simba

  1. BMT Yathibitisha Kupitisha Katiba Mpya ya Simba, Yataka Itumike

    Baraza la Michezo la Taifa, BMT, limetoa ufafanuzi kwa umma, wanachama na wadau wa Klabu ya Simba kuhusu utekelezaji wa Katiba iliyorekebishwa ya klabu hiyo iliyoidhinishwa tarehe 18 Februari, 2026, hatua inayokuja baada ya mashabiki na wanachama wa klabu ya hiyo kulalamima kuhusu utekelezaji wa...
  2. BMT: Serikali ilikamilisha wajibu, Simba yatakiwa kutekeleza Katiba Mpya

    Baraza la Michezo la Taifa (BMT) limeeleza kuwa wajibu wa kutekeleza Katiba ya Klabu ya Simba iliyorekebishwa na kuidhinishwa Februari 18, 2026, sasa uko mikononi mwa klabu hiyo baada ya Serikali kukamilisha hatua ya kuidhinisha na kuikabidhi rasmi. Katiba hiyo ilipitishwa na Mkutano Mkuu wa...
  3. MO haidai Simba hata shilingi moja, inamdai yeye

    Thamani ya Simba ni mashabiki wake na nembo yake. Mashabiki na nembo ya Simba ni zaidi ya Tsh 500b. Hii thamani ndiyo iliyomfanya mo aachane na Singida United na kuja Simba. Hela zoooooote alizotoa Mo kwa Simba zimetumika tayari kumtangaza mo, makampuni yake na bidhaa zake sokoni. Matangazo...
  4. C

    Wauza jezi feki za Simba wamejitokeza kumshambulia Jayrutty,wafuatiliwe

    Kwa wanaotumia inteligensia yao vizuri,wanaweza kung'amua kwa urahisi uhusiano wa maumivu ya kudhibiti jezi feki na hasira uchwara za watu waliodhaminiwa jana kufanya press conference dhidi ya mzabuni wa Simba. Wamejitokeza wazi nashauri wafuatiliwe mwanzo mwisho maana inaashiria licha ya kuwa...
  5. C

    Hivi serikali inasubiri watu wapigane visu kwa ajili ya Simba ndio waingilie kati?

    Siyo siri naangalia mechi hapa na Kagera naona Simba wanacheza hovyo sana,hawana morali,wanacheza kama wapo mazoezini. Hii timu kwa sasa inakatisha tamaa
  6. Heche: Mechi ya Simba na Yanga, watu wamevaa jezi zimeandikwa 'Mama, Mitano Tena' Tukisema wanatumiwa kisiasa tumekosea nini?

  7. NBC:KAGERA SUGAR VS SIMBA SPORTS CLUB

    Simba imeanza vizuri msimu waa Ligi Kuu Tanzania Bara Msimu wa 2026/2027 kwa kuifunga Kagera Sugar Magoli 2-0, leo Agosti 16, 2026. Baada ya mechi za maandalizi na bonanza, sasa Ligi yenyewe inaanza rasmi leo, kwa Kagera Sugar FC na Simba SC zikianza kampeni zao za msimu wa 2026/27. 📅 Leo...
  8. Ukiwa na demu shabiki wa Simba mwambie Pesa ziko Benki

    Akikuomba hela mwambie pesaziko benki. Akupe kwa mkopo.
  9. Tunaomba Yanga watusaidie Dennis Nkane aje kama X factor Simba

    Nadhani tunamhitaji Dennis Nkane wakuu. Kwakuwa pesa ziko Benki na hakuna mtandao, tunaomba GSM amlipe Nkane bilioni 8 ili aje msimbazi kwa msimu 1.
  10. C

    Upungufu wa watu wenye akili Tanzania ndicho chanzo cha migogoro mingi kukosa utatuzi,tizama mgogoro wa Simba

    Watu wengi huamini mtu mwenye vyeti vingi vya shule ndiye mwenye akili,lakini mimi naamini akili ni zaidi ya kumiliki vyeti vya shule. Mgogoro wa Simba ni mfano mzuri kuonesha watanzania wengi,hususan walio kwenye media na wanaojitokeza sana kuzungumza,hawana akili kabisa. Sijasikia mtu hata...
  11. Shida ya Simba ni Mangungu kutumia busara zake badala ya Katiba ya Simba kuongoza timu.

    Mangungu inaivuruga Simba, anatumia busara kuongoza badala ya kuongoza kwa mujibu wa Katiba iliyopo. Tabia hii inampatia shida na lawama dhidi ya upande wa mwekezaji na chawa wake. Mangungu anachelewesha ukamilishaji wa mchakato wa mabadiliko Simba, hafai.
  12. Tetesi: JayRutty kusitisha mkataba na Simba mwisho wa msimu huu

    Taarifa za uhakika ni kwamba boss Mo kaamua kukita mizizi pale msimbazi kiasi kwamba mzabuni wajezi kaona hakuna future nzuri. Atavunja mkataba kwa gharama zake na yuko tayari kulipa fedha ya fidia kwa Simba ili aondoke. Genius Mangungu unaupiga mwingi.
  13. "Simba" kuoa mwanawe wa Zinaa!

    Je, unawajua watoto ambao "Simba" anaweza kuwaoa? Wataje na mama zao! Taja watoto wa ZINAA WA SIMBA.
  14. Ni wakati sasa wa mo kuiachia Simba!

    Nashindwa kuielewa kabisa!,Kuna wakati waarabu wa nafikiri dubai au oman waliitaka simba,likatokea zengwe timu hii atafutwe mwekezaji mwarabu tajiri amwage fedha za kutosha ili mambo yakae sawa kwa usajili wa maana utakao leta wachezaji vigogo wa kuleta ushindani mkali,
  15. A

    Simba wakati wa Kurudi pitieni Tanga au Mombasa

    Ndugu zangu Wana Simba wakati wa Kurudi pitieni Tanga au Mombasa. Amasivyo kwenye ligi tutafungwa tena
  16. Mangungu ni pandikizi la Yanga ndani ya Simba, shtukeni

    Wanachama na Wapenzi wa Simba huyo MANGUNGU ni pandikizi la Yanga msipomtoa mtaendelea kufungwa mpaka mkimbie nchi. Mzee matendo yake yanajieleza wazi kabisa kuwa siyo simba damu. Mangungu kachomekwa awe mwwnyekiti wa Simba ili alinde maslahi ya Yanga. Kuna mchezo mchsfu ulipangwa hadi na...
  17. Yanga wana nyakua mchezaji kambi ya Simba kama tukio la Marekani kumnyakua Maduro, Ada ya kuuzwa Fei Toto italipa ya Seleman Mwalimu.

    Huyu Eng. Hersi anajikuta mbabe mithili ya Trump wa Marekani. Kavamia kambi ya Simba kamteka mshambuliaji wao tegemezi. Anawasubiria waingie kichwa kichwa kumnunua Feisal Salum (Fei Toto) kujipoza machungu au wanaita comeback, kumbe wanailipia Yanga ada ya Seleman Mwalimu kwa Wydad. Magori...
  18. M

    Ngao ya Jamii: Simba Anashinda Leo!

    Bila kupoteza muda Mechi ya Leo ngao ya Jamii Kati ya Yanga na Simba Nikiwa pangani mchana huu narudi Tanga mjini napewa taarifa hapa kuwa Yanga atapasuka vibaya sana Leo Mpk sasahivi viongozi bado wanahaha namna ya kugeuza kipigo Nawathibishia Leo Simba anashinda Ewee shabiki wa Mnyama...
  19. C

    Hawa mashabiki wa Simba wanaosema wakawashitaki viongozi wao kwa Rais Samia wana akili kweli?

    Nasikitika kusema kuna mashabiki maarufu kama influencer wa Simba hawana akili timamu na nikama hayawani mmoja anaitwa nyumbu. Rais Samia ndiye huyu mlimzomea kwenye Simba day mwaka jana,leo mnajitoa akili eti mnaenda kushitaki viongozi wenu? Nyumbu ni mnyama ambaye akikimbizwa na Simba na...
  20. S

    Simba mjifunze kuheshimu wakubwa, Msipobadilika mtajua hamjui hii ni code nawapa

    kuna msemo wa zamani unasema Mla miwa husahau ila mtupa maganda hasau! Salam Haitii mimba; Huu msemo unamaana tu kwa watu wenye nidhamu; Haiwezekani unasalimiwa na mkubwa katika birthday yako huitikii na kibaya zaidi unazomea! Sasa asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu! NAIMANI wengi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…