umeme

  1. AXIOM APEX VERBOSE

    Tanesco acheni kuchezea Umeme

    TANESCO mnachezea umeme hii ndio nini sasa? Hiki nini mnafanya mnakata mnazima ndio nini hii?
  2. TANESCO

    Taarifa ya hitilafu kwenye njia ya kusafirisha umeme iliyopelekea kukatika umeme maeneo kadhaa kwa wateja wa mkoa wa Dar es Salaam

    TAARIFA KWA WATEJA WA MKOA WA DAR ES SALAAM
  3. Dennis Robert Shughuru

    Umeme ukikatika ukienda Kariakoo wanakouza nguo ni kama uko jehanamu

    Umeme ukikatika na ukaenda kule wanakouza nguo ni kama jehanamu hali inatisha hewa ni nzito sababu ukienda hata umeme tu upo hewa ni nzito Nawatakia heri wapambanaji wakati huu umeme umekatika na mnategemea umeme kupata chochote kitu kwa ajili yenu na familia zenu
  4. mirindimo

    Ilala, Kariakoo, na sehemu za Mbagala hakuna umeme

    Nchi hii tunapitia mengi sana , asubuhi mapema kabisa wamekata umeme halafu ikifika saa sita mchana hivi wanapita Fire, Kajenjere, Halmashauri wanataka mbesaaa sio maelezo na ukisema huna unapakiwa gari la Taka unapelekwa manisapaa kulipa na faini. Maisha sio lele leleee pambaneni vijana
  5. Penguinelli Cactussini

    Nauza Powerbank itakayochaji iPhone yako mara 8 na zaidi hata umeme ukate wiki nzima

    PowerBank hii inaweza kuchaji iPhone yako mara 9 ndio uichaji. Inafaa kwa mainjinia, project managers nk na wale ambao wanakaa maeneo ambayo yana changamoto ya umeme. Sifa zake kwa ufupi; 1. Inachaji simu mara zaidi 9 (inategemea na ukubwa mAh za battery) 2. Inawaka taa (tochi) 3. Ni rahisi...
  6. TANESCO

    Kamati ya bunge ya kudumu ya nishati na madini yapongeza mpango wa uunganishaji umeme kwa wananchi kati ya TANESCO na benki ya CRDB.

    KAMATI YA BUNGE YA KUDUMU YA NISHATI NA MADINI YAPONGEZA MPANGO WA UUNGANISHAJI UMEME KWA WANANCHI KATI YA TANESCO NA BENKI YA CRDB. 📌Yasema utachochea maendeleo ya kiuchumi na kijamii kwa wananchi. 📌Yasisitiza utekelezaji wa mpango huo kuleta matokeo Chanya kwa wananchi. Kamati ya Kudumu ya...
  7. TANESCO

    TANESCO Limekuwa Shirika la Kuigwa

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati anayeshughulikia masuala ya Umeme na Nishati Jadidifu, Mhandisi Felchesmi Mramba, ameeleza namna Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limepiga hatua na kuwa Shirika la kuigwa. Mhandisi Mramba ameyasema hayo Novemba 23, 2026, aliposhiriki mahojiano katika kipindi...
  8. TANESCO

    Kikubwa tarehe 27 umeme utakuepo!!!

    Kitu kizuri ni kwamba wote hao sisi ni wateja wetu na tunawahakikishia tarehe 27 umeme utakuwepo na tutatimiza wajibu wetu wa kuyaangaza maisha, vipi wewe una mpango gani? Birthday, uzinduzi wa albamu au utabaki Instagram kuperuzi?
  9. TANESCO

    Monday ni ya Nikonekt

    Bado wewe ni WiFi ya umeme wa jirani? Simu unachaji kwake, barafu unagandisha kwake, hadi mpira unaangalizia kwake! omba umeme basi kupitia nikonekt tukuwashie Your home deserves its own power! Mpaka nimeongea na kingeee labda utanielewa😂
  10. Robert Heriel Mtibeli

    HOJA TANESCO na hii El nino mkinikatia umeme usiku mnene mpango wenu ni upi hasa. Niwe ndafu, Ama!?

    Asalam alyekum! Yote nini! Nimelala zangu. Naota zangu! Ndoto zangu! Naam kwa raha zangu. Baada ya shurba za mchana. Nimehangaika nyie! Nimeteseka nyie! Nimesagika nyie! Mchana wote mie nilikuwa kwenye hekaheka za kutafuta ugali. Sio mimi pekee bali wote walia na mungu, wavuja jasho...
  11. TANESCO

    TANESCO tunaomba radhi kwa kukosekana huduma ya umeme mikoa ya Mbeya na Songwe kufuatia ajali ya miundombinu ya umeme

    Shirika la umeme Tanzania TANESCO linaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza kutokana na kukosekana kwa huduma ya umeme katika mikoa ya Mbeya na Songwe kufuatia ajali ya miundombinu ya umeme mkoani Mbeya. Aidha tunawaomba wateja wetu uvumilivu wakati wataalamu wetu wakiendelea na juhudi za...
  12. TANESCO

    Maendeleo ya jitihada za kurejesha huduma ya umeme katika mikoa YA Mbeya na Songwe

  13. Davidmmarista

    KERO Mbeya nzima tangu jana Novemba 21 saa 9 mchana hakuna umeme

    Tutakuwa na maendeleo kweli kwa Hali wakuu??
  14. O

    Mkataba wa Ksh Bilioni 90: Kampuni ya Kigiriki Kujenga Kinu cha Umeme kinachoelea Mombasa

    Kenya imeingia mkataba mkubwa wa Ksh bilioni 90 na kampuni ya nishati ya Ugiriki ya AMACO Energy SA kujenga kinu cha umeme kinachoelea jijini Mombasa. Mradi huu, unaofahamika kama HERCULES, utajengwa pwani ili kusambaza umeme wa kuaminika moja kwa moja kwa biashara na vituo vya data katika...
  15. insane

    Mwanga ni sehemu tu ya sumaku na umeme

    Kwa binadamu, ulimwengu mzima usingefanya kazi bila mwanga. Tunaona na kuelewa vitu sababu ya mwanga. Bila mwanga, macho yetu yasingeona vitu. Kiukweli sisi wanadamu hatuwezi kuishi bila mwanga wa jua. Mwanga utatusaidia kuelewa muundo na tabia ya kila kitu kuhusu atomi kwenye ulimwengu. Huu...
  16. R

    Hii shida ya kushindwa kununua umeme wa luku,nini tatizo?

    Hivi ninavyoandika,nchi nzima huwezi kununua umeme wa luku,iwe kwenye simu au kwa wakala. Enyi tanesco shida ni nini?
  17. Mad Max

    China wameanza kutest ndege ya abiria ya Umeme!

    China wameanza kuitest ndege ya abiria ya Umeme COMAC’s CE-25A, yenye seat 19 range ya Kilometa 400. Ofcoz sio mara yake ya kwanza kuruka, umesharuka mara kadhaa ila ilikua Haina mtu ndani kuofia usalama, hadi walipojiakikishia weekend hii wameruka na mapailot. Kwenye mabawa, badala ya...
  18. A

    KERO Yombo tuna changamoto ya umeme kukata na kurudi hata mara 10 kwa siku

    Huku Yombo tunachangamoto ya umeme, mfano wanaweza kukata kuanzia Saa 12 Asubuhi wakakata hata mara nane kwa staili ya kukata na kurudisha, hii si sawa wataunguza vyombo vya watu. Kwa sasa changamoto ndiyo imeongezeka zaidi. Mfano juzi kuanzia Saa 12 Asubuhi mpaka Saa 6 Usiku umeme umekatika...
  19. A

    KERO Umeme Wilaya ya Nzega unakatika sana kila wakati. Wanatuharibia vyakula, biashara zinaathirika

    Umeme Wilaya ya Nzega unakatika sana kila wakati, kuna muda unaweza kukatika asubuhi mpaka kesho yake mchana, changamoto hiyo ipo kwa wiki tatu sasa. Changamoto hii ni kero na inajirudia, kuna vitu vyetu vingi tu vinakwama, biashara zinaharibika, vitu nyumbani vinaharibika pia na kupata Hasara.
Back
Top Bottom