tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Mzukulu

    Tusaidiane Kuchagua Jibu lililo sahihi tu hapa kuhusiana na CORONA kufanyiwa Mzaha nchini Tanzania tafadhali

    Je, Tanzania haina wasiwasi / hofu na CORONA kama nchi zingine hivyo imeamua kufanya yafuatayo...? A. Kutokuweka Mkazo wowote wa Curfew ( Lock down ) ili Waathirike wengi Uchaguzi usifanyike 2020 B. Kuruhusu Kundi la Waelewa na Wanaohoji Mitandaoni Form Six na Vyuo warudi ili wazingatie Elimu...
  2. J

    Rais Magufuli: Hali kwa sasa ipo vizuri na Corona inapungua. Wanafunzi wa Form VI na Vyuo vyote kufunguliwa 01 Juni 2020

    Karibu Wageni wameshawasili katika sherehe hii ambayo wateule kadhaa wataapishwa akiwemo Naibu waziri wa afya, Katibu tawala mkoa wa Pwani Mkurugenzi wa Takukuru na mabalozi. Rais Magufuli ameshaingia ukumbini tayari kuanza kuwaapisha wateule wake. ===== Baadhi ya mambo yaliyozungumzwa...
  3. N'yadikwa

    Tanzania ni nchi yenye furaha sana

    Siku za hivi karibuni baada ya ujio wa mitandao ya kijamii; nchini Tanzania kila kitu kimekuwa utani na hivyo kufanya mambo kuwa mepesi na msongo wa mawazo kupungua. Kwa ufupi tunapeana burudani ya kutosha humu online. Nadhani zile takwimu za kuwa hatuna furaha sasa ziwe reviewed tuwemo...
  4. K

    Makosa ya kimkakati kuhusu covid 19, yataigharimu Tanzania kiuchumi

    Kwa kadiri siku zinavyosogea, tutashuhudia mengi kuhusu namna viongozi wetu wanavyoshughulikia Corona. Mimi nielekee eneo la uchumi unaotokana na mahusiano au ushirikiano na mataifa mengine. Tuanzie na utalii ambao nao unachangia fedha nyingi za kigeni na ajira kwa Watanzania. Watalii wa nje...
  5. R

    Tanzania inapitia wakati mgumu wa lawlessness

    Haya yanayofanywa na Executive, Parliament na Mahakama yanatia uchungu. 1. Executive-Rais anafanya lolote, lolote nje ya sheria. Mara kadhaa katiba imevunjwa siyo kwa bahati mbaya, bali makusudi. Rais yuko juu ya sheria na Katiba! 2. Parliament: Yanayofanywa na Nduguai ni vituko vya kuvunja...
  6. APA CHICAGO

    Hongera Rais Magufuli kwa kumaliza mgogoro na Kenya

    Hongera Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuongea na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na kisha kuumaliza mgogoro uliokuwa unataka kutokea katika mipaka yetu wa Tanzania na Kenya. Ieleweke kuwa mahusiano mazuri kati yetu na nchi majirani zetu ni kitu muhimu kiuchumi nk.Nitoe...
  7. nditolo

    Raila kuja Tanzania Jumamosi kuishawishi Serikali juu ya COVID-19

    Tanzania tulikuwa wapatanishi na waheshimiwa sana Ulimwenguni. Tulijijengea sifa kubwa sana, yale yote yaliyofanyika na watangulizi leo yamekuwa matope Imagine Raila kuja Tanzania kumshawishi Rais afuate taratibu za kitaalamu ili kutokomeza ugonjwa. Tumekuwa hatuaminiki kabisa. Awamu...
  8. G Sam

    Mtanzania aliyekuwa akisafiri kutoka India kuja Tanzania afariki akiwa njiani -Dubai

    Mtanzania ambaye passport yake imewekwa hapa amefariki akiwa njiani kuja Tanzania kutoka India. Aliugua ghafla akiwa Dubai na amezikwa huko huko. Ni kwenye ile ndege yetu iliyoenda kuwachukua.
  9. Nigrastratatract nerve

    Kenya inaipenda Tanzania dhaifu haiwezi kamwe ikaipenda Tanzania madhubuti chini ya Rais Magufuli

    WATANZANIA, WAKENYA WASIWASUMBUE Wiki hii toka jumatatu joto la kidiplomasia Kati yetu na Kenya limepanda Kiasi. Joto hili linasababishwa na vurugu za ugonjwa wa Corona. Nimejaribu kwa kiasi kuwaonyesha Watanzania sababu za kuendelea kukataa mchezo wa Kenya katika Uchumi wetu. Naelewa Sana...
  10. miamiatz

    Kwa mtazamo wangu, Tanzania kazi ni nyingi ila ajira ni chache

    Ajira ni mahusiano ya bosi na mfanyakazi yaliyofikiwa baada ya Bossi kumhitaji mfanyakazi huyo na kumchukua amtumikie kwa ujira maalum. Kazi ni shuhuli yoyote ya halali ambayo mtu anaweza kuifanya ili kuongeza thamani ya kitu, ya jambo ama yake yeye mwenyewe bila kujali ina malipo ama haina...
  11. G Sam

    Hatimaye Uingereza imemaliza kutoa raia wake Tanzania leo

    Leo raia wapatao 200 wameondoka Tanzania kurudi Uingereza ikiwa ni kundi la mwisho la raia hao kuondoka. ====== UK repatriates 200 British nationals from Tanzania Two hundred British nationals were on Wednesday, May 20, 2020 repatriated from Tanzania amid Covid-19 pandemic...
  12. J

    Waziri Kinyasu: Watalii wanatupigia simu wamechoka kufungiwa ndani huko Ulaya wanataka kuja Tanzania kupumzika

    Naibu waziri wa Maliasili na utalii mh Costantine Kinyasu amesema amekuwa akipokea simu kutoka kwa watalii na wadau wa Utalii kutoka Ulaya wakilalamika kuchoshwa na kufungiwa ndani hivyo wanataka kuja Tanzania kupumzika. Waziri anasema ameshakutana na wadau wa Utalii hapa nchini kuzungumzia...
  13. GRAMAA

    Paul Makonda: Wananchi walioikimbia Dar warudi, Mauti hauikimbii. Siku ya Jumapili, kila mtu afanye fujo awezavyo na kupiga kelele na vigeregere!

    Akiwa katika ujenzi wa daraja la Tanzanite, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amewataka wakazi wake kufanya fujo za hali ya juu ikiwepo kupiga kelele kwa nguvu zote na watu kwenda beach kama ishara ya kumpongeza Rais kwa kuishinda COVID 19. Pia Makonda amewataka watu wote waliokimbià...
  14. B

    "Kuishi na Corona" kunavyopotoshwa Tanzania

    Mabibi na mabwana moja kwa moja kwenye mada. Itifaki yote imezingatiwa. Shirika la afya Ulimwenguni (WHO), limekuwa likitoa tathmini, mapendekezo na kauli mbalimbali likionya na kushauri kwenye jitihada za kukabiliana na ugonjwa huu hatari. Kwa bahati mbaya sana hapa nchini kwetu kumekuwa na...
  15. Mzalendo_Mwandamizi

    African Arguments on Tanzania: How long can its COVID-19 strategy hold? (by Evarist Chahali)

    With neighbours tightening their borders and internal criticism growing, President Magufuli’s government finds itself increasingly isolated. Before the coronavirus reached Tanzania, things were arguably going according to plan for President John Magufuli. Since taking office in November 2015...
  16. K

    Ubunge Tanzania ni ulaji tu hakuna faida kwa nchi

    Watanzania tunadanganya na wabunge kwa kujifanya kama vile wanatusaidia. Bunge kwa mfumo wa sasa ndiyo sehemu ya matumizi bila faida yeyote kwa taifa 1. Kwanza Budget ambazo wanatumia muda kujadili na kuchukua pesa nyingi serikali kwenye utekelezaji hawatumii pesa kama walivyopanga. Hivyo...
  17. W

    Tanzania First Country to Welcome all Tourists again with open arms, Visitors welcome without condition.

    Enjoy a normal holiday or vacation in Tanzania is now a presidential message and the message the Tanzania Tourism Board made their policy. Warnings and information about COVID-19 vanished from the official travel and tourism portal for Tanzania. Is Tanzania ready to welcome tourists from all...
  18. mwengeso

    Udhibiti wa covid-19 waimarika tanzania

    Vijijini maisha hayajabidilika. Wanavijiji wameendelea na shughuli zao za kilimo, uvuvi na ufugaji. Mijini maisha mitaani na hata Uswahilini kwenye makazi ya watu wengi, mambo ni powaaa. Waliobashiri kutakuwepo na vifo vingi wanatamani na kuendelea kuomba iwe hivyo, ubashiri wao utimie...
  19. Jamii Opportunities

    Nafasi za kazi Ubalozi wa Marekani Tanzania

    U.S. MISSION DAR ES SALAAM VACANCY ANNOUNCEMENT The U.S. Mission in Dar es Salaam is seeking eligible and qualified applicants for the positions below (Kusoma Maelzo Kamili, Click links ya Job Title Unayotaka Hapa Chini): READ MORE AND APPLY HERE! Position Title: Shipping Assistant (Internal...
  20. TIPSEU TANZANIA

    Njia ya kuwapa wanafunzi mitihani wakiwa nyumbani

    Kwa wadau wote wa elimu,mimi ni msimamizi ya taasisi ya elimu ya TANZANIA INTER-DEPENDENCE PRIMARY SCHOOLS EXAMINATION UNION Tumeweza kubuni mbinu ya kuwasaidia watoto kipindi hiki cha corona, ambyo sasa wanafunzi nchi nzima watafanya mitihani kupitia link za mfumo bila kutoa copy,halafu matokeo...
Back
Top Bottom