uhuru

  1. O

    Ripoti Yaonyesha Serikali za Uhuru na Kibaki Zilikuwa na Mabilioni Mengi Zaidi Yaliyotiwa Shaka Kuliko Utawala wa Ruto

    Ripoti mpya imeonyesha kuwa serikali za Mwai Kibaki na Uhuru Kenyatta zilikuwa na kiwango kikubwa zaidi cha matumizi ya umma yaliyowekwa alama na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ikilinganishwa na utawala wa sasa wa William Ruto. Kwa mujibu wa takwimu zinazohusu matumizi ya serikali kati ya...
  2. Mohamed Said

    Historia ya Uhuru wa Tanganyika Inavyowababaisha Hata Wahariri wa Magazeti Makubwa

    https://youtu.be/DQGfunK5eVU?si=_2a5ZoSm6F_wKmJX 🔥 NANI ALIYEANDIKA HISTORIA YA UHURU WA TANGANYIKA? JE, TUNASOMA HISTORIA YA KWELI AU TUNARUDIA SIMULIZI ZILIZOWASAHU WAHUSIKA WAKUU? Historia ya uhuru wa Tanganyika haiwezi kuandikwa kwa kutaja majina machache tu na kuwaacha pembeni watu na...
  3. M

    Kanuni za Utumishi wa Umma za Mwaka 2022 (GN. No. 444): Haki za raia, uwajibikaji wa Serikali, Ajira, na Uhuru wa Habari/Mawasiliano

    Kanuni za Utumishi wa Umma za Mwaka 2022 (GN. No. 444) zimejaa vipengele vingi vinavyogusa moja kwa moja haki za wananchi, uwajibikaji wa serikali, ajira, na uhuru wa habari/mawasiliano. 1. Haki ya Mwananchi Kupata Huduma Bora na Kufichua Ukiukwaji wa Maadili Wananchi wengi hawajui kuwa Kanuni...
  4. Mkalukungone Mwamba

    Gerson Msigwa: Serikali imepanua Uhuru wa watu kujieleza

    Gerson Msigwa Msemaji wa Serikali, akizungumza katika Kasri Leo Novemba 17, 2026 kuhusu uhuru wa kujieleza amesema Kuwa Serikali kwa sasa imepanua Uhuru wa watu kujieleza
  5. F

    Vijana wa Afrika wataandamana lini kutaka haki, maisha bora na uhuru kama wenzao wa Ulaya?

    Kichwa cha habari kiko wazi. Vijana wa Afrika wanaumia sana kuliko mtu yeyote tokana na kuzaliwa kwenye mifumo chakavu na kifisi na kifisadi. Je, watalianzisha lini lau dunia ijue wapo? Nawasilisha. Bila vijana wa Afrika kuamua, wasitutegemee sisi wazee tuliowaangusha kwa kuogopa na kujiangalia.
  6. R

    Uhuru wa mahakama hauwezi kuheshimiwa kama kuna mahakama inayosema jua linatoka magharibi kwenda mashariki in a broad daylight bila aibu!

    Mnailalamikia Uingereza kwa kuaema kuwa uhuru wa ina wasiwasi na hukumunya Lisu. Mkamjinu mahakama usiingiliwe. Nasema, Jirekebishe na mtaheshimiwa. Mugasha alisema kuwa kwa vile Wakurugenzi wanakula kiapo, watasimamia vizuri uchaguzi! Swali: Wanaopindua serikali si wanakuwa wamekula kiapo...
  7. BIOTOXINS

    Mkwamo wa Kisiasa Israel: Netanyahu Apoteza Wingi wa Viti, Waarabu Washika Hatamu kama 'Kingmakers'

    Uchaguzi mkuu wa Israel uliofanyika mnamo Oktoba 27, 2026, umeacha taifa hilo katika sintofahamu kubwa ya kisiasa baada ya matokeo ya mwisho ya Kamati Kuu ya Uchaguzi (CEC) kuthibitisha kuwa hakuna upande uliopata ushindi wa wengi. Uchaguzi huu, ambao ulikuwa wa kwanza tangu mashambulizi ya...
  8. Tlaatlaah

    Ni kwa kiasi gani uhuru wa mahakama ya Tanzania unachochea ustawi wa demokrasia na utawala bora Tanzania

    Kwa utulivu wa fikra, elezea nafasi ya mahakama huru ya Tanzania katika kuimarisha na kuchochea ustawi wa demokrasia, uhuru wa vyama vya siasa katika kufanya siasa nchini na katika kuhakikisha kwamba uchaguzi huru, wa haki na wa wazi unaendelea kufanyika kwa amani Tanzania na kwa kuzingatia...
  9. C

    Wakili Addo November: Hukumu ya Tundu lissu imeonesha uhuru wa mahakama

    Wakili Mwandamizi, Addo November, amesema uamuzi wa Mahakama Kuu katika kesi namba 19065 iliyokuwa ikimkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, unaonesha uhuru wa Mahakama nchini katika kusimamia utawala wa sheria. Akizungumza katika Mahojiano Maalumu na...
  10. Manyanza

    Kesi ya TunduLissu imenifundisha: Haki, Msimamo, Ujasiri na thamani ya uhuru!

    Wakuu. Habari za wakati huu, wale wapenda haki na usawa najua tumeumia sana na kilichoamuliwa leo na Mahakama kuu kuhusu mwenendo wa kesi iliyokuwa ikimkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mheshimiwa Tundu Antipas Lissu. Kila jambo linalotokea kwenye maisha yetu au katika hii dunia hutokea na...
  11. G

    Facebook wanadai bila VPN huwezi KUFUNGUA jiandaeni soon inaweza kutokea na Jf pia Lisu anatetea uhuru wa maoni na habar

    Facebook imekuwa jukwaa kubwa la live update ya kesi ya Lisu Kwa muda mrefu . Leo Kuna malalamiko ya uzito wa KUINGIA huko bila VPN
  12. K

    Ufunguzi wa akili: Kutoka chombo kitupu hadi kufikiri kwa uhuru

    Kila mwanadamu anapozaliwa, akili yake ni kama karatasi nyeupe, au kwa maneno ya kifalsafa, ni "chombo kitupu" (empty vessel). Katika hatua hii ya mwanzo, hakuna mawazo ya awali, hakuna chuki, na hakuna imani zilizojengwa. Lakini, mara tu tunapoingia kwenye mfumo wa maisha, chombo hicho...
  13. Mla Bata

    Max & Mods, tunaomba uhuru wa kuinteract jukwaani bila kufungua nyuzi! 😎

    Wasalaaam, Yaani kila wazo lazima tuanze na heading, main thread, utangulizi na hitimisho? 😂 Fanyeni mpango tuwe na uwezo wa kuchapisha mawazo mafupi mafupi kama tweets kuhusu chochote kilichopo kichwani, watu wa-like na kuchangia bila kulazimika kuanzisha uzi rasmi. Hii option inaweza kuwekwa...
  14. K

    Wadau kwanini hatuna mijadara ya kujenga mfano Barabara zetu na huduma za umma , bungebubu ufisadi, na makakama iliyopoteza uhuru wake

    Habari ya kuyimuka Wadau, Humu ndani ya jukwaa mwanzoni tulikuwa na mijadala mizuri na yenye tija Kwa nchi yetu kwasasa haionekani. Kuna changamoto nyingi kwenye maneo ya miundo mbinu yetu hasa Barabara. Barabara zetu nyingi ni mbovu zina mashimo yayosababisha uharibifu WA magari na wakati...
  15. M

    Mwananchi wa Mbeya: TANESCO msikate umeme, wa mitandao msizime tuangalie kinachoendelea Kabwe

    Jamani, hii ndiyo hali inayoendelea Mbeya. Hali ni mbaya. Hii hapa ni stendi ya Kabwe ambapo pale watu wanakuwanga nyomi, watu wanakuwanga wengi. Sa hivi Kabwe ni nyeupe. Nyeupe. Watu tupo tu nyumbani tumetulia, tumenyosha miguu. Tanesco Mbeya, tunaomba msikate umeme. Narudia tena, Tanesco...
  16. PAYE

    Baada ya kukaza, 15 de Agosto yaruhusu mashabiki mechi na Simba Uhuru Oktoba 21

    Klabu ya Simba imetangaza kuwa mashabiki wake wataruhusiwa kuingia uwanjani kushuhudia mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya 15 De Agosto utakaochezwa Oktoba 21, 2026, katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Idara ya Habari na Mawasiliano ya klabu...
  17. L

    Moyo wa Safari Ndefu haumo China pekee, pia unatoa hamasa kwa nchi za Afrika kujiendeleza kwa uhuru

    Mwaka 2026 ni mwaka wa 105 wa kuzaliwa kwa Chama cha Kikomunisti cha China CPC, na pia mwaka wa 90 wa ushindi wa Safari Ndefu “Long March”. Safari hii ngumu iliweka msingi wa ushindi wa mapinduzi ya China, na kuacha hazina ya moyo unaovuka mipaka ya nchi. Tovuti ya Capital FM ya Kenya hivi...
  18. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    Kwanini Mwenge wa Uhuru sio msingi wa maendeleo ila ni chanzo cha wezi na wabadhirifu kuiba na kupiga mali ya umma?

    Mwenge umeshindwa kuwa na tija na faida kwa taifa letu la Tanzania. Hapa kuna uchambuzi wa takwimu za bajeti zinazohusika na mbio hizi, pamoja na hoja kuu za upande wa pili unaounga mkono Mwenge kama nguzo muhimu ya taifa. 💰 Makadirio ya Bajeti na Gharama za Mwenge Ingawa serikali haijaweka...
  19. Zack Abdul

    Mwenge wa Uhuru 2026 Wazindua Miradi ya Sh2.24 Trilioni

    Jumla ya miradi 1,337 yenye thamani ya zaidi ya Sh2.24 trilioni ilizinduliwa au kuwekwa misingi wakati wa Mwenge wa Uhuru 2026. Miradi hiyo inahusisha afya, maji, barabara, viwanda, kilimo na uwezeshaji wa vijana, ikilenga kuongeza huduma na fursa za kiuchumi katika maeneo mbalimbali nchini.
  20. Zack Abdul

    Kilele cha Mwenge wa Uhuru na Kumbukizi Nyerere

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mh. DEOGRATIUS NDEJEMBI akiwa katika picha ya pamoja na Wakimbiza Mwenge wa Uhuru kitaifa mara baada ya kuhitimisha kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru na Kumbukizi ya miaka 27 ya kifo cha Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere mjini...
Back
Top Bottom