umeme

  1. R

    Kukatika umeme Arusha siku mbili mfululizo, TANESCO mnajielewa kweli?

    Jana mmekata umeme siku nzima. Leo tena alfajiri mmekata. Hamjui kwamba kuna watu wanapata riziki ya kila siku kwa kutegemea uwepo wa umeme? Mnakata mchana wote mnarudisha usiku. What kind of engineers have you employed? Hamuwezi kufanya rationing angalau watu wapate umeme kwa masaa sita wakati...
  2. Kwanini Wachina wanapoenda kununua nyaya za umeme kwenye maduka yetu hapa Bongo wanaenda na vipimo vya kupima waya?

    Nilichogundua ni kwamba Wachina wanapoenda kununua nyaya za umeme kwenye maduka yetu ya hapa nchini, mara nyingi huambatana na micrometer screw gauge au Vernier caliper. Sijajua ni kwa nini, lakini akifika dukani na kuomba waya, hatua inayofuata ni kupima conductor diameter kwa kutumia kifaa...
  3. A

    KERO Umeme Nzega ni tatizo, TANESCO wanaomba radhi na kutuma picha za mafundi ila hakuna maboresho

    Naishi Wilaya ya Nzega, Mkoa wa Tabora, licha ya kuwa ni eneo lenye fursa kubwa za uwekezaji kutokana na rasilimali zake. Hata hivyo, kuanzia Oktoba 2026 hadi sasa, huduma ya umeme kutoka TANESCO imekuwa mbovu sana. Umeme unakatika kila siku bila utaratibu maalumu, wakati mwingine unakaa siku...
  4. O

    Wakazi wa Naivasha Wavamia Ofisi za Kenya Power Kupinga Kukatika kwa Umeme na Bili Kubwa, 14 Wakamatwa

    Wakazi wenye hasira mjini Naivasha, Kaunti ya Nakuru, wamevamia ofisi za kampuni ya Kenya Power wakipinga kukatika kwa umeme mara kwa mara na ongezeko la bili za stima licha ya huduma duni wanazodai kupokea. Maandamano hayo yalifanyika Jumatano, Novemba 11, 2026, ambapo wakazi na...
  5. Tunauza vifaa vya umeme bei rahisi kuliko wafanyabiashara wengine woteee;TV, washing machine, fridge, freezer, AC, nk

    Tunauza vifaa vya umeme bei rahisi kuliko wafanyabiashara wengine woteee;TV, washing machine, fridge, freezer, AC, nk Bei nimenyooka na hakuna free delivery . Tupo kariakoo Magila na likoma. Check 0745588735 Whatsapp utahudumiwa haraka zaidi
  6. C

    Umeme ukikatika, CCTV yako bado inarekodi? Wengi hugundua kwa kuchelewa

    Kuna kitu kimoja watu wengi husahau wakiweka CCTV — na mimi nimeona wateja kadhaa wakiumia kwa sababu hiyo hiyo. Unaweka kamera nzuri, DVR nzuri, kila kitu kinafanya kazi. Lakini umeme ukikatika (na sote tunajua hali ya umeme ilivyo), mfumo mzima unazima. Kamera zinalala. Na mara nyingi, ni saa...
  7. Natafuta mzoefu wa kuvundika ndizi kwa umeme

    Wakuu, Natafuta mtu ambaye ni mzoefu au anaafanya shughuli ya kuvundika ndizi kwa umeme almaruufu kwa kutumia container maalumu za kuivisha ndizi. Ni kwa ajili ya kujifunza na consultation. Please nicheki 0752042670
  8. Umeme unaisha haraka? Usiilaumu mita kwanza

    Mfumo wako wa umeme umeukagua lini? Admini anaakwambia "Scroll" chini ujifunze zaidi! Haya Tuambiane, mara ya mwisho kufanya ukaguzi ilikuwa lini? #TANESCO #UsalamaWaUmeme #MwangaWetu
  9. Gari ya Umeme BYD YangWang U9 Xtreme imevunja record ya kufikisha 500 km/h. Sasa ndio World's Fastest Production Car!

    Hakuna production car imewahi hii speed, 503 km/h, zaidi ya uyu supercar.
  10. Natafuta fundi wa umeme

    Wakuu nimekuja kwenu kwa lengo moja tu, natafuta fundi wa umeme wa nyumbani ambae yupo serious kwaajili ya kufanya kazi kweli. Kuna site 3 ambazo zitafuatana. location ya fundi iwe ndani ya Dodoma mjini
  11. M

    Nashauri TANESCO wazime umeme Jumamosi usiku, J2 wauwashe ili tupate kulala

    Hii kwa sababu baadhi ya makanisa Jumamosi usiku hukesha na kutufanya tukose usingizi
  12. Zanzibar: Moto unawaka kwenye kituo cha umeme cha Forodhani

    Moto unawaka katika kituo cha umeme Forodhani
  13. A

    Mh. Rais TANESCO Arumeru-Arusha inakuhujumu, imekata umeme watanzania wasifuatilie shughuli zako Dodoma

    Watanzania leo tarehe 30.10.2026 tunafuatilia sherehe ya uzinduzi wa makao makuu ya nchi yetu huko Dodoma tangia asubuhi. Ila u alivyoanza kuhutubia makamu wa pili wa Zanzibar TANESCO wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha wameamua kutukatia umeme makusudi ili tusifuatilie kinachoendelea huko Dodoma...
  14. Tunahitaji kongozi Shupavu na game changer afute kero ya Maji kama ilivyo kwenye umeme kwa sasa

    GT Tanzania 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 hii imetoboka. hakuna kitu kinawatesa watu kama upatikanaji wa maji safi na salama. Bila kupata kiongozi jasiri kama Magufuli alivyofanya kwenye umeme basi taifa hili litabaki kama la wendawazimu. Before Magufuli umeme ilikuwa ni tabu sasa tunachekelea. yaani huwezi amini...
  15. S

    TANESCO acheni kukosa ustaarabu: mkisema umeme utakatwa saa 12 asubuhi na kurudi saa 12 jioni, basi rudisheni umeme saa 12 jioni sio saa mbili usiku!

    Tanzania tuna silka moja ya kuongea uongo hasa linapokuja suala la wakati. Mtu anakuambia nitafika hapo baada ya dakika kumi halafu anafika baada ya saa nzima. Mkutano unaotakiwa kuanza saa tatu asubuhi unaanza saa tano asubuhi. Kiongozi alisemwa atafika saa nne asubuhi anafika saa sita mchana...
  16. Kampuni ya Kichina Yaanza Ujenzi wa Kongani ya Viwanda Rivuma. Kuzalisha megawatt 2000 za Umeme wa makaa ya mawe na kuuzia TANESCO

    My Take Cha muhimu tusije pandishiwa bei za unit https://www.instagram.com/reel/De1_LHROMJl/?srtk=bGFwcjZmc3gycW5j
  17. TANESCO tupeni Excuse ata ya Kuzugia Kwanini mmekata Umeme. Elnino au Jua Kali sana?

    TANESCO poleni na kazi. Rudisheni umeme tafadhali. Dar es Salaam , Mbezi.
  18. M

    Mwananchi wa Mbeya: TANESCO msikate umeme, wa mitandao msizime tuangalie kinachoendelea Kabwe

    Jamani, hii ndiyo hali inayoendelea Mbeya. Hali ni mbaya. Hii hapa ni stendi ya Kabwe ambapo pale watu wanakuwanga nyomi, watu wanakuwanga wengi. Sa hivi Kabwe ni nyeupe. Nyeupe. Watu tupo tu nyumbani tumetulia, tumenyosha miguu. Tanesco Mbeya, tunaomba msikate umeme. Narudia tena, Tanesco...
  19. Endesha kwa Umeme, Nishati Safi na Nafuu zaidi Barabarani.

    Umeme wa Kuchaji tunao lakini kupaa, paa "at your own risk." Endesha kwa Umeme, Nishati Safi na Nafuu zaidi Barabarani.
  20. R

    Mika Chavala: Nilikuwa ndani ya lift umeme ukakatika ikaanza kushuka kwa kasi. TANESCO na wamiliki wa Majengo hii ni hatari kwa maisha

    Mika Chavala ameelezea nanma alivyopata mshtuko baada ya umeme kukatika lift ikiwa kwenye ghorofa ya tano na kuanza kushuka kwa kasi kabla ya jenereta la dharura kuwaka. Ametoa rai kwa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuhakikisha uwepo wa nishati ya uhakika ili kuzuia majanga kama hayo. Pia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…