uhuru

  1. NCCR Mageuzi

    YEREMIA MAGANJA: Sisi ni nchi huru na tutalinda Uhuru wetu wenyewe

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha NCCR-Mageuzi ndugu Yeremia Kulwa Maganja, jana Alhamis Oktoba 01, 2020, alifanya mkutano kwenye Jimbo la Kigoma Mjini viwanja vya Mwanga Sokoni kwa lengo la kuomba kura pamoja na kumnadi mgombea Ubunge wa jimbo la Kigoma Mjini...
  2. T

    Uhuru na Haki Haiwezi ikaleta Amani na Maendeleo ya Watu; Amani na Maendeleo ya Watu ni Tunda la Uhuru na Usawa

    Na: McWenceslaus 01/10/2020. Habarini za muda ndugu wanabodi wenzangu! Poleni kwa kazi na majukumu mengi ya siku. Baada ya kukaa kwa muda hivi, tukiwa tunatathiminu hali ya kampeni tangu mwanzo hata hivi leo, zikiwa zimesalia siku 27 kufika siku ya kufanya maamuzi ya kamchagua Rais, wabunge na...
  3. T

    Uhuru na Haki haiweze ikaleta Amani na Maendeleo ya watu; Amani na Maendeleo ya watu ni Tunda la Uhuru na Usawa.

    Na: McWenceslaus 01/10/2020. www.ccmmpya.org Habarini za muda ndugu wanabodi wenzangu! Poleni kwa kazi na majukumu mengi ya siku. Baada ya kukaa kwa muda hivi, tukiwa tunatathiminu hali ya kampeni tangu mwanzo hata hivi leo, zikiwa zimesalia siku 27 kufika siku ya kufanya maamuzi ya kamchagua...
  4. Mwanamayu

    Kwa jibu la mmoja wa wagombea Urais nchini kwetu Tanzania, hivi Katiba ya nchi inasemaje haswa juu ya uhuru wa faragha (privacy)?

    Kuna mgombea mmoja wa kiti cha Urais amekuwa akinukuu katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 (toleo la 20 Juni, 2005) ibara ya 16 mara anapojibu swali la waandishi wa habari akiwemo yule wa BBC wakati wa hardtalk kuhusu masuala ya ushoga. Ibara hiyo inahusu haki ya faragha na...
  5. Kevin85ify

    Uhuru Kenyatta France Tour Highlights

    On september 29, His excellency president Uhuru Kenyatta left for france on arriving he was received by his counterpart emmanuel macron at the elysee palace. During their talks it was noted by both presidents that Kenya forms an important partner to France and the european union, the french...
  6. E

    Ni haki ipi na uhuru upi ambao viongozi wa upinzani wanatafuta?

    Nina maswali lukuki najiuliza kichwani mwangu nikiwa nimetulia. Kwamba ni haki na uhuru upi. Ni haki ipi na uhuru upi ambao viongozi wa upinzani wanatafuta. Habari za leo ndugu zangu na marafiki. Kwanza kabisa nianze kwa kusema ndugu zangu siasa sio ugomvi lakini panapo bidi kuulizana lazima...
  7. Kevin85ify

    Kenya: Infrastructure projects that will cement Uhuru legacy

    His excellency President Uhuru Kenyatta is in a hurry to finish a lot of projects that will forever entrench his legacy as one of Africa's greatest builders. Roads Nairobi Region: i) Nairobi expressway U/C (27.1 km) running from mlolongo to JKIA and ending up in westlands, this elevated 8,6 and...
  8. A

    Je, Uhuru, Haki na Maendeleo vipo CHADEMA?

    Wakuu, kuelekea Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28.10.2020, hebu tutafakari pamoja hii kauli mbiu ya CHADEMA: Uhuru, Haki na Maendeleo. Uzi huu hautalenga kuichambua kaulimbiu hiyo bali utalenga kwenye kuangalia kama kweli kauli mbiu hiyo imekuwa ikitekelezwa kwa vitendo kwenye chama hicho kikuu cha...
  9. K

    GE2020 Vicensia Shule: Uamuzi ni wetu, Tuchague Utumwa au Haki

    Tuna siku 30 kamili za kuandika andika humu kwa uhuru na kukosoa kwa haki wagombea wetu. Baada ya hapo kuna mawili, turudi utumwani au tujikomboe. Uamuzi ni wetu ile Jumatano inayosubiriwa ya tarehe 28 Oktoba kuchagua UTUMWA au HAKI ✊🏿✊🏿✊🏿
  10. The Palm Tree

    GE2020 Slogan ya CHADEMA katika uchaguzi ni "Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu". CCM slogan yao mwaka huu ni ipi?

    Mwaka 2015 slogan ya CCM ktk uchaguzi huo kama nakumbuka vizuri ilikuwa HAPA KAZI TU... Hii ndiyo imekuwa mwongozo tangu wakati huo tangu walipotangazwa washindi na mpaka sasa ktk shughuli za kiserikali... Baada ya miaka mitano, mwaka huu ni uchaguzi mwingine. Mpaka sasa binafsi kwa kweli...
  11. MK254

    Viwanja tisa (9) vya michezo ndani ya miezi mitatu ijayo, Rais Uhuru usiwe unatuzuga mzeiya

    Nilitaka niwe na mashaka na hizi habari, ila nikiwaza kwamba rais yupo kwenye muhula wa mwisho wa awamu yake, maana kwamba hana sababu za kutuhadaa, amesema tayari pesa zimeshatolewa kwamba tutegemee viwanja tisa kukarabatiwa, tuko papa hapa wapambe wa rais kama mnapita humu tunavisubiri kwa...
  12. Sherlock

    MV uhuru stirs trade on Lake Victoria

    The refitted MV Uhuru cargo vessel in Lake Victoria has so far transported 17,463,420 litres of petroleum products from Kisumu port to Port Bell in Uganda. Kenya Railways (KR) Managing Director Philip Mainga said the resumption of voyages by the vessel after its suspension in 2011 has boosted...
  13. PAZIA 3

    Mchango wa vijana katika kuleta Uhuru wa nchi hii, kwanini vijana tusiandae mdahalo wetu sisi wenyewe?

    Kabla ya Tanganyika kujipatia Uhuru, vijana ndiyo walipigania kufa na kupona ili nchi yetu iachiwe na wakoloni, hatimae wakoloni walituachia nchi yetu, ndiyo maana leo hii tuna siku ya mashujaa( Hawa Ni vijana) waliopigania nchi yetu. Kwakuwa Sasa hivi tupo katika kipindi Cha uchaguzi mkuu, Kuna...
  14. mama D

    Uhuru, Haki na Maendeleo

    Mama Tanzania nakupenda kwa moyo wote. Serikali yetu imefanya kazi kubwa sana kujenga umoja na kudumisha amani na ustawi tulio nao chini ya misingi ya uhuru na haki na hii inatusaidia sana katika jitihada za kukuza uchumi wa taifa letu. Tusisahau kwamba hakuna maendeleleo bila amani na...
  15. Erythrocyte

    GE2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Katavi na Kigoma, azungumzia Katiba Mpya

    Wakuu nawasalimu kwa salamu ya Ukombozi , leo tena Mh Lissu anaendelea kuwatembelea Watanzania wenzake kwa lengo la kuwaomba ridhaa ya kupewa kura ili awe Rais wa Tanzania , mikutano ya leo itapigwa Mkoani Katavi na Kigoma . Endelea kubaki hapa hapa JF kwa habari za uhakika. ---- Napenda...
  16. Geza Ulole

    If Uhuru is not careful he will be the first Kenyan President not to be accorded an official invitation by Tanzania

    If Uhuru is not careful he will be the first Kenyan President to be not accorded an official invitation by Tanzania Dah yaani Rais wa Burundi hajatimiza hata miezi mitatu tayari kakaribishwa na kazindua jengo! Yule wa Kunyaland amebakiza miaka miwili aondoke madarakani, no oficial invitation...
  17. M

    GE2020 Tundu Lissu afafanua sera ya CHADEMA ya uhuru, haki na maendeleo ya watu

    *Does it make any sense?* Kuhusu Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu. Na TUNDU Lissu 16.09.2020 Mbeya. Andiko hili limetolewa kama ufafanuzi malalamiko ya CCM juu ya hoja za Uhuru, Haki na Maendeleo ya watu. Pia linafafanua juu ya maendeleo ya upendeleo katika utawala wa Rais Magufuli (nyumbani...
  18. Infantry Soldier

    Sasa ni miaka 60 baada ya Uhuru wa Bara letu. What kind of future do African politicians hold for their fellow countrymen in the next 60 years (2080)?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu zangu Watanzania; Mpaka kufikia sasa (2020) ni miaka 60 imepita baada ya uhuru wa bara letu hili pendwa la Afrika. Now, what kind of future do African politicians and leaders hold for their fellow countrymen in the next 60 years (2080)...
  19. Dr Akili

    Tuseme ukweli: Huwezi kuwa na Uhuru kama wewe ni mtegemezi. Watanzania sasa tuko Huru zaidi kwani sasa tunajitegemea

    Katika kipindi hiki ambacho enzi za Anna Makinda, Tundu Lissu alikiita 'silly season' tutasikia uwongo na upotoshaji mwingi. Tunaambiwa eti Tanzania kwa sasa hakuna Uhuru. Yaani sasa hivi Watanzania hatuko huru. Ukweli ni kwamba mtu au nchi haiwezi kuwa huru kama mtu au nchi hiyo ni mtegemezi...
Back
Top Bottom