Jana mmekata umeme siku nzima. Leo tena alfajiri mmekata. Hamjui kwamba kuna watu wanapata riziki ya kila siku kwa kutegemea uwepo wa umeme? Mnakata mchana wote mnarudisha usiku. What kind of engineers have you employed? Hamuwezi kufanya rationing angalau watu wapate umeme kwa masaa sita wakati...
Nilichogundua ni kwamba Wachina wanapoenda kununua nyaya za umeme kwenye maduka yetu ya hapa nchini, mara nyingi huambatana na micrometer screw gauge au Vernier caliper.
Sijajua ni kwa nini, lakini akifika dukani na kuomba waya, hatua inayofuata ni kupima conductor diameter kwa kutumia kifaa...
Naishi Wilaya ya Nzega, Mkoa wa Tabora, licha ya kuwa ni eneo lenye fursa kubwa za uwekezaji kutokana na rasilimali zake. Hata hivyo, kuanzia Oktoba 2026 hadi sasa, huduma ya umeme kutoka TANESCO imekuwa mbovu sana. Umeme unakatika kila siku bila utaratibu maalumu, wakati mwingine unakaa siku...
Anonymous
Thread
ila
kutuma
maboresho
mafundi
nzega
picha
radhi
tanesco
tatizo
umeme
Wakazi wenye hasira mjini Naivasha, Kaunti ya Nakuru, wamevamia ofisi za kampuni ya Kenya Power wakipinga kukatika kwa umeme mara kwa mara na ongezeko la bili za stima licha ya huduma duni wanazodai kupokea.
Maandamano hayo yalifanyika Jumatano, Novemba 11, 2026, ambapo wakazi na...
Tunauza vifaa vya umeme bei rahisi kuliko wafanyabiashara wengine woteee;TV, washing machine, fridge, freezer, AC, nk
Bei nimenyooka na hakuna free delivery .
Tupo kariakoo Magila na likoma.
Check 0745588735
Whatsapp utahudumiwa haraka zaidi
Kuna kitu kimoja watu wengi husahau wakiweka CCTV — na mimi nimeona wateja kadhaa wakiumia kwa sababu hiyo hiyo. Unaweka kamera nzuri, DVR nzuri, kila kitu kinafanya kazi. Lakini umeme ukikatika (na sote tunajua hali ya umeme ilivyo), mfumo mzima unazima. Kamera zinalala. Na mara nyingi, ni saa...
Wakuu,
Natafuta mtu ambaye ni mzoefu au anaafanya shughuli ya kuvundika ndizi kwa umeme almaruufu kwa kutumia container maalumu za kuivisha ndizi. Ni kwa ajili ya kujifunza na consultation. Please nicheki 0752042670
Mfumo wako wa umeme umeukagua lini? Admini anaakwambia "Scroll" chini ujifunze zaidi!
Haya Tuambiane, mara ya mwisho kufanya ukaguzi ilikuwa lini?
#TANESCO #UsalamaWaUmeme #MwangaWetu
Wakuu nimekuja kwenu kwa lengo moja tu, natafuta fundi wa umeme wa nyumbani ambae yupo serious kwaajili ya kufanya kazi kweli.
Kuna site 3 ambazo zitafuatana. location ya fundi iwe ndani ya Dodoma mjini
Watanzania leo tarehe 30.10.2026 tunafuatilia sherehe ya uzinduzi wa makao makuu ya nchi yetu huko Dodoma tangia asubuhi. Ila u alivyoanza kuhutubia makamu wa pili wa Zanzibar TANESCO wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha wameamua kutukatia umeme makusudi ili tusifuatilie kinachoendelea huko Dodoma...
GT
Tanzania 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 hii imetoboka. hakuna kitu kinawatesa watu kama upatikanaji wa maji safi na salama.
Bila kupata kiongozi jasiri kama Magufuli alivyofanya kwenye umeme basi taifa hili litabaki kama la wendawazimu.
Before Magufuli umeme ilikuwa ni tabu sasa tunachekelea. yaani huwezi amini...
Tanzania tuna silka moja ya kuongea uongo hasa linapokuja suala la wakati. Mtu anakuambia nitafika hapo baada ya dakika kumi halafu anafika baada ya saa nzima. Mkutano unaotakiwa kuanza saa tatu asubuhi unaanza saa tano asubuhi. Kiongozi alisemwa atafika saa nne asubuhi anafika saa sita mchana...
Jamani, hii ndiyo hali inayoendelea Mbeya. Hali ni mbaya. Hii hapa ni stendi ya Kabwe ambapo pale watu wanakuwanga nyomi, watu wanakuwanga wengi. Sa hivi Kabwe ni nyeupe. Nyeupe. Watu tupo tu nyumbani tumetulia, tumenyosha miguu.
Tanesco Mbeya, tunaomba msikate umeme. Narudia tena, Tanesco...
Mika Chavala ameelezea nanma alivyopata mshtuko baada ya umeme kukatika lift ikiwa kwenye ghorofa ya tano na kuanza kushuka kwa kasi kabla ya jenereta la dharura kuwaka.
Ametoa rai kwa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuhakikisha uwepo wa nishati ya uhakika ili kuzuia majanga kama hayo. Pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.