tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. M

    Mimi ni member mpya humu. Naendesha Non Profit Oganiation, naomba mnikaribishe

    Habari ,Mimi ni mpya hapa jamii forums,naendesha non profit organization ,ambayo ni charity hapa Tanzania na imesajiliwa. Napenda kuina mawazo yenu,je taasisi zinazohusika na fundraiser ndani ya nchi, kwanini hazioni taasisi changa na kuzipa misaada ,hali inayopelekea taasisi hizi ziombe...
  2. C

    Baraza la Umoja wa Mataifa la Haki za Binadamu linaanza kufanya tathmini ya hali ya haki za binadamu katika nchi 14 duniani ikiwemo Tanzania

    Rekodi za haki za binadamu za nchi 14 zinatarajiwa kuchunguzwa wakati wa kikao cha 53 cha Kikundi Kazi cha Mapitio ya Mara kwa Mara ya Hali ya Haki za Binadamu (UPR) cha Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa, kitakachofanyika Geneva kuanzia Novemba 2 hadi 13, 2026. UPR ni utaratibu wa...
  3. C

    Making mining work for every Tanzanian, from the first licence to the last tonne and the decades after

    OPINION · MINING AND NATIONAL DEVELOPMENT · TANZANIA Our Minerals, Our Future Making mining work for every Tanzanian, from the first licence to the last tonne and the decades after Mr Ih Ashten [Economist] and Prof. Khanindra Pathak (Emeritus Professor, Mining Engineering, IIT...
  4. Wazazi wa Civilian-Coin wote ni WA Tanzania; Baba na Mama ni WA Tanzania.

    Uvumi na upotoshaji ya kuwa baba ni mMarekani ni habari za uongo na so za kweli. Baba mzazi wa Civilian-Coin Nalimi Kisandu ambaye ni Nalimi Kisandu amezaliwa Busoka manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga(kabiia: Msukuma) na Mama mzazi (Bi. Laurencia Tundule-Msukuma) amezaliwa Kahama hapohapo. Na...
  5. M

    Wimbo wa karibu Lema CCM

    [INTRO – MC] Aaaah! Oyaa! Oyaa! Habari imefika mjini! Kutoka Arusha mpaka Dar! Nani huyo? Lema! Ameenda wapi? CCM! Heeeee! Twende kazi! [BETI YA KWANZA] Lema eeh! Lema eeh! Umefika wapi? CCM! Lema eeh! Lema eeh! Habari imeenea mjini! [KIITIKIO – CHORUS] Lema kaingia, kaingia, kaingia! CCM...
  6. ACT: Tanzania ipo katika mkwamo wa Kisiasa, sababu ya ukiukwaji wa Demokrasia, Utawala Bora na Haki za Binadamu

    TAARIFA KWA UMMA HAKUNA MARIDHIANO BILA UKWELI, HAKI NA UWAJIBIKAJI Leo, Novemba 1, 2026. Chama cha ACT Wazalendo kimeeleza kuwa Tanzania ipo katika mkwamo mkubwa wa kisiasa unaotokana na ukiukwaji wa misingi ya demokrasia, utawala bora na haki za binadamu, na kusisitiza kuwa hakuna maridhiano...
  7. E

    The Silent Fractures of Identity: Belonging and Alienation in Tanzania

    A pervasive paranoia lingers in the shadows of our society—one that some might call racism, and others, segregation. It is born from a visual order: a distinct physical appearance linked to an ethnic group, a tribe, or a heritage. Across the news, and through the quiet realities of daily life in...
  8. Rwanda wanaanda Formula One, Kenya wanawakaribisha Bayern na Ajax, Tanzania Samia anatosha

    Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) imechangamka ile mbaya, mambo yako moto fire, marais wa nchi wanachama wapo busy hapa na pale. Lakini ukweli mchungu ni kuwa kuna marais wa nchi majirani wanaopiga hatua za kiwango cha dunia huku wengine tukibaki kuwa watazamaji wa mechi za wenzetu. Ukiangalia...
  9. Nlitamani mechi ya Bayern Munich na Ajax ichezewe Tanzania

    Kenya wametupiga bao.. Hii mechi ilipaswa ichezewe kwenye ardhi ya Tanzania kwa kuwa ni sehemu muhimu Katika kutangaza utalii wetu. Je, makonda waziri wa habari sanaa na michezo hawezi washawishi hata Barcelona FC waje wacheze hapa Tz?
  10. M

    Hakuna jeshi jirani litawaweza watutsi by 2050, JWTZ ilikuwa tishio kwa vikosi vya watutsi hadi kusarenda na kusubiri ruhusa ya Rwanda kurejea Tz

    Hapo zamani, JWTZ ilikuwa na uwezo mkubwa wa kukabiliana na vikosi vya Watutsi, wakiwemo wapiganaji wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda pamoja na Uganda (Muhoozi amewahi kutamka wazi M23 ni kaka zake) Hata kama vikosi vilipokuwa vya Sadc, walipopata taarifa kuwa Tanzania ni sehemu ya vikosi...
  11. Siasa za Tanzania na unafiki na ubinafsi ni mahala pake

    Wanaharakati na wanasiasa wa TANZANIA swala la watu kuharibikiwa mali zao na kuibiwa sio ishu kwao yaani haliwavushi katika matarajio yao. Siku tukiacha kuwa na vibaka wenye mamlaka na vibaka jamii ya kawaida katika siasa mageuzi hayatahamasishwa na wenye matarajio yao binafsi.
  12. A

    Kampuni ya Kidia One naombeni mzigo wangu kutoka Kenya kuja Tanzania

    Habari wadau Nimekuwa nikisafirisha vitu kutoka kenya kuleta tanzania. Mara kwa mara wamekuwa wakini charge 2500 ya kenya sawa na tsh5500 hv ya kusafirisha vimizigo vyangu ila ikifika huku dar shekilango wananidai tena kulipia elf40 au 50 nyingine niwape wao mkononi kwamba mzigo haujalipiwa...
  13. Tanzania na uimara wa Ulinzi

  14. Tanzania na Angola Kukubaliana Kuunganisha Reli Zao, Kufungua Njia ya Usafirishaji Kati ya Bahari ya Atlantiki na Hindi

    Tanzania na Angola zimekubaliana kuunganisha mitandao yao mikubwa ya reli ili kutengeneza njia ya usafirishaji inayovuka bara la Afrika na kuunganisha Bahari ya Atlantiki na Bahari ya Hindi. Makubaliano hayo yametangazwa na Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, pamoja na Rais wa Angola...
  15. M

    Mbeya ni moyo wa siasa za upinzani! Inaongoza harakati, hawana tamaa ya asali na si waoga. Kungekuwa na chama chenye mizizi Mbeya, CHADEMA ingepotea

    Niliwahi kuishi Mbeya na kuna jambo moja nililoligundua kuhusu watu wa eneo hilo: wana viashiria vingi vya kuwa na nguvu kubwa ya kisiasa na uwezo wa kuendesha harakati za mabadiliko. Tatizo lao si ukosefu wa ari, ujasiri au dhamira ya kupinga mifumo isiyo ya haki. Tatizo kubwa ni kukosekana kwa...
  16. Vitu gani vitatu ungekuwa na uwezo ungeviondoa kuifanya Tanzania kuwa bora ?

    Ondoa vitu vitatu kuifanya Tanzania kuwa bora 1. CCM 2. Dini 3. Machawa 4.Ushoga 5. Rushwa 6. Muungano 7. Ukosefu wa ajira 8. Gharama kubwa za maisha 9. Uoga
  17. C

    Mbunge Mwalunenge: Tanzania ya Rais Samia ni kama Ulaya

    Mbunge wa Mbeya Mjini, Patrick Mwalunenge, amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kufanikisha ujenzi wa Mji wa Serikali, akisema kuwa hatua hiyo inatekeleza mojawapo ya malengo yaliyokuwa yamewekwa na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Amesema hayo wakati akieleza kuhusu ziara...
  18. Nilichokutana nacho leo kwenye Mataa ya Morocco kimenitafakarisha sana Kuhusu Askari Polisi wa Tanzania

    Leo, tarehe 30/10/2026, majira ya saa 12:00 asubuhi, nilikuwa napita maeneo ya mataa ya Morocco. Kama tunavyofahamu, kutokana na shughuli za ujenzi zinazoendelea katika eneo hilo, mara nyingi nyakati za asubuhi taa za kuongozea magari hazifanyi kazi, hali inayosababisha madereva kutumia utashi...
  19. B

    latest Safety Jobs in Tanzania 2026

    🔥 Trending jobs on Best Talent Reach 1. Safety Officer — Tanzania, Lake Cement Plant 2. Safety Coordinator — Tanzania, Dar es Salaam 3. Safety Coordinator — Tanzania, Dar es Salaam 4. Safety and Environment Protection Supervisor — Tanzania, Dodoma 5. Health, Safety and Environment (HSE Officer)...
  20. B

    latest Jobs in Dar Es Salaam 2026

    Explore Latest Trending Jobs in Dar Es Salaam, 2026 Apply Faster and conveniently with besttalentreach platform 1. Storekeeper & Procurement Officer — Tanzania, Dar es Salaam 2. Accountants - 2 posts — Tanzania, Dar es Salaam 3. Marketing Manager - 1 post — Tanzania, Dar es Salaam 4. Sales...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…