wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. Maswi awasili rasmi ofisi ndogo za TAMISEMI, aahidi ushirikiano kuboresha huduma kwa wananchi

    Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Eliakimu Maswi, na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), Mhandisi Gilbert Mwoga, wamepokelewa leo, Novemba 27, 2026, katika Ofisi Ndogo za TAMISEMI zilizopo Magogoni, jijini...
  2. Bora arudi Kaisali wa kwenye Biblia huenda tukapata nafuu, TRA mnayaweka maisha ya wananchi kuwa magumu sana!

    Ukienda nchi jirani, mafuta ya petrol na diesel ni nafuu kuliko Tanzania, tena baadhi ya nchi zinatumia bandari yetu. Sekta ya magari nayo ni mfano mwingine: Crown Athlete ya mwaka 2007 ukiagiza Japan unaweza kuinunua kwa milioni 6, lakini ikifika Tanzania kodi na ushuru vinaweza kufika milioni...
  3. K

    Anachofanya Mwigulu kina shida gani, iwapo lengo la Serikali ni kutatua kero za wananchi?

    Katika mazingira ya Sasa ambapo serikali yetu imepoteza uungaji mkono wa wananchi wengi kwa maoni yangu Mh waziri Mkuu yuko sahihi Kwa hayo anayoyafanya Kusikiliza na kutatua kero za wananchi. Haya anayoyafanya waziri Mkuu ndo Moja ya njia ya Kuirudisha imani ya wananchi kwa serikali yao. Kwa...
  4. Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Kaspar Mmuya akisikiliza hoja na kero mbalimbali zilizoibuliwa na wananchi

    Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Kaspar Mmuya akisikiliza hoja na kero mbalimbali zilizoibuliwa na wananchi wakati wa mkutano wa hadhara katika ziara ya Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, Novemba 25, 2026 mkoani Morogoro.
  5. S

    Ufisadi unaosimamiwa na serikali (state sponsored corruption) ambao wananchi wengi hawaufahamu, ambao ni Nyerere tu hakuufanya

    Ni kwamba, kila chama cha siasa kinachostahili kinapewa ruzuku na serikali kwa ajili ya kujiendesha. Hii inatia ndani CCM, Chadema Act Wazalendo. Sijui kama kuna kingine. Sasa tatizo ni kwamba, pamoja na kwamba chama tawala ndio mara nyingi kinakuwa na ruzuku kubwa, kwa mfano CCM, fedha ya...
  6. H

    State Capture: jinsi pesa za wananchi zilizotakiwa kuajili walimu na madaktari na zinavyotumika kuhonga wanasiasa, viongozi wa dini.

    Makaburu yanavyotuendesha kibabe kwa kutumia mbumbumbu wetu. 1. Kila mwenye akili na mawazo ya kujenga anatolewa kwenye siasa. Awe CCM au nje yake. 2. Bunge, polisi, Mahakama na Raisi hawawajibiki tena kwa watu bali makaburu yaliyowapa mamlaka kwa mkono wa chuma... ... 3. Teuzi na tenguzi...
  7. UDART wasema ajali ya jana kibo imesababisha uharibifu, Je hawakukiona kifo cha mtu aliyegongwa na mwendokasi?

    Kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka (UDART) inapenda kuwajulisha Wananchi kuwa imepokea taarifa ya tukio lililotokea jana majira ya saa 3:30 usiku (21:30) katika eneo la Kituo cha Kibo. UDART pia inapenda kuwajulisha Wananchi kuwa taarifa za tukio hilo ziliripotiwa kwa Mamlaka husika Jeshi la...
  8. M

    Nawauliza CCM, Mmewakosea nini wananchi hadi mnataka maridhiano?

    Nawauliza ninyi CCM. Je mmewakosea nini wananchi hadi mtake maridhiano? Kuna nyuzi kibao tu humu za kuiponda Chadema. Mara ooh Chadema wasijifanye wana umuhimu sana, kama hawataki maridhiano vyama vingine vipo serikali itafanya navyo maridhiano. Mara ooh kwani Chadema ni nani hadi aipangie au...
  9. Dkt. Mwigulu acharuka wananchi Malinyi kucheleweshewa kivuko

    ▪︎ Amtaka Naibu Waziri wa Ujenzi apige simu ‘live’ na kutoa majibu WAZIRI MKUU Dkt Mwigulu Nchemba amesema haridhishwi na sababu zinazotolewa na viongozi kuhusu ucheleweshaji wa kivuko cha Kikove hadi Mlimba na akataka apewe majibu ya papohapo ni lini kivuko hicho kitafikishwa wilayani humo ili...
  10. Kamati ya bunge ya kudumu ya nishati na madini yapongeza mpango wa uunganishaji umeme kwa wananchi kati ya TANESCO na benki ya CRDB.

    KAMATI YA BUNGE YA KUDUMU YA NISHATI NA MADINI YAPONGEZA MPANGO WA UUNGANISHAJI UMEME KWA WANANCHI KATI YA TANESCO NA BENKI YA CRDB. 📌Yasema utachochea maendeleo ya kiuchumi na kijamii kwa wananchi. 📌Yasisitiza utekelezaji wa mpango huo kuleta matokeo Chanya kwa wananchi. Kamati ya Kudumu ya...
  11. J

    KERO Wakazi wa Kata ya Iyela, Mbeya tunateseka! Wiki mbili sasa mabomba ya maji ni makavu, bomba kubwa limepasuka mwezi wa tano sasa

    Habari wakuu wa JamiiForums, Naomba kuleta kilio kizito cha wakazi wa Kata ya Iyela, Jijini Mbeya, hususan katika mitaa inayozunguka Shule ya Sekondari Samora Machel, Shule ya Kivukoni, pamoja na Mtaa wa Kamficheni. Kwa takribani wiki mbili na zaidi sasa, wakazi wa maeneo haya tumekosa kabisa...
  12. Hii nchi inachekesha sana kwa sanaa za serikali ya CCM

    Kuna mda mwengine unajiuliza hivi hawa ndio viongozi au vichaa tuliopo nao wameshika daraka. Katika hii tume mpya watajitokeza maishi wa kulazimishwa kwa mateso na wengine wakulipwa kusema yale yaliyotokea tanzania nzima hakuna hata polisi wala serikali walikuwepo kwenye kuhusika. Watadai...
  13. C

    Dkt. Tulia atua mtaa wa Itezi mashariki kuunga mkono juhudi za wananchi

    Novemba 23, 2026 Mbunge wa Jimbo la Uyole Dkt. Tulia Ackson ametimiza ombi aliloombwa na wananchi wa mtaa wa Itezi mashariki katika kata ya Nsalaga la kupeleka mahitaji kusaidia ujenzi wa kivuko ambacho kimekua kikisumbua wananchi kwa muda mrefu. DKt. Tulia amekabidhi mifuko ya safuji(15)...
  14. Jeshi la Polisi kufutwa kabisa na CIVILIAN-COIN na kuanzisha DBS ya Wananchi siku akiwa RAIS wa Tanzania

    Msanii wa music nchini Tanzania anayewakilisha nchi hiyo Kimataifa katika sanaa ya muziki na Uandishi, hivi karibuni alitangaza nia ya kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Mgombea binafsi, Civilian-Coin Nalimi Kisandu amesema akiwa Rais wa Tanzania atafuta na kuondoa kabisa...
  15. K

    KERO Zaidi ya miaka 13 wananchi wa makuna, kijiji cha mbatakero, wamezuiwa kulima, serikali na tanroads watuambie hatima yetu!

    Fidia tulisaini zaidi ya mwaka mmoja uliopita, lakini hadi leo hakuna malipo wala taarifa rasmi. Msimu mwingine wa kilimo unakaribia, wananchi hatujui tufanye nini! Ninaandika makala hii kwa niaba ya wananchi wenye mashamba ya kilimo katika Kijiji cha Mbatakero, eneo la Makuna, Wilaya ya Hai...
  16. Kitila Mkumbo: Wananchi wa Masaki na Mikocheni Wanauza Ardhi zao Kwa Wageni Kwa makubaliano ya kisheria Harafu Serikali Inalaumiwa Kwa Lipi?

    My Take Naunga mkono hoja ya Kitila Kwa sababu hata niwe Mimi yaani mtu ananipa Bilioni 5 ambayo naweza kwenda kufanyia makubwa zaidi kwingineko nisiuze kisa mgeni? Mnaolaumu acheni upuuzi,hata Mimi Nina eneo langu japo halipo Dar nikipata mgeni na ofa nzuri nauza nachukua pesa,Nchi ni kubwa...
  17. H

    Utajiri wa madini lazima ulete mabadiliko chanya katika maisha ya wananchi kupitia ajira, viwanda, uwezeshaji wa - Waziri Mkuu Dkt. Nchemba

    Utajiri wa madini lazima ulete mabadiliko chanya katika maisha ya wananchi kupitia ajira, viwanda, uwezeshaji wa kiuchumi na fursa za biashara kwa Watanzania. 𝐃𝐤𝐭. 𝐌𝐰𝐢𝐠𝐮𝐥𝐮 𝐍𝐜𝐡𝐞𝐦𝐛𝐚 𝘞𝘢𝘻𝘪𝘳𝘪 𝘔𝘬𝘶𝘶 𝘸𝘢 𝘛𝘢𝘯𝘻𝘢𝘯𝘪𝘢 🗓️ Novemba 20, 2026 📍 Dar es Salaam, Tanzania ————————————————— Amesema hayo wakati...
  18. Je Watanzania Wanahitaji Nini Hasa Kati ya Katiba Mpya ya Wananchi au Marekebisho Tuu ya Katiba hii Iliyopo ya Mwaka 1977 Ambayo ni Katiba ya CCM?.

    Wanabodi, Utangulizi wa Facts Kuhusu Katiba Tanzania. Je Wajua Tangu Tupate Uhuru, Tanzania hatujawahi kuwa na katiba ya Wananchi? Je Wajua Katiba hii iliyopo ya Tanzania ya Mwaka 1977 ni Katiba ya CCM? Je Wajua Katiba hii ni ya Mfumo wa Chama Kimoja CCM, Toka Enzi za Chama Kushika Hatamu...
  19. T

    Wananchi wenye hasira wateketeza majengo ya kampuni ya mwekezaji wa Kichina baada ya mwekezaji huyo kumpiga jiwe mfanyakazi mkoani Katavi

    Vurugu zilizozuka katika eneo la mgodi wa Jiuxing Mining Company uliopo Kijiji cha Kapanda, Kata ya Machimboni mkoani Katavi, yamesababisha uharibifu mkubwa baada ya sehemu ya makazi ya wafanyakazi kuteketezwa kwa moto. Tukio hilo linahusishwa na mvutano mkali baina ya mfanyakazi mmoja na...
  20. Wananchi mitandaoni waanza kuhoji wingi wa michango ndani ya CHADEMA.

    Wakati Chadema wapo kwenye harakati za kuanzisha tena kampeni ya kuchangisha fedha kutoka kwa Wananchi kwa kile kinachotajwa ni kwa ajili ya kupata fedha kwa ajili ya msaada wa kisheria kwenye KESI ya Ndugu Tundu Antipass Lissu na Wanachama wengine,kundi la watu mitandaoni limeibuka na kuhoji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…