tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. U

    Nauliza hivi kuna Profesa yeyote nchini Tanzania anatoka kabila la Wazigua, Waha au Wafipa?

    Niwatakie usiku mwema
  2. Mtu akizaliwa Tanzania halafu akahamia Marekani, birthday yake inafuata muda wa nchi gani?"

    Hivi kama ukizaliwa Dar es Salaam saa 6 na dakika moja usiku tarehe moja mwezi wa kwanza 2010, na wakati huu Los Angeles ni tarehe 31 mwezi wa 12, mwaka 2009 saa 7 na dakika moja mchana Then wazazi wakahamia Los Angeles ukaenda kukulia huko. Bado utaendelea kutumia birthday ileile ya Tanzania...
  3. C

    TANZIA Pigo kwa tasnia ya ngumi Tanzania: Lulu Kayage afariki dunia

    Tasnia ya mchezo wa ngumi nchini Tanzania imeingia kwenye majonzi kufuatia kifo cha bondia maarufu wa kike, Lulu Kayage. Taarifa za kifo cha bondia huyo zimeibua huzuni miongoni mwa wadau wa mchezo wa ngumi, mashabiki na Watanzania kwa ujumla, kutokana na mchango wake katika kuutangaza mchezo...
  4. TANZANIA YAUNGA MKONO JUKWAA LA KIMATAIFA LA KUBADILISHANA TAARIFA NA UTAALAMU WA SEKTA YA MAKAZI

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepongeza hatua zinazopigwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Makazi (UN-Habitat) katika kuanzisha Jukwaa la Maarifa kuhusu Makazi (Housing Knowledge Platform), ikieleza kuwa jukwaa hilo litakuwa nyenzo muhimu katika kuimarisha ubadilishanaji wa maarifa, matumizi...
  5. Kuna hawa watu wanahubiri Injili beach Zanzibar, Tanzania ustaarabu ni zero kabisa

    Watu wapo beach wanaenjoy, nyie mnaenda kuwahubiria. Kwani hamna makanisa? Mnabeba na spika kabisa kwenda kwenye beach ya public kuhubiri, lengo ni kuharibia watu siku ama ni nini? Watanzania wameshika sana dini kiasi kwamba zimefanya watupilie mbali ustaarabu kabisa. Kuanzia makanisa kupiga...
  6. Migahawa ya tanzania bado sana kwenye kulisha watu.

    Maisha yetu na vyakula ni kama tuna weka tumbo liwe limehisi chakula tu. Hivi kuna mgahawa unaweza kupika mfano wali kilo 500 kwa siku achana na vyengine. Kuna nchi unajiuliza jinsi vyakula wanavyotumia yani mtu mmoja anaweza kula kuku mzima wa kilo moja au nyama kilo ila huku kwetu vifinyango...
  7. H

    Tanzania na Sweden zajipanga kuongeza biashara na uwekezaji

    TANZANIA NA SWEDEN ZAJIPANGA KUONGEZA BIASHARA NA UWEKEZAJI Kupitia Jukwaa la Biashara kati ya Tanzania na Sweden lililofanyika jijini Stockholm, Sweden, Tanzania na Sweden zimeazimia kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi, kuvutia mitaji na kupanua wigo wa biashara na uwekezaji. Akifungua Jukwaa...
  8. Tanzania: tatizo letu si ukosefu wa rasilimali pekee, bali ni mfumo wa utawala unaoshindwa kuzilinda

    Kuna jambo ambalo Watanzania tunapaswa kuanza kulitafakari kwa kina: Je, umasikini wetu unatokana na ukosefu wa rasilimali au namna tunavyosimamia rasilimali tulizonazo? Angalia matukio mawili yanayotupa picha ya namna mfumo wetu wa utawala unavyofanya kazi. 1. Sheria ina nguvu kwa nani...
  9. Na hii ndio Maana halisi ya We are the Giant Company, Hesabu haidanganyi! Safari inaendelea kuliangaza Taifa la Tanzania

  10. T

    Viongozi wa Tanzania Kisaikolojia hawa ni watu wenye mapungufu makubwa ya kujiamini na kuamini thamani yao

    Ni hivi, tuna viongozi wenye matatizo ya akili, ufahamu na hata nathubutu kusema, wanaugua hisia za kujiona duni- inferiority complex. Kuanzia utitiri wa ma PHD ya kujibambika ( kwani kila PHD wa kweli lazima awe ameandika na kuitetea 'nadharia' yake, aka thesis), hadi kulazimisha majina yao...
  11. H

    Wanafunzi 90 wa Tanzania watua Algeria

    Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Algeria, Mhe. Mobhare Matinyi, amewataka wanafunzi wa Tanzania waliowasili nchini Algeria kusoma kwa juhudi na bidii wakitambua kwamba wao ni ndoto na fahari ya taifa. Akizungumza na wanafunzi hao mnamo tarehe 25 Novemba, 2026, kwenye Chuo Kikuu...
  12. GE2020 Live from Morena Hotel Mloglo: Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 9 wa MwakaJukwaa la Wahariri Tanzania, TEF, Mgeni Rasmi ni Waziri Mkuu Dr. Mwigulu Nchemba.

    Wanabodi, Salaam, Mimi mwanabodi mwenzenu Mzee Pasco, ambae ni member wa TEF, niko live hapa Morena Hotel, mjini Mloglo, mji kasoro bahari, kwenye ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 9 wa Mwaka wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF, Mgeni Rasmi ni Waziri Mkuu Dr. Mwigulu Nchemba...
  13. PNA-Taarifa ya Chadema: Pongezi Chadema Kulegeza Msimamo!. Tanzania ni Yetu Sote, Chadema Inahitaji Kusaidiwa To Do The Right Thing and Do It Right!.

    Wanabodi, Kwanza tukubaliane sisi binadamu, hakuna mkamilifu, no one is perfect!, hivyo tukikosoe jambo lolote, sio kuwa tunajifanya wajuaji, sisi ndio tunajua sana!, no!. Hakuna watu wawili wanaofana kila kitu hata identical twins, hivyo watu kuwa na mitazamo tofauti tofauti is healthy...
  14. Bangi kuwa ruksa CIVILIAN-COIN akiwa RAIS Tanzania, Mishahara ya Wabunge atapunguza kutoka Mil. 12 na kuwa Mil.1 tu.

    Msanii wa music nchini Tanzania anayewakilisha nchi hiyo Kimataifa katika sanaa ya muziki na Uandishi, hivi karibuni alitangaza nia ya kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Mgombea binafsi, Civilian-Coin Nalimi Kisandu amesema akiwa RAIS wa Tanzania ataruhusu Watanzania kutumia...
  15. Matajiri wa Tanzania ni Waislam au ni waarabu na wahindi?

    Jamani kuna makele ni mengi kwamba matajiri.wote wa nçhi ni waislamu. nimezunguka hii mikoa yote ya pwani, Tanga. Lindi dar na mtwara sijawaona. Naomba mnisaidie wanapatikana wapi? nikiemda mikoa ya Bara na Kkoo nakutana na akina ngosha, mangi etc wana hela balaa.
  16. B

    Tanzania na juhudi za kurejesha mamlaka yake sehemu ya anga ya mlima Kiliimanjaro kutoka mamlaka za Kenya

    25 November 2026 Taifa la Afrika Mashariki lachukua hatua ya kurejesha anga lililosimamiwa na nchi jirani kwa karibu miaka 40 huku shirika la anga la Umoja wa Mataifa likiingilia kati Ayodeji Adegboyega 24 Novemba 2026 08:55 AM Tanzania has renewed efforts to reclaim control over a section of...
  17. Tanzania Tourist Board joins AFCON 2027 as official competition sponsor

    Tanzania Tourist Board (TTB) has been announced as an Official Competition Sponsor of TotalEnergies AFCON 2027, creating an exciting opportunity to showcase Tanzania's tourism attractions, culture and hospitality to millions of football fans worldwide.
  18. Ndejembi anafungua Kongamano la Kisayansi na Mkutano Mkuu wa Chama cha Wafamasia Tanzania (PST) - Mwanza

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, leo tarehe 25 Novemba 2026, anafungua Kongamano la Kisayansi na Mkutano Mkuu wa 56 wa Chama cha Wafamasia Tanzania (PST), unaofanyika katika Ukumbi wa Kwatunza Beach Jijini Mwanza. Mkutano huo wenye kauli mbiu isemayo...
  19. Fursa ya biashara Tanzania: Kuanzisha mfumo wa self-storage – maghala madogo ya kukodisha kwa ajili ya kuhifadhi Mali

    Self-Storage Business ni mfumo wa biashara ambapo mtu, familia au kampuni inakodisha chumba, kontena au eneo maalumu kwa ajili ya kuhifadhi mali zake kwa kulipa kodi ya kila mwezi. Mfumo huu unaweza kuwa fursa nzuri ya biashara nchini Tanzania, hasa katika miji inayokua kwa kasi kama Dar es...
  20. C

    MC Alger wako safarini kuja Tanzania Kucheza na Yanga

    Klabu ya MC Alger ya Algeria imeanza safari ya kuja Tanzania usiku wa kuamkia leo kwa ajili ya mchezo wake wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League) dhidi ya Yanga SC. Mtifuano huo mkali unatarajiwa kupigwa Jumamosi, Novemba 28, 2026, katika Uwanja wa New Amaan...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…