama wanavyofanya akina Sadio Mane huko kwao Senegal. Samahani kama kutakuwa na mradi wa...
  6. Ziroseventytwo

    Serekali na CCM, tambueni. CHADEMA ni kama ilivyo kwa HAMAS Kwa sasa. Ni ngumu kuitenganisha Chadema na wananchi

    Shekhe Yassin alipokianzisha chama cha HAMAS alijua kitakuwa ndio chama mbadala wa PLO ya mzee Arafat. Hamas walitawala huko Gaza wakati PLO walikuwa kule West bank. Nini ilikuwa tofauti ya itikati kati ya Hamas na PLO? PLO walikuwa wanaomba haki za wapalestina na Hamas wao walikuwa wakidai na...
  7. Wizara ya Ardhi

    Mmuya aridhishwa na utoaji huduma kwa wananchi, ahimiza matumizi ya e-Ardhi

    Aelekeza wananchi kuelimishwa zaidi kuhusu mfumo huo ili wapate huduma za ardhi popote walipo Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya, ameridhishwa na namna huduma zinavyotolewa kwa wananchi katika ofisi za Kamishna wa Ardhi jijini Dar es Salaam, huku akisisitiza...
  8. M

    CCM iwaombe radhi Watanzania dhidi ya mauwaji,

    Waliouwawa kipindi cha uchaguzi wa 2025, ni Watanzania wenye itikadi mbalimbali, Wana CCM, Chadema na wasio na vyama Kufanya maridhiano kupitia majukwaa ya kisasa na kuhusishwa vyama pekee, haitatosha, Watanzania waliopoteza watu wao hawatatendewa haki Kwa MAONI YANGU, Juhudi zilizoelekezwa...
  9. C-C Digital Pro

    Wananchi wakutana kijiweni na Civilian-Coin.

    Katika harakati za Ujenzi wa Jamii Mpya ya Kisasa.
  10. O

    Majengo Yanayoporomoka Kenya: Wananchi Wanaendelea Kulipa Gharama ya Uzembe wa Ujenzi

    Wakenya wameendelea kushuhudia visa vya majengo kuporomoka, hali inayozua maswali kuhusu usalama wa nyumba, ubora wa ujenzi na uwajibikaji wa taasisi zinazopaswa kusimamia sekta ya ujenzi nchini. Tukio la hivi punde limetokea Ijumaa, Novemba 13, 2026, ambapo jengo la ghorofa nane lililokuwa...
  11. Wizara ya Ardhi

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Leonard Akwilapo akizungumza na wananchi wa Nanyumbu katika eneo la Mangaka pamoja na Masasi

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Leonard Akwilapo akizungumza na wananchi wa Nanyumbu katika eneo la Mangaka pamoja na Masasi Mjini alipopewa nafasi ya kuwasalimia wakati wa ziara ya kikazi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muumgano wa Tanzania , Mhe. Deogratius Ndejembi...
  12. Parabolic

    Masauni ktaja biashara ya kaboni kama fursa ya kiuchumi kwa wananchi

    Antalya, Uturuki. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Masauni, amesema Biashara ya Kaboni nchini inatarajiwa kufungua fursa mpya za ajira na kuongeza kipato kwa wananchi, hususan wanaoishi katika maeneo ya vijijini. Masauni amesema kuwa biashara...
  13. Manyanza

    Kauli za David Kafulila ni kama hadithi kwa Wananchi wa kawaida

    Wakuu, Kuna jambo ambalo limekuwa likileta tafakuri nyingi kuhusu baadhi ya kauli za kiuchumi zinazotolewa na David Kafulila. Baadhi ya kauli hizo ambazo zinzweza kuzua mijadala ni kama zifuatazo 1. DIRA 2050 – Uchumi wa dola trilioni moja. Kafulila amekuwa akihamasisha kwamba Tanzania...
  14. Pakome

    Ningekuwa raisi wa Taifa lolote ningeanza kuwathamini Wananchi na kulinda afya zao kwasababu wakiwa wazima wataingizia Serikali Trillions of Revenue

    Ningekuwa raisi wa Taifa lolote ningeanza kuwathamini Wananchi na kulinda afya zao kwasababu wakiwa wazima wataingizia Serikali Trillions of Revenue Utajiri wa Serikali unapatikana kwa uwepo wa Wananchi hai/rasilimali watuSerikali yeyote duniani inatakiwa kutunza afya ya Wananchi wake ili ivune...
  15. Zack Abdul

    Rais Samia Uturuki: Tanzania kufungua fursa za kimataifa kwa maendeleo ya wananchi

    Safari ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuelekea Antalya nchini Uturuki, kushiriki Mkutano wa 31 wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP31), ni sehemu ya juhudi za Tanzania kuimarisha ushirikiano wa kimataifa na kutafuta fursa zinazoweza...
  16. Zack Abdul

    Dkt. Mwigulu: Zingatieni masilahi ya wananchi maeneo yenye madini

    ▪ Ataka wenye mashamba, leseni na wawekezaji wanufaike ▪ Aonya matumizi mabaya ya amri za mahakama katika kudai madeni ▪ Aagiza maandalizi ya jengo la dharura Hospitali ya Kahama WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewataka maafisa madini kusimamia utaratibu unaozingatia masilahi ya wananchi...
  17. Zack Abdul

    Dkt. Mwigulu: Msiwatenge wananchi kwa sababu ya imani

    ▪ Ataka walimu wawili waliojitolea kwa zaidi ya miaka mitano waajiriwe kutokana na mchango wao katika ufaulu WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amevitaka vikundi vya Sungusungu kutowatenga wananchi wala kuwalazimisha kushiriki taratibu zinazokinzana na imani zao, akionya kuwa vitendo hivyo...
  18. Ntemi_Ntale

    Wakuu Ni Sahihi Waziri Mkuu Kuomba Kibao cha Kumsindikiza Baada ya Kuhutubia Wananchi?

  19. Roving Journalist

    Sungusungu Kijiji cha Mamba A watuhumiwa kuwapiga na kuwajeruhi Wananchi

    Baadhi ya wananchi wa Kijiji cha Mamba A, Kata ya Mamba wilayani Chunya mkoani Mbeya, wameeleza hofu yao kuhusu vitendo vinavyodaiwa kufanywa na baadhi ya vijana wa Sungusungu, ambao wanatuhumiwa kuwashambulia wananchi kwa fimbo na kuwasababishia majeraha kwa kisingizio cha kuwahoji kuhusu...
  20. Roving Journalist

    Mchengerwa awataka Wananchi kujiunga na Bima ya Afya kupunguza mzigo wa gharama za matibabu

    Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa, amewasisitiza wananchi kote nchini kujitokeza kwa wingi kujiandikisha na kukata bima ya afya ili kujipunguzia mzigo wa gharama kubwa za matibabu ambazo zimekuwa zikiwaelemea wananchi wengi pale wanapougua ghafla bila kuwa na uwezo wa kifedha. Agizo hilo...
Back
Top Bottom