A. Wagombea wa Uenyekiti
1. Anindumi Jonas Semu
Amepita mchujo wa awali
Taaluma na kazi
Ana uhusiano wa kikazi na kampuni ya Mars Energy Tanzania Limited.
Wasifu wake wa LinkedIn unaonyesha alisoma katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Historia ndani ya Simba
Amesema ni mwanachama wa Simba...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), kupitia Kamati yake ya Uchaguzi, limetoa orodha ya awali ya wagombea waliopita katika mchujo wa kwanza wa fomu za kuwania nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya Klabu ya Simba. Hatua hii inafungua pazia rasmi la kuelekea uchaguzi mkuu wa klabu hiyo...
Mnamchekea huyo Mwenyekiti "mbovu" na anaiyumbisha Club kwa mbinu zake alizozoea huko alikokuwa mbunge.
Acheni kumchekea huyo, la sivyo mtalia tena miaka 5
Mnamchekea huyo Mwenyekiti "mbovu" na anaiyumbisha Club kwa mbinu zake alizozoea huko alikokuwa mbunge.
Acheni kumchekea huyo, la sivyo mtalia tena miaka 5
Licha ya huyu bwana kutokuaa na msaada wowote kwa Simba Sc, bado hana sifa za kugombea uenyekiti Simba SC. Lengo lake kubwa akishirikiana na wanaomtumia, ni kuhakikisha Simba inavurugikiwa
Nitamuwekea pingamizi, ikishindikana (kwa kuwa wamejipanga) tutakinukisha wanasimba wenyewe. Hatuko tayari...
JKT Tanzania watakuwa wenyeji wa Simba SC leo tarehe 21 Novemba 2026, saa 12:30 jioni (18:30) kwenye mechi ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara. Simba wanaingia kwenye mechi hii wakiwa kileleni mwa ligi bila kupoteza mchezo wowote, wakati JKT wanatafuta kusogea kwenye nafasi za juu...
Kwenye miaka ya 70 kulitokea mgogoro katika timu ya Simba kati ya waliojiita wasomi na wanachama wengine wa Simba kuhusu namna ya uendeshaji wa timu.
Wengi wao wakiwa wafanyakazi wa mamlaka ya bandari, reli na taasisi za serikali walitaka timu iendeshwe kisasa matokeo yake wengine waliondoka...
Mwamuzi raia wa Mauritania, Abdel Aziz Bouh, ameteuliwa kuchezesha mchezo kati ya Simba SC na Orlando Pirates utakaopigwa Novemba 29 katika Uwanja wa Uhuru.
Katika mchezo huo, mwamuzi mwenzake kutoka nchini humo, Babacar Sarr, atasimamia teknolojia ya usaidizi kwa waamuzi (VAR).
Mashabiki wa Klabu ya Simba leo Novemba 17 wameandamana kuelekea Makao Makuu ya TFF wakiwa na mabango wakishinikiza baadhi ya mambo yafanyiwe marekebisho ndani ya klabu yao ambapo wengi wanaamini yapo mambo mengi ambayo hayapo sawa.
Mashabiki hao wamebeba mabango mengi moja ya mabango ambayo ni...
Taarifa kutoka baadhi ya Vyanzo ni kuwa Mheshimiwa Zitto Kabwe ambaye ni Mwanasiasa Mstaafu, Mfanyabiashara na Mkulima anafikiria kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya Uenyekiti kwenye Uchaguzi Mkuu wa Simba.
Sasa hivi Zitto ni Mfanyabiashara akiwa amewekeza hapa Tanzania, Kenya, Ethiopia na...
Wadau wa sports,kiukweli kinachoendelea kwenye timu ya simba kinasikitisha,kwa maoni tatizo lipo kwa mwenyekiti wa simba bwana murtaza mangungu.
Kama alikuwa naona kuna mambo hayapo sawa,
Kwanini hakuwaambia wanachama,sasa hivi mda wake umeisha anakuja na ngojera kibao,binafsi namuona kama mtu...
Familia ya Dewji imeing'ang'ania timu ya Simba kama ruba. Ni jina hilohilo miaka nenda rudi kwanini?
Inahonga kila mtu kila kundi ndani ya Simba dhidi ya kila mtu anaeonekana kutaka mabadiliko ndani ya Simba.
https://www.youtube.com/live/qRWXxpl8KvE?si=Aw7wneVxmHK45JP9
Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi wa TFF Kiomoni Kibamba amesema Simba wamepeleka kamati tatu za Uchaguzi mpaka anashindwa kuelewa ipi ni ipi na inatoka Simba ipi.
Aidha Kiomoni amesisitiza Uchaguzi utafanyika siku ile ile aliyotangaza Mwenyekiti wa Klabu Murtaza Mangungu ambaye ametangaza 30/01.
Wazee wa aina kama Mangungu, Aden Rage, Mzee Dalali, muda wenu wa kuiongoza Simba SC umeisha. Tunawashukuru sana kwa kuifanyia klabu mambo makubwa kwa wakati wenu. Sasa ni muda wa Simba kuongozwa kisomi.
Ni muda muafaka sana Simba SC kupata Mwenyekiti atakayeenda na wakati tuliopo, atakayekuja...
Baada ya Simba kumshitaki Fadlu kwa kuvunja mkataba bila kuwalipa Fidia Simba wamefikisha swala lake Fifa.
Huu ni utaratibu wa kawida kwani hata Fadlu alipovunjowa mkataba na Raja alilipwa fidia.
Kipindi cha nyuma Simba ilikuwa na kocha anayejulikana kama kishingo, kocha huyo aliondoka baada...
Simba SC imefikia ushindi wa mechi 20 mfululizo katika Ligi Kuu Tanzania Bara, na hivyo kuvuka rekodi ya ushindi 19 mfululizo iliyowekwa na Bayern Munich katika Bundesliga ya Ujerumani.
Kwa mujibu wa taarifa ya The Citizen ya tarehe 3 Novemba 2026, Simba ilifikia rekodi hiyo baada ya kuifunga...
Ushindi huu wa Simba sports club uende na nderemo na vifijo week hii nzima, tubishane sana na watani zetu, tutukanane kama kawaida yetu, kisitokee kitu chochote cha kisiasa kututoa kwenye reli.
Yani week hii nzima ni week ya kifootball kama kawaida yetu watanzania tujikite humo, hayo mengine ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.