Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Mkuu Mheshimiwa Raisi wetu John Pombe Magifuli
Nakuomba tuionyeshe dunia tumedhibiti korona kwa njia zifuatazo:-
1. Uongozi wako umetoa dira kwa kuondoa hofu kwa Wananchi wako na korona imekuwa kitu cha kawaida.
Zaidi ya yote ni kumtegemea mungu katika kila jambo.
2. Ugunduzi wa dawa lishe...
Misongamano ni mikubwa na wanaovaa barakoa ni wachache sana. Kilichoshindikana hapa ni kuwa uelewa wa watu ni mdogo au serikali haijatoa elimu ya kutosha kwa jamii?
Video ni mbadala wa nguo Kariakoo leo 24/05/2020
Kesi ya Felicien Kabuga ambaye anashtakiwa kwa mauaji ya kimbari yaliyotokea Rwanda mwaka 1994 inatarajiwa kusikilizwa hapa nchini
Mwendesha Mashtaka Mkuu wa MICT, Serge Brammertz amesema kesi hiyo inatarajiwa kusikilizwa jijini Arusha, mahali ambapo Mtuhumiwa huyo alishtakiwa kwa makosa saba...
Waziri Simbachawene amemwagiza IGP kuwaondoa trafiki wote wenye vitambi na kuwapangia kazi nyingine.
Najiuliza, ipo sheria inayokataza trafiki kuwa na kitambi? Shughuli ya utrafiki Ni ngumu kuliko majukumu ya OCD, OCS na RPC?
Natamani awamulike pia hao, ila pia tofauti na utrafiki kazi...
Hii video inasadifu Jambo katika taifa letu....
Thank Lord
Naona covid ikidunda
Yaan kariakoo leo shangwe Kama lotee hakuna mask tenaaa
Kikubwa
Tuendelee kuchukua tahadhari zote
Yasije yakatukuta aliyo tabiri zito kabwe
The continent has so far been spared in comparison with others but the worst could still be to come.
Africa has now recorded more than 100,000 infections of the novel coronavirus, the Centers for Disease Control and Prevention (CDC) said Friday.
More than 3,100 people have died from COVID-19 as...
Tanzania is constructing Africa's new largest stadium, Dodoma Stadium at a cost of $100 million. The stadium will have a capacity of up to 100,000 people.
Many people are against the idea of a new stadium. Intro Nerd said: "The biggest structures require a lot of maintenance. So when we budget...
Huyu aliyenena haya ni Tibor Nagy naibu wa mwanadiplomasia wa wizara ya nje Marekani anayeshughulikia mambo ya Afrika.
Hatimaye mabeberu yameona usanii wetu.
Mimi naitwa Anania Titus Mbuta
Mimi ni Mwalimu mwenye Shahada ya Pili katika Elimu (MAEd, Udsm -2017).
Baada ya kumaliza Shahada ya kwanza (BAEd, Stemuco - 2012).
Hata hivyo mafunzo ya Ualimu niliyapata Chuo cha Ualimu Ilonga, 2003.
Kuhusiana na uzoefu kweny mambo ya utawala mimi ni Afisa...
Muendelezo wakutaja positive cases kila siku saa tisa alasiri bila kutoa solutions kumeonekana kuwakera Sana Wakenya kiasi kwamba kuomba huo utaratibu usitishwe Kama Tanzania ilivyofanya.
Nimeambatanisha screen shorts na video ambayo ukiangalia comments zake asilimia zaidi ya 90 wanataka...
Waziri wa mambo ya ndani wa Uingereza Priti Patel
Serikali nchini Uingeeza leo jioni inatarajia kutangaza kuwa abiria wote wa kimataifa ambao watatua kwenye viwanja vya ndege vya nchi hiyo watatakiwa kujiweka wenyewe karantini kwa gharama zao wenyewe.
Pia abiria hao watatakiwa kutoa taarifa...
Ukitaka kuwafurahisha wajinga, wape habari nzuri kuhusu habari mbaya, hata kama si ukweli na baada ya kuwarubuni wakuamini wewe tu. Je, ni kweli maambukizi ya corona yamepungua Tanzania?
Na Peter Mwai na Christopher GilesBBC Reality Check
Ibada ikiendelea kanisani Tanzania - waumini wakiwa...
Job Title: Project Officer – Community Health Promotion and Gender
Job Reports to: Chief of Pedagogical Department
Duty Station: Dodoma National Office, with frequent activities in the villages
Education: Minimum Diploma in community health promotion and or related health fields
Experience: 3...
Katibu wa itikadi na uenezi ndugu Polepole amesema Mbowe ni kiongozi wa kiimla anayewapelekesha wanachama wa CHADEMA apendavyo.
Wakati wa kufungua bunge Mbowe aliwaamrisha wabunge wa Chadema watoke nje wakatoka.
Aliwaambia wafunge plasta midomoni wakafunga
Juzikati amewataka waende karantini...
Yaani Watoto wamekaa karibia Miezi Mitatu bila Masomo, huku wengi Wao wakiwa tayari wameshaathirika Kisaikolojia kulingana na Hofu iliyokuwepo na bila shaka wengine hata Topiki zao hawakumaliza anatokea Mtanzania Mmoja anasema watafanya Mtihani yao Wiki chache zijazo.
Hivi hawa Watoto...
Sasa shughuli za mpaka baina ya Tanzania na Rwanda zimerejea kama kawaida kuanzia jana mchana.
Sintofahamu baina ya pande mbili zimetatuliwa na kupelekea makubaliano sasa madereva wa Tanzania na Rwanda watapimwa pande zote mbili na watapatiwa vyeti vitavyowafanya kufanya shughuli zao kwa uhuru...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.