tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. M

    Rais Magufuli tuionyeshe kuwa Corona imedhibitiwa Tanzania

    Mkuu Mheshimiwa Raisi wetu John Pombe Magifuli Nakuomba tuionyeshe dunia tumedhibiti korona kwa njia zifuatazo:- 1. Uongozi wako umetoa dira kwa kuondoa hofu kwa Wananchi wako na korona imekuwa kitu cha kawaida. Zaidi ya yote ni kumtegemea mungu katika kila jambo. 2. Ugunduzi wa dawa lishe...
  2. Uelewa wa maambukizi ya corona Tanzania ni mdogo

    Misongamano ni mikubwa na wanaovaa barakoa ni wachache sana. Kilichoshindikana hapa ni kuwa uelewa wa watu ni mdogo au serikali haijatoa elimu ya kutosha kwa jamii? Video ni mbadala wa nguo Kariakoo leo 24/05/2020
  3. Kesi ya Felicien Kabuga anayetuhumiwa kufadhili mauaji ya kimbari ya Rwanda (1994) kusikilizwa Arusha, Tanzania

    Kesi ya Felicien Kabuga ambaye anashtakiwa kwa mauaji ya kimbari yaliyotokea Rwanda mwaka 1994 inatarajiwa kusikilizwa hapa nchini Mwendesha Mashtaka Mkuu wa MICT, Serge Brammertz amesema kesi hiyo inatarajiwa kusikilizwa jijini Arusha, mahali ambapo Mtuhumiwa huyo alishtakiwa kwa makosa saba...
  4. Freeman Aikaeli Mbowe: Mzalendo namba moja Tanzania

  5. K

    Waziri Simbachawene amwagiza IGP kuwapangia kazi nyingine matrafiki wenye vitambi. Je, ni kosa askari kuwa na kitambi?

    Waziri Simbachawene amemwagiza IGP kuwaondoa trafiki wote wenye vitambi na kuwapangia kazi nyingine. Najiuliza, ipo sheria inayokataza trafiki kuwa na kitambi? Shughuli ya utrafiki Ni ngumu kuliko majukumu ya OCD, OCS na RPC? Natamani awamulike pia hao, ila pia tofauti na utrafiki kazi...
  6. Hii video inasadifu jambo katika taifa letu naiombea mema Tanzania

    Hii video inasadifu Jambo katika taifa letu.... Thank Lord Naona covid ikidunda Yaan kariakoo leo shangwe Kama lotee hakuna mask tenaaa Kikubwa Tuendelee kuchukua tahadhari zote Yasije yakatukuta aliyo tabiri zito kabwe
  7. M

    Africa surpasses 100,000 coronavirus cases Kutoa idadi ya visa visivyojulikana Tanzania mentioned here.

    The continent has so far been spared in comparison with others but the worst could still be to come. Africa has now recorded more than 100,000 infections of the novel coronavirus, the Centers for Disease Control and Prevention (CDC) said Friday. More than 3,100 people have died from COVID-19 as...
  8. D

    Onions Suppliers from Tanzania

    Natokea Kenya nataka kuanza biashara ya vitunguu natafuta mtu atakaye nisaidia kupata supplier wa vitunguu kutoka Tanzania kwa bei nafuu. Asante
  9. M

    Tanzania is Constructing $100 Millions New Stadium in Dodoma...

    Tanzania is constructing Africa's new largest stadium, Dodoma Stadium at a cost of $100 million. The stadium will have a capacity of up to 100,000 people. Many people are against the idea of a new stadium. Intro Nerd said: "The biggest structures require a lot of maintenance. So when we budget...
  10. Ujumbe wa Tibor Nagy kuja Tanzania kwa namna Serikali inavyolichukulia janga la COVID -19

    Huyu aliyenena haya ni Tibor Nagy naibu wa mwanadiplomasia wa wizara ya nje Marekani anayeshughulikia mambo ya Afrika. Hatimaye mabeberu yameona usanii wetu.
  11. Nagombea Urais wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT)

    Mimi naitwa Anania Titus Mbuta Mimi ni Mwalimu mwenye Shahada ya Pili katika Elimu (MAEd, Udsm -2017). Baada ya kumaliza Shahada ya kwanza (BAEd, Stemuco - 2012). Hata hivyo mafunzo ya Ualimu niliyapata Chuo cha Ualimu Ilonga, 2003. Kuhusiana na uzoefu kweny mambo ya utawala mimi ni Afisa...
  12. Kenya watamani kuiga Tanzania: Wachoshwa na daily briefings za corona

    Muendelezo wakutaja positive cases kila siku saa tisa alasiri bila kutoa solutions kumeonekana kuwakera Sana Wakenya kiasi kwamba kuomba huo utaratibu usitishwe Kama Tanzania ilivyofanya. Nimeambatanisha screen shorts na video ambayo ukiangalia comments zake asilimia zaidi ya 90 wanataka...
  13. Uingereza nao wafuata Tanzania na nchi zingine abiria wote watakaotua UK kutakiwa kujiweka karantini kwa gharama zao wenyewe kwa siku 14

    Waziri wa mambo ya ndani wa Uingereza Priti Patel Serikali nchini Uingeeza leo jioni inatarajia kutangaza kuwa abiria wote wa kimataifa ambao watatua kwenye viwanja vya ndege vya nchi hiyo watatakiwa kujiweka wenyewe karantini kwa gharama zao wenyewe. Pia abiria hao watatakiwa kutoa taarifa...
  14. M

    Virusi vya corona: Rais wa Tanzania anasema wagonjwa wanapungua, je yuko sahihi?

    Ukitaka kuwafurahisha wajinga, wape habari nzuri kuhusu habari mbaya, hata kama si ukweli na baada ya kuwarubuni wakuamini wewe tu. Je, ni kweli maambukizi ya corona yamepungua Tanzania? Na Peter Mwai na Christopher GilesBBC Reality Check Ibada ikiendelea kanisani Tanzania - waumini wakiwa...
  15. Project Officer at INADES Formation Tanzania

    Job Title: Project Officer – Community Health Promotion and Gender Job Reports to: Chief of Pedagogical Department Duty Station: Dodoma National Office, with frequent activities in the villages Education: Minimum Diploma in community health promotion and or related health fields Experience: 3...
  16. J

    Polepole: Mbowe ni kiongozi wa kiimla asiye na dhamira njema kwa Tanzania

    Katibu wa itikadi na uenezi ndugu Polepole amesema Mbowe ni kiongozi wa kiimla anayewapelekesha wanachama wa CHADEMA apendavyo. Wakati wa kufungua bunge Mbowe aliwaamrisha wabunge wa Chadema watoke nje wakatoka. Aliwaambia wafunge plasta midomoni wakafunga Juzikati amewataka waende karantini...
  17. Huenda Tanzania ya sasa chini ya Rais Magufuli ikawa imepata Waziri bora wa Elimu Ndalichako tokea Uhuru wake

    Yaani Watoto wamekaa karibia Miezi Mitatu bila Masomo, huku wengi Wao wakiwa tayari wameshaathirika Kisaikolojia kulingana na Hofu iliyokuwepo na bila shaka wengine hata Topiki zao hawakumaliza anatokea Mtanzania Mmoja anasema watafanya Mtihani yao Wiki chache zijazo. Hivi hawa Watoto...
  18. Hatimaye mpaka baina ya Tanzania na Rwanda wafunguliwa

    Sasa shughuli za mpaka baina ya Tanzania na Rwanda zimerejea kama kawaida kuanzia jana mchana. Sintofahamu baina ya pande mbili zimetatuliwa na kupelekea makubaliano sasa madereva wa Tanzania na Rwanda watapimwa pande zote mbili na watapatiwa vyeti vitavyowafanya kufanya shughuli zao kwa uhuru...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…