Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati anayeshughulikia masuala ya Umeme na Nishati Jadidifu, Mhandisi Felchesmi Mramba, ameeleza namna Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limepiga hatua na kuwa Shirika la kuigwa.
Mhandisi Mramba ameyasema hayo Novemba 23, 2026, aliposhiriki mahojiano katika kipindi...