wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. Wazolee

    Alipowaambia wananchi a.k.a CHADEMA pambaneni mpate katiba mpya nilijua tu kazi imemshinda na siku zake zinahesabika

    Uongozi ni kipaji kinachokuongoza uongee nini , Kwa akina nani na Kwa wakati gani Lakini kama wewe ni kiongozi alafu lile linalokujia kichwani ndio unalolisema wewe huna sifa ya kuwa kiongozi tena kiongozi no 2 wa nchi Kama alitaka kuzungumzia katiba mpya ilitakiwa awambie wananchi wao kama...
  2. Dr Adam Francis

    Matendo ya viongozi ndio sura ya chama kwa wananchi

    Moja ya mistari inayonigusa sana katika biblia, nakunifanya nijitathmini mm mwenyewe ni mtu wa aina gani, ni Mathayo 7:20 "mtawatambua kwa matendo yao" Wanadamu tuna hulka ya kupenda kuonekana ni watu wema mbele za watu (reputation) wakati kwa kificho tunafanya mambo ambayo tunaona aibu...
  3. S

    Katika nchi zinazojitambua, kumlazimisha kiongozi anaetetea haki za wananchi kama Dr. Nchimbi kujiuzulu kutasbabisha ghasia za kupindua nchi

    NI Tanzania tu ambapo wananchi wanakaa kimya pale ambapo watetezi wa haki zao kama kina Ben Saanane, Ali Kibao, Luhaga Mpina, Tundu Lissu, Job Ndugai, Hamphrey Pole Pole au hata Dr. Nchimbi, wanaondolewa katika uongozi, kutekwa na kuuwawa au kufunguliwa kesi za mchongo na watu wanakaa kimya tu...
  4. Design Your Idea

    Raisi wa uturuki ni katili, anaeminya wananchi wake na kufadhili ugaidi ME. Kuna minong'ono ya vita na israel, Ndoto yake kuu ni kuwaangamiza wayahudi

    Huyu bwana ni mauti yanayotembea Kuwapo kwake kwa muda mrefu ni kutokana na kutengeneza network ya kuua upinzani. Amehusika na muaji ya watu wengi huko syria na kurd Sasa anataka akawaue na wa israel
  5. A

    KERO Ofisi ya Afisa Elimu Jiji Dodoma haina utaratibu mzuri wa kusikiliza Wananchi wanaohitaji huduma za Afisa Elimu

    Ofisi ya Afisa Elimu Jiji Dodoma haiko na utaratibu mzuri wa kusikiliza Watu wanaohitaji huduma za Afisa Elimu. Nimekuwa nikifuatilia barua ya ruhusa wiki mbili sasa lakini kila nikienda nakutana na PS naambiwa mpaka boss awepo. Akija Afisa Elimu anakaa dakika tano ofisini kisha anatoka...
  6. Zack Abdul

    Wananchi wamshukuru Rais Samia kukamilika kwa Mradi wa JNHPP

    Wananchi mbalimbali wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Samia Suluhu Hassan kufuatia kukamilika kwa mradi wa kuzalisha umeme wa Julius Nyerere Hydropower Project, mradi ni miongoni mwa miradi mikubwa zaidi ya miundombinu ya nishati nchini ikiwa na uwezo wa MW 2,115...
  7. H

    Wananchi 23,000 wasajiliwa Bima ya Afya kwa wote - Mara.

    Wananchi 23,000 wasajiliwa Bima ya Afya kwa wote - Mara. Video na Channel Ten
  8. The introvert

    Kuhusu Real Estate ,Je Madalali wa Bongo hawajui real property value na pricing au ni kukandamiza tu wananchi?

    Anaandika Malisa GJ Kuna wakati niliwahi kuandika hapa kuwa real estate ya bongo ni pasua kichwa, nikacompare bei ya nyumba Atlanta GA, zikazidiwa bei na baadhi ya nyumba za Dar. Yani ni Futuhi. Nyumba ya Philadelphia inazidiwaje bei na nyumba ya Kimara Temboni? Kweli bongo nyoso. Anyway, hii...
  9. Roving Journalist

    Prof. Shemdoe awaasa Viongozi Serikali za Mitaa kuepuka Migogoro ili kuongeza Ufanisi wa Huduma kwa Wananchi

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amewaasa viongozi katika Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kuepuka migogoro miongoni mwao na baina yao na watumishi wanaowaongoza, akisisitiza kuwa migogoro mahali...
  10. A

    KERO Mazoezi ya Wanajeshi ya kutumia silaha katika eneo la Nyamaitagi, Serengeti yanasababisha hofu kwa wananchi

    Mkazi wa Kitongoji cha Nyamaitagi, Kata ya Majimoto, Wilaya ya Serengeti mkoani Mara, amepatwa na taharuki baada ya risasi ya bunduki iliyopigwa na wanajeshi waliokuwa wakifanya mazoezi kutoboa paa la nyumba yake na kuingia ndani. Tukio hilo lilitokea Agosti 20, 2026. Kwa bahati nzuri, hakuna...
  11. MIXOLOGIST

    Vituo vya Mabasi: Ni kwaajili ya wananchi au Serikali?

    Kama serikali inataka inufaike basi hivyo vituo ni vya serikali, kama wananchi wanatakiwa wanufaike basi hivyo vituo ni vya wananchi Napata shida sana kuelewa dhana ya biashara huria. Kama serikali inaingilia ufanyaji wa biashara basi bado hatujafikia hiyo dhana. Wanasiasa wakae mbali na biashara
  12. ChoiceVariable

    Prof.Kitila : Halmashauri Zimeacha Wajibu wao wa Kuchochea Shughuli za Uzalishaji na kujikita Kuunda Tozo ambazo ni kero wa ustawi wa Wananchi

    My Take Heko Prof.Kitila Mkumbo Kwa kuona jambo hili.Hawa watu kazi Yao kubwa ni kuanzisha tozo na Ushuru Kwa jina la kubuni vyanzo vya Mapato mwisho wa siku zinakandamiza jitihada za kukuza Uchumi na kujikwamua kwenye umaskini. Hatuwezi Kufikia Uchumi wa Dola Trilioni 1 Kwa kushadidiq sera...
  13. A

    KERO Morogoro: Zebra za Mazimbu Road zimefutika, wananchi tunapata changamoto kuvuka barabara kuu

    Eneo la Mazimbu Road, Morogoro, katika barabara kuu ya Dodoma, limekuwa na changamoto ya zebra za kuvukia barabara kufutika. Eneo hilo hutumiwa na wananchi wengi, hasa wanaotokea au kuelekea kwenye njia inayounganisha na kituo cha SGR na kuingia kwenye barabara kuu. Suala hili limekuwa...
  14. M

    KERO Juma Awso njoo Chato uone wananchi tunavyotaabika na shida ya maji

    Ziwa lipo km 1 tu kutoka lilipo ziwa. Lakini watu hawapati maji. Maji hayatoki kabisa na shida ni kubwa mno. Njoo Chato ujionee mwenyewe.
  15. B

    WANANCHI WACHOMA SHAMBA LA MKULIMA MWEKEZAJI MANYARA - MGOGORO WA ARDHI WAHUSISHWA

    Aug 15, 2026 Manyara WANANCHI WACHOMA SHAMBA LA MKULIMA MWEKEZAJI MANYARA - MGOGORO WA ARDHI WAHUSISHWA https://m.youtube.com/watch?v=kXulqFbp-ak Naye mkulima mwekezaji Bi. Jeta aelezea sakata zima la tukio hili la shamba, zana za kilimo na kiwanda cha sukari guru kuchomwa moto. Wananchi wa...
  16. Tlaatlaah

    Ni wazi wananchi wa Zambia wameamua kuirejesha serikali yao madaraka kwa awamu ya pili, hakuna haja ya waliokataliwa kulaumu au kusingizia waTanzania.

    Kiongozi wa upinzani Zambia mh. Brian Muntayala Mundubile, ni vizuri akawa mtulivu na akaheshimu demokrasia na maamuzi huru ya wananchi wa jamuhuri ya Zambia kwa kumchagua tena Rais Hakainde Hichilema. Hakuna haja ya kusingizia waTanzania, wakati wananchi wa Zambia kwa uhuru, haki na utashi wao...
  17. Bujibuji Simba Nyamaume

    Kwanini makampuni ya simu mmeruhusu kusajili line za matapeli kwa jina la Mo Dewji Foundation, ili wawatapeli wananchi?

    Vodacom Tanzania, mmewasajili matapeli kwa jina la Mo Dewji Foundation
  18. peno hasegawa

    Ofisi za Serikali zipo lakini simu hazipatikani: Kero kubwa kwa wananchi wa Tanzania

    Hili ni kero kubwa sana kwa wananchi, kwa sababu simu za ofisi za Serikali zinapaswa kuwa moja ya njia rahisi za mwananchi kupata huduma bila kulazimika kufika ofisini. Tatizo linapojitokeza kwamba namba za landline za Halmashauri, Manispaa, Majiji na mashirika ya umma hazipatikani, hazipigi...
  19. A

    KERO Mfumo wa NIDA online unatakiwa kufanyiwa maboresho, hakuna uwiano kwa nyaraka zinazotakiwa humo na zile unazotakiwa kuwasilisha ofisini kwao

    Kwa heshima na taadhima, napenda kuwasilisha malalamiko yangu kuhusu changamoto ninayokutana nayo katika mchakato wa kupata huduma ya Kitambulisho cha Taifa kupitia mfumo wa NIDA Online katika Ofisi ya NIDA Tarime. Niliwasilisha maombi yangu kupitia mfumo wa NIDA Online kwa kujaza taarifa...
  20. G

    Morogoro, Wilaya ya Kilombero, Tarafa ya Mang'ula Wananchi waomba msaada kuhusu tatizo la Tembo

    MKOA WA MOROGORO, WILAYA YA KILOMBERO, TARAFA YA MANG'ULA: WANANCHI WAOMBEA MSAADA KUHUSU TATIZO LA TEMBO Vijiji vingi vilivyopo katika Tarafa ya Mang'ula, Wilaya ya Kilombero, Mkoa wa Morogoro, vinapakana na Hifadhi ya Taifa ya Milima ya Udzungwa. Kwa ushirikiano kati ya TANAPA, Serikali na...
Back
Top Bottom