Yanga wamenusurika Botswana,walipata goli la kusawazisha dakika za jioni kabisa,
Simba walishinda goli moja bila.
Kama kawaida ya Yanga yeye katika maisha yake anaioneaga wivu Simba tu,kwa hiyo Yanga ana kazi mbili Sasa hivi,kuhakikisha anacheza mechi ya Simba ya marudiano na Mighty Wanderers...
Timu ya Simba SC imeanza kwa ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Mighty Wanderers katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika, Septemba 6, 2026.
Mchezo wa marudiano baina ya timu hizo katika Hatua hiyo ya Awali unatarajiwa kupigwa Septemba 13, 2026 kwenye Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam...
Kama ningerudi Zambia ingekuwa ngumu sana kurudi Simba na nilisaini Singida kwa sababu nilitaka tu kuwa karibu na Simba na waendelee kuniona”
“Nashukuru Mungu sikuchukua muda mrefu pale kwasababu sijawahi kufikiria suala la kwenda Yanga, ilitokea tu”
“Nilikuwa kwenye wakati mgumu lakini...
1. Waingie mkataba na kampuni ya Total Energy watumie ile clip maarufu aliyorukia mpira kama anacheza rede kwenye tangazo lao.
2. Wauze clip za vituko vyake kwenye makampuni ya kubeti.
3. Wamtumie kama kivutio kila waendapo watu walipe $5000 kupiga naye picha.
Doumbia ni striker la boli...
Wakuu
Nimepitilia lineup za hivi vilabu vikubwa vya Simba na Yanga na kujiongea Utawala wa wachezaji wa kigeni katika vikosi vya kwanza vya Simba na Yanga, wakati Tanzania ikijiandaa kwa AFCON 2027, ni kisu chenye makali miwili. Kwa upande mmoja, nyota hawa wameiongezea Ligi Kuu ya NBC...
Simba SC leo, Jumatatu Agosti 31, 2026, itashuka dimbani kuikabili Geita Gold FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC, ikiwa na lengo la kuendeleza mwanzo wake mzuri wa msimu na kusalia kwenye mbio za kilele cha msimamo.
Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa katika Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo, huku...
Sio maneno yangu, ni kauli iliyotolewa na aliyewahi kuwa katibu mkuu wa Simba, mwenyekiti wa Simba na katibu mkuu wa TFF wakati huo ikiitwa FAT Ismail Aden Rage akihojiwa na wasafi Redio.
Anasema akiwa high table kwenye mkutano wa Simba alimwomba mweka hazina nakala ya ripoti ya Simba...
Magolikipa wa Simba Hussein Abel, Kasali, Yakuob Lakren mgonnjwa na hatorudi karibuni , so hawa wote si level ya Simba .
Ally Salum aliondoka, alilazimika maana hakupata namba.
Simba itaendelea "kuchikichiwa" au "kutiwa kidude" mpaka watakaposajili magolikipa .
Hapo VIP!
Huu ndio ukweli utakaochelewa ila itafika
Yanga ni club ambayo imejipambanua Na kuweka wazi kuwa IPO kisiasa Na ni club yenye mahusiano mazuri Na CCM Na imekuwa ikiisupport kipesa.
Na inatumia sana mgongo huo kuumiza vilabu vingine Na kufanikisha mambo yao.
Sasa itoshe kusema in...
Je umewahi kusikia historia kuhusu Njombe man-eaters?
Neno "man-eaters" limetoka kwa Kiingereza na maana yake kuu ni wanyama wala watu, yaani mnyama ambaye amejifunza au kuzoea kuwinda na kula binadamu kama chakula chake.
Moja ya visa vikubwa duniani vya wanyama kula watu ni kisa cha Man eaters...
Matches 2 za Yanga Selemani Mwalimu hajacheza. Why? Why? Kocha una tatizo gani kumtumia Sele Gomez? Huyu tulimchukua kwa shangwe leo anachezea bench tu? Maana yake nini?
Yeye alisema anaondoka Simba sababu hapewi nafasi kikosi cha kwanza. Anakuwa bench mpaka dk za mwishoni. Anakuja Yanga aanze...
Mchezaji wa Simba SC, Ibraheem Jaabar, amejikuta katika hali ngumu baada ya kupewa adhabu na Bodi ya Ligi kufuatia tukio la kumpiga kiwiko mchezaji wa Pamba Jiji, Abdulkarim Iddy, katika mechi ya Ligi Kuu. Jaabar ametozwa faini ya shilingi milioni tano (5,000,000/=) na adhabu ya kadi nyekundu...
Moja kwa moja huu uzi uwafikie viongozi na benchi la ufundi la Simba sc. Muwaeleze wachezaji kuwa uwepo wa Football video support (FVS) na madhara yanayoweza kuwakumba wao wachezaji na team kwa ujumla kutokana na uchezaji wao wa ovyo.
Beki na viungo wa Simba wanafanya sana reckless tackles...
Hii nadhani ni record sijajua kama imewahi fikiwa hapo before. Na hii itaendelea kwa matches zote zilizobaki maana nyie Simba ndo mlitaka sana VAR sasa imekuja hii.... Lazima moto uwake.
Referee akienda tu kuangalia akirudi ni Kadi ya Simba. Yaani Kadi Nyekundu.
Huu ni ukweli ambao ni wachache wanauona kama sio Football Video Support (FVS) basi leo hii watu wangeishia tu kulalamika kwamba jabar na duchu walistahili redcard sana sana watu wangesubiria kamati ya masaa 72 itoe hukumu
Viongozi wa simba miaka nenda rudi wamekuwa wakilalamika kwamba...
Kama hutakuwa makini unaweza kusema 90% ya TFF, Bodi ya Ligi na marefa walikuwa ni Simba kabla ya ujio wa technolojia ya FVS kwenye ligi yetu, kumbe bana haikuwa hivyo, walikuwa wanapitiwa tu.
Ujio wa FVS unatuonyesha sasa kumbe marefa wetu walikuwa wanakosea tu kibinadamu kuipendelea Simba...
Baraza la Michezo la Taifa, BMT, limetoa ufafanuzi kwa umma, wanachama na wadau wa Klabu ya Simba kuhusu utekelezaji wa Katiba iliyorekebishwa ya klabu hiyo iliyoidhinishwa tarehe 18 Februari, 2026, hatua inayokuja baada ya mashabiki na wanachama wa klabu ya hiyo kulalamima kuhusu utekelezaji wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.